mwanza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jinsi Mamlaka ya Maji ya Mwanza (MWAUWASA) unavyokuhujumu usipate kura zetu

    Kwa siku za karibuni tangu uanze kampeni zako Mamlaka ya Mji wa Mwanza (Mwauwasa) umekuwa na huduma mbaya kwa wateja wengi wa maji katika jiji hili. Tangu Injinia Sanga atoke kwenye Mamlaka hii na kupewa wadhifa mwingine huduma zimekuwa mbaya sana. Nitoe mfano hai, tangu ijumaa mpaka leo...
  2. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Hivi Ukiamua kutafuta kazi kwa Mikoa ya Tanzania kwenye makampuni, ofisini, viwandani, mtaani, kwa siku tatu utakosa kweli

    Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary. Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige tu.
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo nimemkumbuka mwanamuziki Kikumbi Mwanza Mpango, King Kikii, aliposema "Tushike ya kwetu, tusiwape muda karagosi", karagosi ni nani?

    Wanabodi, leo nikiwa natoka mahali kwa kutumia public transport, ukapigwa wimbo wa King Kikii, kitambaa cheupe, hivyo from no where, nimetokea kumkumbuka mwanamuziki mkongwe huyu, jina kamili ni Kikumbi Mwanza Mpango, aka King Kikii, kumbe pia alikuwa na vibwagizo fulani vya kisiasa vya kiaina...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni vipi unawashawishi wakazi wa Dar waliobomolewa nyumba kwa upanuzi wa barabara wakati kwa wakazi wa Mwanza ulisema wasibomolewe walikupigia kura?

    Kuna wakati najiuliza kati ya wanasiasa na wapiga kura ni nani ana kumbukumbu fupi zaidi. Kwa mfano, wakati fulani kulikuwa na kampeni ya kubomoa nyumba bila kulipa fidia hapa Dar, na wananchi wote wakalaani sana kitendo hicho. Hivi katika wale waliolaani kitendo hicho ndio walewale...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

    Wasalaam wapendwa. Wakuu nataka kusafiri kwenda Mwanza basi gani nzuri inayoweza kunifikisha kwa siku moja tu, iwe luxury ya kisasa. Karibuni tujuzane wakuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mamlaka ya maji jiji la Mwanza (MWAUWASA)

    Kwa muda mrefu sasa utendaji wa Mamlaka ya Maji Jiji la Mwanza umekuwa hauridhishi hata kidogo na hii imetokea tangu Mhandisi Sanga ambaye kwa sasa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji kuondolewa kutoka Mamlaka hii na kupewa wadhifa mwingine. Mfano hai ni pale kila kukicha kuna shida ya maji...
  7. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza latoa Tsh. bilioni 2.75, uchaguzi Nyamagana CCM kupeta

    Jiji la Mwanza latoa Tsh. bilioni 2.75, uchaguzi Nyamagana CCM kupeta Serikali imetumia zaidi ya Tsh. Bilioni mbili (2) kuwawezesha kiuchumi wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika halmashauri ya jiji la Mwanza kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Fedha hizo zilitolewa na jiji la...
  8. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais nisimamie elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS NISIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" KWIMBA, MWANZA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu...
  9. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Nitakuwa rais Msikivu, nitaunda Serikali ya Ummoja wa Kitaifa

    NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" MAGU , MWANZA Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
  10. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji la Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50

    Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50 Jiji la Mwanza chini ya Mkurugenzi wake, Kiomoni Kibamba limezidi kuchafuka na kukithiri kwa majengo yanayojengwa kiholela kutokana vibali vya ujenzi kutolewa kinyume na utaratibu. Jiji hilo kupitia Idara ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikiliza press conference ya Mwanza, sasa najua hakuna aneyeweza kukunali mdahalo

    Nimesikiliza clip ya Lissu akijibu maswali ya wanahabari kwenye mkutano wao jana jijini Mwanza. Kwa jinsi alivyoweza kujibu kwa hoja nzito maswali yote aliyoulizwa na waandishi, nimemuona Lissu kama Nerere mwingine katika uwezo wa kujenga, kujibu na kutetea hoja. Sidhani kama katika miaka ya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Maji hakuna eneo la nyumba zinazozunguka Machinjioni Mwanza

    Kuna ndugu yangu anakaa Machinjioni Mwanza tulikuwa tunaongea nae kwa simu akasema huko kwao maji hutoka mara moja kwa wiki usiku wa manane siku usiyojua!! Nikasema hii kali maji hakuna bombani na ziwa viktoria limezunguka mji na maji hayana mwenyewe! Kweli umaskini ni akili si pesa!! Sasa watu...
  13. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Lissu jijini Mwanza ni ishara kwamba wakazi wake si wabaguzi wala wakatili

    Mwanamuziki Hayati DK Remmy Ongala alitunga wimbo wa Mwanza, Ingawa aliimba na Bukoba, Kagera Alisifu Sana ukarimu wa watu wa Mwanza. Nanukuu kidogo maneno ya wimbo huo, Kisha nitaleta hoja ya mada yangu. Remmy aliimba: Mwanza ooh Mwanza,Mwanza mji mzuriiii Mji wa Mwanza umezungukwa na lake...
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Nilipomuona Lissu jana hapa Mwanza machozi yalinitoka, hakika Mungu yupo na anaishi

    A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na za ulimwengu wake! Hakika Mungu yupo. #Ni yeye 2020
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mwanza na Mara

    Yule Mgombea wa Urais anayeongoza kura za maoni Mh Tundu Lissu leo tena anaendelea kukutana na wananchi kwa lengo la kuwaomba kura , ambapo leo atahutubia baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na baadaye ataingia mkoani Mara Kama kawaida yetu leo tena tutaendelea kuwaletea yote yanayojiri kote...
  16. Pundo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

    Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23] Siandiki waraka hapa. Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia. Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

    Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio. Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa za uhakika ========...
  18. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda NEC, Halmshauri ya Jiji la Mwanza

  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee Lukanga anaisambaratisha CCM Mwanza. Amekuwa kivutio cha kampeni, na msafisha njia kwa wagombea wa CHADEMA

    Mzee Lukanga anazungumza mambo magumu kwa njia na mifano rahisi kueleweka. Anafafanua masuala mazito kwa namna ambayo msikilizaji hawezi kusahau. Wakati mwingine kampeni za siasa hazihitaji watu maarufu wenye visomo vikubwa, bali watu wakaida kama Mzee Lukanga.
Back
Top Bottom