Sijisikii vizuri lakini nimepima sina UKIMWI

Pole mkuu tatizo kichwa cha chini kikipata moto hakinaga uvumilivu, kikimaliza shida zake kwenye chaka novi kinalala kinakiachia kichwa cha juu balaa.
 
Kijana unawezaje kumwamini mwanamke ambae mnakutana tu alafu unakula mzigo bila kondom aisee kuwa makini jali afya yako
 
Back
Top Bottom