Nini husababisha hii hali kwani sijaanza Kukutana nayo juzi, jana au leo kutoka kwa Wanawake ambao huwa nakutana nao hasa katika Matukio ambayo muda mwingine huleta Mshtuko kama Ajali au Taarifa za Misiba.
Na kuna Mmoja nakumbuka akiwa Kanisani kabisa kwa Kutokuamini kuwa Siku hiyo alikuwa...
JESHI la Polisi mkoani Rukwa linawasaka watu wasiojulikana kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga mawe, mwanamke aliyefahamika kwa jina la Maria Birika (40), mkazi wa Kijiji cha Myunga, Kata ya Mkali, wilayani Kalambo.
Imeelezwa kuwa watu hao wamemfanyia kitendo hicho kwa kumtuhumu kujihusisha na...
Kuna Mtaalam Mmoja nimetoka Kumsikiliza muda si mrefu na alichokisema nimeamini kuwa kumbe Kukimbia Kasi siyo Kuwahi Kufika Uendako.
Je, Kumkandamiza Mwanamke Mabao / Magoli mengi ndiyo Kumtosheleza kwa Kufika Kwake Kileleni au ni Ushamba na Kujichosha kama siyo Kujiumiza Mwenyewe?
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Beatrice(42) amewaua wanae wanne kwa sumu, Mjini Naivasha Kenya. Watoto hao ni wana umri kati ya miaka miwili hadi minane
Imedaiwa ya kuwa mwanamke huyo alikuwa amesimamishwa kazi kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali, NGO mjini humo miezi miwili iliyopita...
Kuna watu kama wanne hivi wa karibu ninaofahamiana nao, hao wanaume aisee wako vizuri kifedha, wana nyumba wana magari mazuri ya kutembelea na biashara wanazo zinazowaingizia pesa mingi.
Sasa kinachonishangaza ni kuwa hao wote wana-struggle kupata wadada wa kuwa nao kwenye mahusiano, pamoja na...
Nimesikia Habari za Chuo cha Utumishi Tanga, Vijana wamezichapa hadi mmoja akaaga dunia kisa binti Sauda Hussein waliyekuwa wanachangia kimapenzi.
Bado najiuliza huyu Sauda alikuwa na utamu kiasi gani? Mpaka hii mijemba kuona chuo kizima ni yeye tu wengine hawafai mpaka wakaanza kumgombania...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar
Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo
------
Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi...
MORRISON KUKATWA MSHAHARA:
Yanga yatoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Bernard Morrison, yasisitiza kuwa ni mchezaji wao halali hadi Julai 2022, yasema itamkata shilingi milioni 1.5 kwenye mshahara wake kwa kosa la kufanya mahojiano na chombo cha habari kinyume na utaratibu.
Chanzo: Azam TV...
Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu.
Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu wa fani yangu, na watu wengi wakawa wanachangia maoni
Siku moja nikapokea text messenger kutoka kwa...
Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha.
Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi
Nyota nzuri ya mahusiano mara nyingi huonekana mwanzo wa mahusiano, enyi wanaume wenzangu ukijichunguza vizuri, utagundua kuwa wale wadada uliowatongoza, halafu wakakukubalia haraka na wakakupa papuchi kirahisi, mara nyingi ndo walidumu na wewe kwa mda mrefu, kama mliachana bhasi, basi ni wewe...
Mwanamke ni kiumbe mwenye nguvu na uwezo wa kufanya chochote kile ambacho amedhamiria kufanya. Ndio maana wanasema ukimfundisha mwanamke mmoja ni sawa na kuifunza jamii nzima. Lakini ni wazi kwamba mwanamke yuko tofauti na mwanamme. Hata hivyo utofauti huu wa kimaumbile haufanyi iwe sababu ya...
Habari.
Moja ka moja kwenye maada, Ni sahihi mwanamke/mke/girlfriend kumkosoa mume wake/boyfriend anapokosea?.
Mfano, mwanaume kamtumia mwanamke/mke wake text kwa lugha ya English. Hiyo text ikawa na makosa, sio ya bahati mbaya bali ni kwamba mwanaume hajui hiyo lugha vizuri. Mwanamke...
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia,unamfulia nguo, halafu kwa unampa na mapenzi moto moto unajikunja mwenyewe kwenye sex mtoto wa watu viuno feni mwenyewe na kilio juu cha mahaba unampa mpaka style za akiba za kwenye ndoa mpaka unataka kuvunja mgongo hadi...
Kwa mfano, mwanaume akiwa na umri mdogo kuliko mwanamke, au mahusiano ya kimwili tu si mapenzi (friends with benefit) au ukute ni kuwa partners pasipo na drama au mahusiano ya kimaslai (sugar dating) nk.
Hayo mahusiano kwa hapa TZ yakitokea wahusika huonekana ni watu waajabu sana, issue kama...
Hivi nimeshakutana na watu kama watatu wakiliona suala la wenza wao kuwa na urafiki sana na wanaume kuliko wanawake. Kisingizio wanawake hawapendani. Nao wanaridhika kabisa
Kuna kuwa kuna urafiki wa kawaida kweli? Au kuna urafiki wa kunufaishana?
Iwe na maneno uliyoyasikia kwa muda mrefu, leo unawakuta bar wakitafuna nyama choma. Kuna wake wa Mikocheni wanafikiria hajulikani Mbagala, mara unamuona mume wako na taulo kiunoni anatoka kuoga tena kwenye nyumba ya choo cha ushirika.
Utachukua maamuzi gani?
Naomba nionyeshe mapendekezo yangu juu ya Spika ajae katika Bunge letu laJamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mwanadada Tulia Ackson anafaa kuwa Spika wa Bunge letu la JMT mwaka 2021.
Ila angalizo akagombee Tukuyu au awe wa kuteuliwa kama alivyo sasa. Mbeya hapana Sugu bado heshima na...
Nilisimulia kisa cha mimi kupigwa na wife na frying pan na remote jichoni. Wengi walinilaumu kuwa nilipaswa nimchakaze vibaya wife.
Soma Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...
Sikushauri! Usimpige mwanamke ukiwa na hasira naye akiwa na hasira utamuua. Wanawake wenyewe hawa wa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.