mwanamke

  1. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Napenda mwanamke akiwa na Handbag nzuri!

    Mimi hupenda mwanamke anayejali kuwa na handbag nzuri. Je wewe?
  2. Heloo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke, fanya haya kuimarisha mahusiano yako

    Wasalaaam waungwana, Leo nijikite moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu mahusiano. Ni Mara nyingi sana watu hasa wapendanao kuwa na migogoro ya Mara kwa Mara na kupelekea kuchokana na kukinai mahusiano na kuachana. Nini sasa kifanyike ewe mwanamke mwenzangu. Tujitahidi kwa haya yafuatayo...
  3. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Naombeni kanuni za kuishi na bosi mwanamke

    Nimepata kazi naombeni kanuni za kuishi na boss mwanamke, madhaifu yao pia, wanapenda nini pia Nimewakilisha wacha nisubirie. Nimalizie kwanza taratibu kulamba mfupa uliowashinda fisi nipo nao ndani hapa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani nzuri kwa kumtoa out mwanamke unapokutana naye siku za mwanzo?

    Wanajopu tupeane uzoefu kidogo hapa je ni sehemu ipi nzuri kwa kumtoa out mwanamke mnapokuwa katika uhusiano wa mwanzo ili afurahi na aone umemtendea vyema. Nikifikiria kwenda naye club nahisi atakuona kama mtu wa viwanja sana na ikampa wasiwasi juu yako kama yeye si mtu wa kwenda katika kumbi...
  5. huku kwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Habari wana JF, Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi. Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda...
  6. Raynavero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti amjibu mama yake, ndio maana baba ana mwanamke mwingine

    Wanajamvi hii imetokea ni rafiki wa mama kaja kushtaki mwanawe kamtukana hivyo, baada ya kumsema mwenendo wake hauridhishi atapata mimba isiyo na baba. Akamtamkia maneno hayo ila kaka wa yule msichana alivyosikia akampiga makofi dada yake. Msichana akaenda polisi, mama na kijana wake wakaja...
  7. jembe afrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na mwanamke mweusi

    Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaani nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni:- 1.Ni wa mooooto 2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe 3.Hachakai haraka 4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa Kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa...
  8. Hornet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

    Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka! Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
  9. josewatano

    JamiiForums Tanzania Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

    Mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
Back
Top Bottom