mwanamke

  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

    Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe. Piga mateke ngumi...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Asili inavyomuandaa Mwanamke kuwa imara

    NGUVU YA MWANAMKE Siandiki ili kuwasifia Wanawake au kwa maslahi mengine yoyote yale isipokuwa kujifunza. Natamani kueleweka wazi kuwa maandiko yangu yote likiwemo hili ni kwa ajili ya kujifunza tu na siyo nje ya hapo.Siandiki ili kuifanya jinsia yoyote ile kujiona bora yenye thamani kuliko...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Fundisho la asili la nguvu za Mwanamke

    NGUVU YA MWANAMKE Siandiki ili kuwasifia Wanawake au kwa maslahi mengine yoyote yale isipokuwa kujifunza. Natamani kueleweka wazi kuwa maandiko yangu yote likiwemo hili ni kwa ajili ya kujifunza tu na siyo nje ya hapo.Siandiki ili kuifanya jinsia yoyote ile kujiona bora yenye thamani kuliko...
  4. demigod

    JamiiForums Tanzania Kwanini inaonekana ni sawa kwa Mwanaume kulea mtoto wa mwanamke aliye Cheat?

    DOKEZO: Leo nimeamua kushusha uzi huu kutokana na video iliyovuma sana mitandaoni hasa twitter ndani ya siku tatu zilizopita. Video ilikuwa ikionyesha Jamaa akimletea zawadi ya Happybirthday mpenzi wake, ikiwa imefungwa kwenye mfuko mkubwa tu kana kwamba ni zawadi yenye ukubwa wake. Mwanamke...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimtongoza Mwanamke ndani ya Ndege anakukubalia kiurahisi mno kuliko ukimtongoza katika basi?

    Kwani Ndege ina 'Hirizi' gani kwa Mwanamke hadi hakukatalii na Basi lina ' Nuksi ' gani kwa Mwanamke hadi anakuwa Mgumu Kukubalia Upendo?
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanamke afikishwa Mahakamani kwa kuwaingiza vidole sehemu za siri watoto wa majirani zake

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake. Akisoma maelezo ya...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu

    Usioe ama. Kuolewa. kukamilisha IBADA ya ndoa Italia WHY IT IS IMPORTANT TO MARRY A PRAYERFUL SPOUSE 1. God will teach him/her how to love you through prayer 2. God will reveal things concerning you to him/her for your welfare 3. She/he will nourish your prayer life 4. She/he will protect...
  8. King Loto

    JamiiForums Tanzania Huwa sivutiwi na mwanamke mwenye hizi tabia

    Nachukia mwanamke wa kupendea mtu kisa ana pesa nachukia sana tena sana. yaani unapendwa sababu una hali bora, Mwanamke wa hivi nawashauri wanaume muwe naye makini mimi binafsi inanitokea sana yaani kama nalala na bundi aiseee wanawake wote amna hata mmoja ambaye hajawahi kuniomba pesa at first...
  9. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke ajitosa kugombea urais Zanzibar kupitia CUF. Afanya idadi kufikia sita(6) kwa upande wa Zanzibar

    MWANAMKE AJITOSA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CUF. AFANYA IDADI KUFIKIA SITA(6) KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  10. Freightliner

    JamiiForums Tanzania Huu niliofanyiwa sio utapeli?

    Siku moja wikiendi nilitembelewa na rafiki yangu hapa mjini Mbeya akitokea wilaya ya Mwakyembe huko tukakubaliana tukutane Kiwanja kimoja hapa mjini kinaitwa Mwailubi. Lakini huyu rafiki alikuja na rafiki pia, tukakaa pale tukitupia moja baridi moja moto kifupi tulikuwa tunalipa kodi ya nchi...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwanaharakati

    MWANAMKE MWANAHARAKATI Na, Robert Heriel Siku hizi dunia imebadilika na kuchukua sura ya kisogo. Kumeibuka makundi ya watu wajiitao wanaharakati katika mambo mbalimbali katika jamii. Wanaharakati walikuwepo tangu kale, zamani za mababu na enzi ya enzi. Zamani wanaharakati walijipambanua kama...
  12. IKARAHANSI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hakomolewi

    Baadhi ya wanaume hasa vijana wanapovunja mahusiano na wasichana/wapenzi wao huanza kuwatolea siri za ndani hasa maungoni na kuzitangaza hazarani kwa kudhani kuwa wakifanya hivyo watakuwa wanawakomoa na wanawake/wasichana hao hawatapata wapenzi wengine. Mfano waweza kukuta kijana wa kiume...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

    Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ijue nafasi ya " Mwanamke Bikira" katika ulimwengu wa kiroho

    Every thing in the physical realm represents something in the realm of the spirit And every thing in the physical realm is connected band attached to something in the realm of the supernatural Na kila kitu katika ulimwengu wa damu ,macho na nyama kinawakilisha kitu Fulani katika ulimwengu wa...
  15. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hivi humu JamiiForums kuna wanawake wenye roho mbaya kama huyu?

    Nimemuonea huruma sana huyu jamaa alichofanywa na huyu mwanamke wake wa zamani. Maneno aliyoambiwa nadhani yameacha vidonda vikubwa na kama akipona basi, itakuwa ni baada ya muda mrefu sana. Vijana wangu, sampuli za namna hii siyo nzuri kwa afya yako, zikimbie kila zinapojaribu kukukaribia.
  16. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania DON NALIMISON ana matarajio ya KUOA Mwanamke wa aina gani na atatoka nchi gani?

    SITARAJII KUOA Mbunge Wala Waziri Wala Mkuu wa Wilaya au Mkoa Wala Katibu Tawala.Labda Kama kunizalia watoto au kunifariji kimahaba. DON NALIMISON, nitaoa Msanii mwenzangu ama Mwanamziki au Mwanamitindo kutoka Nchini Marekani au Uingereza au Miss kutoka Miss World. G9ty. JIPANGENI UPYA.
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

    MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGWA ILI UPUMBAVU UTOKE Na, Robert Heriel Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, wake zetu, shangaza na bibi zetu. Ni viumbe muhimu kwetu na dunia kwa ujumla. Wapo wanawake wa ina mbili naam aina tatu ambao wakiolewa huwa tafrani ndani ya ndoa; Mwanamke Malaya, mwanamke mchawi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Sifa kubwa ya mwanamke mdangaji

    Leo nataka ujue namna ya kujua mwanamke ambae anadanga. Yani ile umemfia ile mbaya unajitahidi kuhudumia lakini sasa hujui kama anadanga. Sifa yao kuu ni moja tu: UONGO. Sikiliza sana ulimi wao, sifa kubwa ya mwanamke mdangaji ni uongo na pretence.
  19. Peter Maziku

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaetazamia kupata mwenza. Lets connect

    Salam wanajukwaa, Mimi sio mgeni sana wala mwenyeji sana hapa jukwaani ila napiga hatua mbele ili kuweka kusudi langu mbele yenu. Awali ya yote naamini kila jambo na wakati wake, kusudi na mandhari yoyote yaweza kua muafaka wa kukutana na kuendeleza urafiki au hata mahusiano ya kibiashara...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Aibu ya mwanamke wakati wa ujauzito husababishwa na nini?

    Jamani mshawahi kufanya utafiti wakati wa ujauzito wa wakinadada/mama. Wana aibu sana hasa ukimwangalia tumbo lake. Kwanini waone aibu wakati mimba ni Jambo la kawaida?
Back
Top Bottom