Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani akifumania anaumia zaidi?

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,378
Hebu tuwe wakweli jamani mana nasikia watu wanakunywa hadi sumu maana nasikia wanaume wanaumia sana hadi wanakonda ila dada zetu wala hawaumi sana na haswa akiwa mzuri

Kwani sijawahi sikia mwanamke kumuuwa mumewe kwa wivu wa mapenzi ila mwanaume ndio wanauwa tena kinyama
 
Mimi baada ya kumfumania girl wangu akiwa juu ya dushe lingine anakata mauno!
EoFgP-3VQAEodI6.jpg
 
Wote huumia ila wanaume huumia na kuona aibu kuwa watadharaulika na watu, ila wanawake kinachosaidia huumia na kupuuza na ndiyo maana visasi vyao huwa si vya nchi hii !
Wanaume kinacho waumiza zaidi Ni issue za ki_finance cuz kuna wengine Huwa Wana wahonga wanawake thamani za kila Aina wakidhani kuwa itasaidia kuwafanya wabaki katika maisha yao ....

So inapotokea mwanaume ambaye Ni nguli wa kuhonga akamfumania GF/Mke wake huwa anaumia mara mbili cuz huanza kufikiria gharama zake alizo mgharamikia mwanamke pia hufikiria pia na hisia zake za upendo jinsi zilivyokosa kuthaminiwa
 
Wanaume kinacho waumiza zaidi Ni issue za ki_finance cuz kuna wengine Huwa Wana wahonga wanawake thamani za kila Aina wakidhani kuwa itasaidia kuwafanya wabaki katika maisha yao ....

So inapotokea mwanaume ambaye Ni nguli wa kuhonga akaachwa huwa anaumia mara mbili cuz huanza kufikiria gharama zake alizo mgharamikia mwanamke pia hufikiria pia na hisia zake za upendo jinsi zilivyokosa kuthaminiwa
Mada inasema fumanizi sio kuachwa
 
Wanaume tunaumia zaidi tunakonda mpk seli hai za damu!,maji tunaona konyagi,shetani tunamuona nae ni malaika na zaidi uhai huwa tunaona ni kifo!
 
Wanaume tunaumia zaidi tunakonda mpk seli hai za damu!,maji tunaona konyagi,shetani tunamuona nae ni malaika na zaidi uhai huwa tunaona ni kifo!
Tatizo huwa mnapomfanyia mwanamke unaona yeye ana moyo wa chuma, mara nyingi kwa wanawake huwa ni visasi
 
Ila tu tukubaliane visasi vyetu ni nyoko sana ujue, ndo maana tukazidishiwa huruma la sivyo dunia isingetosha hii
yaani kuna dada baada ya kubamba mmewe yaani koloni la zamani limeibuliwa haaa haaa, anasema nishafuta machozi duu jamani wanaume wawe na adabu kwa wenza wao
 
yaani kuna dada baada ya kubamba mmewe yaani koloni la zamani limeibuliwa haaa haaa, anasema nishafuta machozi duu jamani wanaume wawe na adabu kwa wenza wao
Wachepuke ila wajitahidi wake zao tusijue, huo ndo uanaume kinyume chake wajiandae kukiona cha moto, wanawake tuko kama tembo hatusahau
 
Back
Top Bottom