mwanamke

  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa mrejesho wa waliowahi kuoa Mwanamke mwenye mtoto

    Hapa uzi huu utasaidia wanaochumbia na wanaposa. Je, waliooa wanawake wenye watoto mnaweza kutupa mrejesho?
  2. Fidel80

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Ndugu zanguni ni kweli pesa ina mvuto wa Mapenzi mpaka ikafikia kipindi mtu ukavutiwa kimapenzi na mtu flani kwa sababu ana pesa? Ni kweli pesa ni moja ya chambo katika mapenzi? Pesa unaweza ukaitumia kuvuta wapenzi wengi na wakakubali kutokana na pesa yako? Ni kweli pesa ina mvuto katika penzi...
  3. The Genius

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Penzi la Mwanamke (The Power Of The Pussy)

    PDA-Mwanamama Kara King,aliandika kitabu cha ,If Men are Dogs ..This Is Animal Control. The Power Of The Pussy ,How To Get What You Want From Men:Love ,Respect ,Commitment ". Ukurasa wa 61 ,"Jinsia ya kike ni bidhaa ambayo haiwezi nunuliwa kama haina thamani, Unaweza kuweka jinsia ya kike...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Napomwona mwanamke mjamzito...

    Napatwa hamu sana, najua huwa wanakuwa na joto sana na wengine wanakuwa na nyege kinyama.... Sijafahamu huu ni ugonjwa au nini maana hali hii inanisumbua sana...nikimwona mja mzito natamani sana nipate nafasi ya kumgegeda.sababu napata uhakika huyu anagegedwa. Hili tatizo sijui nifanye nini...
  5. Albedo

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Jamani, girlfriend wangu anasumbuliwa sana na tatizo la maumivu kipindi cha bleeding, kwa wanaojua kama kuna tiba yoyote ambayo inaweza kumsaidia huyu binti, naombeni mawazo. Maana huwa anapata maumivu makali sana. Nawakilisha. Naombeni ushauri wenu wa kitabibu Asanteni WADAU WENGINE...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

    Natumai hamjambo wakuu Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa. Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

    Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani iliyofichika kati ya kusema ukweli au kudanganya unapokuwa 'Unamtongoza' Mwanamke wa Kitanzania?

    Ni kwamba 99% ya Wanawake Wanaotongozwa kwa Kudanganywa na Wanaume huwa wanawakubali haraka sana lakini pia 99% ya Wanaume ambao huwa wakiamua kuwa Wakweli kwa Wanawake pale wakiwa Wanawatongoza huwa wanawakosa japo wao (Wanaume) hudhani kuwa Mkweli ni 'Tiketi' ya moja kwa moja Kuuona Ufalme wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mali aliyoikuta mwanamke inaweza kugawanywa sawa endapo mmeachana?

    Ndugu wapendwa, Niligombana na mke wangu, kwa shinikizo la wazazi wake akanipeleka polisi na kufungua kesi ya jinai kuwa nimempiga so nikawekwa mahabusu na kutoka kwa dhamana. Baada ya ushauri alihiari kufuta kesi lakini baba yake akadai nimrudishie gharama aliyoitumia kuja kutatua matatizo ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke aliyekeketwa ana uwezo wa kufika kileleni?

    Habari wakuu? Kuna swali huwa najiuliza nimeona nililete kwenu kwa majibu. Swali ni je mwanamke ALIYEKEKETWA anao iwezo wa kufika kileleni wakati wa tendo?
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

    Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza...
  12. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application

    *Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri. *Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi. *Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero. *Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis. *Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu...
  13. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa shoka

  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe asiyeishiwa maajabu

    Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie kunifafanulia Haya mambo hutokea hasa sehemu za makazini, mtaani na hata chuoni. Wadada wanaonyesha kuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jua unachohitaji mapema

    Leo naomba nizungumze na wanawake. Nyie wanawake baadhi yenu ni wa.pu.uzi sana. Umri ukienda ndio mnajua mnachohitaji yaani mwanaume serious mtu mzima tena mnatambua hilo baada ya kuchezewa sana sana na masharobaro na mabraza meni. Mnapokuwa katika umri mzuri na mna mvuto mnakuwaga na nyodo...
  16. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wiki 1 au 2 kabla ya Kilele cha Sikukuu ukitongoza Mwanamke ni ngumu kukataliwa?

    Kwani hizi Sikukuu Kubwa Kubwa hasa za Kiimani huwa sina Siri gani Kubwa na iliyojificha na Wanawake kiasi kwamba Ukitongoza tu Wiki Mbili au Moja kabla ya Kilele cha Sikukuu za Idi, Pasaka na Krismasi uwezekano wa Wewe Kukataliwa ( Kutoswa ) naye ni 0%? Wajuzi wa hili hebu njooni mtupe Elimu...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

    Au labda Mwenyezi Mungu alivyowaumba Wanawake hakuwawekea ile roho dhaifu ya kutaka Kujitoa Uhai ( Kujiua ) kama ambayo inaonekana kwa Wanaume hiyo Roho si tu kwamba aliiweka bali aliigundisha kabisa na Super Glue kama si Gesi au Shaba ili isitoke milele? Wanawake wote mliopo hapa JamiiForums...
  18. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akinikataa namchukia automatically

    Habari wanajukwaa kongwe kabisa la JF, ingawa bado tunachangamoto ya kirusi hiki hatari kabisa cha COVID-19 lakini tuendeleee kunawa mikono mara kwa mara. Ni muda wa mwaka na nusu sasa mimi kama expert member wa JF sijaweza kupost Uzi hasa katika jukwaa hili. Naenda straight to the point, mimi...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nisipomuona mwanamke yeyote duniani kwa siku nitakufa siku hiyo hiyo

    Nimeshajipima na kujitambua siwezi kuishi kabisa bila kumuona mwanamke duniani ! Ikitokea hivyo nitakufa instantly hakika. Women hasa ambao sio bloodline hakika wananiumiza mno.Nakiri udhaifu wangu kwao. Kifupi naumwa bila ladies.!!!
  20. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba ukiona Ndugu wengi wa Mke (Mwanamke) wanafululiza kuja Nyumbani Kwako ni dalili ya kwamba Umeshakamatika Kindumba?

    Kuna nyumba mbili napakana nazo huu ni Mwaka wa Tatu sasa naona tu ndugu wa upande wa Mwanamke (Mke) wakifululiza kuja na hata wakija huwa wanakaa hadi waamue wao kuondoka ila Ndugu wa Mwanaume (Mume) wakija huwa hawakai hata siku tatu na wakati mwingine utakuta Mwanaume ndiyo anawaambia...
Back
Top Bottom