mwanza

  1. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio ya watoto kwenye mkutano wa Rais Magufuli Jijini Mwanza maana yake nini?

  2. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM kuhutubia kwa kisukuma huko Mwanza. Huu ni ukabila. NEC tunasubiri kuona hatua kali dhidi yake

    Hii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma. Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania nzima, sasa kusema kwamba kama anamwaga sera, mtu wa kule Tanga anamuelewa vip? Huu ni udhaifu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusafirisha bajaj kutoka Dar to Mwanza kwa lori

    Habari wakuu, Nahitaji ushauri mwenye uzoefu na hii kitu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni Mwanza uambatane na Ahadi za ujenzi wa Barabara njia nne zinazoingia jijini na ukamilishaji wa jengo la abiria uwanja wa ndege

    Kimsingi jiji la Mwanza linapanuka kila siku na ni kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati na hususani kusini ya Jangwa la Sahara. Jiji hili ni la pili kwa Dar na pia linachangia asilimia kubwa kwenye Pato la Taifa ikiwemo kilimo, viwanda, uvuvi, madini, mifugo nk. Hivo uwepo wa miundo...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mchumba ameenda Mpanda amenisaliti zaidi ya mara tatu, amerudi Mwanza kaninyima uroda kaenda kumpa jamaa mwingine. Ananiomba msamaha eti nimuoe

    Habarini za usiku wanaJf, Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti. Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena akanisaliti. Nilipokuja kumbana na ushahidi wa picha za majamaa wakiwa naye live bed. Amelia kilio...
  6. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Maji Ilemela Mwanza ni saa 24, miradi mikubwa ya maji yajengwa na kukamilika

    Serikali imejenga miradi mikubwa ya maji safi na salama katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza na kufanikiwa kumaliza tatizo la ukosefu wa maji wilayani humo. Miradi hiyo imejengwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Ilemela, Angelina Mabula ambaye kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha. Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano...
  8. newbiee01

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wakazi wa Mwanza karibuni sana

    *🖥 COMPUTER DEALERS🔥* _*Huduma bora na huakika*_ _*Tunatoa pia ushauri karibuni sana*_ *WINDOW INSTALLATION* 📀 WINDOWS 7 📀 WINDOWS 8 + 8 pro version 📀 WINDOWS 10 2015,2018, (2019 with office 2019) *PROGRAM INSTALLATION;* *➡ADOBE PHOTOSHOP* 2019/2020 *➡ADOBE PREMIER* 2019/2020 *➡ADOBE...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: CHADEMA inafanya kampeni kimkakati, kesho tutakuwa Arusha na keshokutwa Mwanza

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amesema chama chao kinafanya kampeni za kimkakati na kitovu cha kampeni zao ni jiji la DSM. Mbowe amesema mgombea urais wa CHADEMA kesho atakuwa jijini Arusha na keshokutwa atakuwa jijini Mwanza kwa shughuli za kampeni. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Pambalu ni nani, ametumia mbinu gani kuua CCM Mwanza?

    Huyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza CCM Mwanza lakini amepata wapi uwezo huu?
  11. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja

    Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja JIJI la Mwanza linatuhumiwa kudhurumu viwanja vya familia ya Marehemu Hassan Seif, Mkazi wa Nera wilayani Nyamagana mkoani Mwanza vilivyomilikiwa na familia hiuo tangu mwaka 1984. Viwanja vilivyochukuliwa na Jiji na kuviuza kwa watu...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Kichanga cha wiki mbili chapotea hospitalini

    JESHI la Polisi mkoani Mwanza linachunguza tukio la kupotea katika mazingira ya kutatanisha kichanga cha wiki mbili ndani ya wodi ya akina mama waliojifungua kwa njia ya upasuaji katika hospitali ya Butimba ya wilaya ya Nyamagana mkoani humo. Kichanga hicho chenye jinsi ya kike kinadaiwa...
  13. Diason David

    JamiiForums Tanzania JF members in Mwanza

    Habari ndugu, jamaa na wapendwa Nimekuja Mwanza kidogo, lengo la theard nilikuwa naomba kufahamiana na baadhi ya members humu, tufahamiane baada ya kuishi na fake identification sawa Nipo maeneo ya Mkolani Kati. Karibu sana kwa wanahitiji tuonane. Nipo leo na kesho narudi nilipo toka.
  14. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya "Piga kazi, Boresha Makazi" yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza

    Kampeni ya Piga kazi boresha Makazi yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza Nyumba bora na za Kisasa zimejengwa katika vijiji viwili vya Koromije na Mondo Wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Wakazi wa vijiji hivyo vya Mondo na Koromije wilaya ya Misungwi mkoa wa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la BAVICHA kuilipua Mwanza, Mnyika kuhutubia

    Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wakazi wa Hai wamezidiwa akili na wakazi wa Mwanza?

    JE, WAKAZI WA HAI WAMEZIDIWA AKILI NA WAKAZI WA MWANZA? Na, Robert Heriel Mambo yanazidi kubadilika kila siku, jana sio leo, juzi sio kesho. Mambo yanabadilika, wa juu anakaa chini, na wachini anakaa juu. Watu wa Kilimanjaro ni moja ya jamii ya Watanzania waliobahatika kupata wasomi wengi...
  17. mama D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu alipowasili Mwanza aliahirisha kuzungumza alichokua amepanga baada ya kupata idadi ndogo wananchi

    Mwanza kunani
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Mwanza leo: Je, Tundu Lissu ana "Special Personal Inteligence" inayofanya monitoring ya usalama wake?

    Leo nilikuwa Mwanza kwa shughuli binafsi. Bahati nzuri nikakutana na msafara wa Tundu Lissu maeneo ya Nyegezi ukitokea Shinyanga. Kwa ambao hawaielewi Mwanza, ni kuwa Nyegezi ni eneo lililo nje kidogo takribani 20km kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza. Hapa Nyegezi ndipo...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watano mbaroni kwa utapeli wa kutumia majina ya Taasisi za Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation

    Watu watano mkoani Mwanza wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa jumla ya makosa 16 ikiwemo kujipatia fedha zaidi ya shilingi milioni 10 kwa njia isiyo halali na kufanya utapeli kwa kutumia majina ya taasisi za mama Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation kwenye mitandao ya kijamii. Wakisoma...
  20. budebajr

    JamiiForums Tanzania Msimu Huu Baada ya Majanga ya Corona, Covid -19 unatumia kiasi gani kwa Siku?

    Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
Back
Top Bottom