Kuna kijana mmoja kampeni meneja wa John Pambalu huko Mwanza ana trend Sana YouTube, anasema, " ukitaka kumuua mbwa mpe majina yote mabaya"
Hii Ina maana gani?
Kwangu Mimi, nakubaliana na slogan hii, huwezi kumuua mbwa kwa kumwita majina uyapendayo, utamhurumia, lakini ukimpakaza majina mabaya...
Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
Hapa ndipo daraja la Tshs bilioni 700, fedha ambazo hata hazikujadiliwa na bunge zinatumika. Eneo ni Kigongo-Busisi. Kwakweli Bunge la Ndugai litajibu haya mbele za Mungu!
Nawaza tu bilioni 700 Tshs ambazo ni hela nyingi sana yani hata Richmond haioni nusu yake. Kama zingetumika kwa mtu kuona...
Wakuu naomba msaada kama kuna namna ya usafirishaji wa bidhaa kutoka Nairobi mpaka Mwanza. Hii ni kutokana na zuio la mipaka tangu kipindi cha Corona.
Sasa hatuwezi ingia ila naona bado biashara mbalimbali zinaendelea nami pia nahitaji bidhaa kutoka Nairobi ila sijui wengine wanafanyaje.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Baba mmoja anayefahamika kwa jina la Anthony Maningu, Mkazi wa Kayenze wilayani Ilemela mkoani Mwanza kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga na kitu kizito kichwani mwanaye aitwae Veronica Anthony, kwa madai ya kuchelewa kurudi nyumbani.
Akizungumza hii...
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria...
Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali.
Mwaka 2015, Dkt...
Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM.
Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali...
Hii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma.
Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania nzima, sasa kusema kwamba kama anamwaga sera, mtu wa kule Tanga anamuelewa vip?
Huu ni udhaifu...
Kimsingi jiji la Mwanza linapanuka kila siku na ni kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati na hususani kusini ya Jangwa la Sahara. Jiji hili ni la pili kwa Dar na pia linachangia asilimia kubwa kwenye Pato la Taifa ikiwemo kilimo, viwanda, uvuvi, madini, mifugo nk.
Hivo uwepo wa miundo...
Habarini za usiku wanaJf,
Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti.
Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena akanisaliti. Nilipokuja kumbana na ushahidi wa picha za majamaa wakiwa naye live bed. Amelia kilio...
Serikali imejenga miradi mikubwa ya maji safi na salama katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza na kufanikiwa kumaliza tatizo la ukosefu wa maji wilayani humo.
Miradi hiyo imejengwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Ilemela, Angelina Mabula ambaye kwa...
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha.
Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa
Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano...
*🖥 COMPUTER DEALERS🔥*
_*Huduma bora na huakika*_
_*Tunatoa pia ushauri karibuni sana*_
*WINDOW INSTALLATION*
📀 WINDOWS 7
📀 WINDOWS 8 + 8 pro version
📀 WINDOWS 10 2015,2018, (2019 with office 2019)
*PROGRAM INSTALLATION;*
*➡ADOBE PHOTOSHOP* 2019/2020
*➡ADOBE PREMIER* 2019/2020
*➡ADOBE...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amesema chama chao kinafanya kampeni za kimkakati na kitovu cha kampeni zao ni jiji la DSM.
Mbowe amesema mgombea urais wa CHADEMA kesho atakuwa jijini Arusha na keshokutwa atakuwa jijini Mwanza kwa shughuli za kampeni.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo...
Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja
JIJI la Mwanza linatuhumiwa kudhurumu viwanja vya familia ya Marehemu Hassan Seif, Mkazi wa Nera wilayani Nyamagana mkoani Mwanza vilivyomilikiwa na familia hiuo tangu mwaka 1984.
Viwanja vilivyochukuliwa na Jiji na kuviuza kwa watu...
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linachunguza tukio la kupotea katika mazingira ya kutatanisha kichanga cha wiki mbili ndani ya wodi ya akina mama waliojifungua kwa njia ya upasuaji katika hospitali ya Butimba ya wilaya ya Nyamagana mkoani humo.
Kichanga hicho chenye jinsi ya kike kinadaiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.