Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

KGARE

Senior Member
Jul 31, 2012
108
39
Gari Toyota RAUM , ya 1999 inauzwa.
Rangi: Zambarau, Milango: 5, Mileage: Km 128,000, Engine size : 1490cc, Airbag: 2 , Automatic transmission, Fuel: Petrol,
BEI: 6,000,000- Milioni 6 tu
Imetunzwa na iko vizuri sana.
PIGA: 0713962628/ 0718481042
MAHALI: MWANZA

IMG20201214133417.jpg
IMG20201214140455.jpg
IMG20201214141702.jpg
IMG20201214141839.jpg
IMG20201214140940.jpg
IMG20201214141949.jpg
IMG20201214141653.jpg
 
Attachments

  • IMG20201214141631.jpg
    IMG20201214141631.jpg
    411.3 KB · Views: 10
Inawezekana hujui magari au ndio unajifunza udalali.
  • kwanza kabisa hiyo ni Raum Old Model, nakuhakikishia hakuna wa kununua Raum old model sasa hivi, labda bei iwe ndogo sana na bado unaweza kupata shida kuiuza
  • Pili, haiwezekani na haitawezekana ukauza Raum Old Model kwa mil 7. Narudia tena HAIWEZEKANI
Mwisho lakini sio kwa umuhimu
- ukitaka kuuza Raum Old model, bei iwe ndogo kuliko kawaida, hapo hamnahamna unaweza ukauza kwa mil 3 au 2.5
 
Dear Hornet, mbona waguna?

Msaidie huyo mwenye Raum Old model, No. C aiuze kwa shilingi za kitanzania 7,000,000/= (pasi kupungua hata shilingi 1)

Tena wewe ni mzoefu ktk mambo hayo ya kuuza magari, utamsaidia kutangaza zaidi kwenye mitandao mbalimbali na kupata wataja
 
Inaonekana ntaendelea kuitumia mwenyewe.

Nimekupata vzr mkuu, hapo ni kuendelea tu kuitumia mwenyewe.
 
Gari utaiuza huko huko mwanza.. kwa hiyo bei unaweza otea wasukuma wa migodini.. ukiileta dar hata milion 5 kuuza sio kazi ndogo upate mteja
 
BMW 1 Series, inauzwa, Tsh 15 milion.

Ina miezi saba tu toka inunuliwe

Kilometre 95,856

Engine capacity: 1590 CC
Engine type: Petrol

Colour: black

Seat capacity: 5
people, Milango mitano.

Kadi ya gari ipo
Bima ipo

Location: Temeke Mikoroshini

Tuwasiliane kwa 0744033555 tuma sms au piga simu nikutumie picha zaidi whatsapp
 
Dear Hornet, mbona waguna?

Msaidie huyo mwenye Raum Old model, No. C aiuze kwa shilingi za kitanzania 7,000,000/= (pasi kupungua hata shilingi 1)

Tena wewe ni mzoefu ktk mambo hayo ya kuuza magari, utamsaidia kutangaza zaidi kwenye mitandao mbalimbali na kupata wataja
hapana huu ni mtihani mzito

kuna watu wamefungwa na bei walizoagizia/kununua gari
anasahau gari thamani yake inashuka kadri ya matumizi,

Mimi Mtu akinitumia gari sisimizi bei tembo huwa naguna tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom