Nitumie mbinu zipi ili nioe mwanamke wa kiarabu?

Nitumie mbinu zipi ili nioe mwanamke wa kiarabu?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,086
Habarini za pilikapilika wakubwa,

Jana usiku nikiwa nimetulia zangu chumbani nilijikuta naingiwa na wazo la kutafuta mwanamke wa kuoa.

Wazo hili lilinijia ghafura sana mara baada ya kuona sasa umri umekwenda kwa hivyo mimi kama kijana sasa ni vyema nikajipatia mke sasa kisha nianzishe familia yangu.

Basi wakati naendelea kuwaza nikajikuta navuta picha ya wanawake wa kiarabu. Kiukweli nilijikuta mawazo yanani peleka mbali kwamba nipo ndani nimetulia na mwanamke wa kiarabu.

Sasa ndugu zangu mara baada ya kuwaza hivyo nataka kujaribu bahati yangu ya kutafuta mwanamke wa kiarabu nifunge naye pingu za maisha nipeni siri nitumie mbinu gani ili nimwoe mwanamke wa kiarabu.

Nitawapata mazingira gani hapa. Kama kuna mtu ana konekisheni anaweza kunisaidia pia.

Nipo serious wakubwa nipeni konekisheni. Maana najua hawa watu niwachache sana hapa Tanzania. Nimeshakua sasa nahitaji mke wakubwa.
 
Kwa andiko hili na huu mtiririko wa maneno yako ni dhahiri kuwa akili yako haijakomaa vyema kuweza KUOA kwa kuwa bado msukumo wa maamuzi yako umeegamia kwenye shauku na mihemko kuliko uchanganuzi wa akili.......

Mwanaume aliyetayari kuoa huchagua atayemfaa kwa vigezo vilivo kwenye uhalisia kulingana mazingira yake kwa wakati huo.......
 
Inamaana hata hapo Kimboka umewakosa? Hebu changamka kijana.
 
Final version yaani toleo la mwisho kama ilivyoelezwa na msemaji hapo.

Hayo hapo juu🖕🖕 sio maneno msinione mbaguzi nimenukuu tu
hahahaaaa, aise hiyo ni nomaa sasa.
 
Back
Top Bottom