💃Mwanamke dawa nashuhudia 🏝

SAFARI HURU

New Member
Dec 3, 2020
1
1
1. Ni siku ya tatu leo.
Nipo hoi kitandani
Natweta sijitambui.
HAKIKA mwanamke ameniponya.🦚

2. Tumbo limenitesa,
Tumbo limekatakata
Nimekwenda NENDA nenda rudi, mbio bila mshindani.🏃🏾‍♂️

3. Muziki mkali ulipigwa,
Huo bila ya nota,
Nikifumba macho
Kwa maumivu tele,
Lakini mwanamke dawa.
Mchana kutwa mbio
Mbio hazikukoma mbio.🎼

4. Mwanamke ni dawa kwa mengi,
Labda ni ndoto,
Ndoto ambayo ni tenzi. Na imetenda,
Ndoto yenye tiba
Tiba ya kuhuisha.💪🏿

5. Nikwambie jambo,
Ni gumu kutekeleza,
Kwa njozi limefanyika,
Ipo kazi kulitimiza peupe, kwa njozi limetendeka,
Ni vigumu kujipangia njozi ya kuota
Kama upangavyo safari.🐫

6. Mwanamke huyu wa ndotoni,
Nililala na wanawake wawili mkekani,
Mmoja kulia na mmoja kushoto.
⚖️
6. Wote hao nawafahamu,
Ni watumishi serikalini,
Ni wake za watu
Angalia usije ukasema ingawa nimeandika✍🏿

7. Kati yao mmoja ni mja mzito wa tumbo la kujifungua
Na mwingine sijui,
Mwanamke ni dawa
Amenitibu njozini.🙏

8. Mjamzito akiwa mgongoni na mwingine tukila muwa wa kiutu uzima,
Kwa pigo moja la mshindo wa umsolopogazi
Sote tukijitambua kwa raha la kijasho.🔥

9. Yapata saa 10:10 kuamka usiku wa njozi,
Wanawake siwaoni
Nikiwa Mzungu wa nne kitandani.🌚

10. Nakumbuka tendo la mwisho
Kwa mwanamke dawa,
Bila kujali mke wa mtu tamu ya muwa,
Nikamwambia nakupenda tena,
Akatabasamu, meno meupe ingawa ni mweusi na mfupi.🍌

11. Nikambusu paji la uso akanikumbatia kisha akaondoka.
Na wa mgongoni sikumuona kaishia wapi kweli, MWANAMKE dawa.🌹

12. Kuzinduka usingizini, mkato wa tumbo haupo,
Shuka limetapakaa
uji, huo uji sijui ulitokea wapi..!
Kumbe ndo kupona.👍🏿

15. Ni usiku naandika
Njozi isinikimbie
Maono yasinitoroke
Nikwambie mwanamke dawa japo ni hatari kwa mke wa mtu.🦞

16. Tumaini la kuiona siku mpya lipo,
Nilikata tamaa, kwa kuuma meno,
Ati nikizuia maumivu ya mkato wa tumbo la mchamchaka. Kumbe dawa ni mwanamke wa njozini. ❤️

17. Nilijitahidi kula dozi majani,
Majani ya mpera juisi yake ikiwa na asali mbichi,
Kwa nusu kikombe kwa masaa kadhaa. Imeniletea na njozi ya uponyaji.
Ajabu..🤷🏿‍♂️

18. Namshukuru MAULANA kunitibu, kwa majani na
Wanawake kuhitimisha,
Iwapo ni jambo gumu kuwa na wake wawili kwa tendo moja kwa wake za watu🤝🏿

19. Hilo kwa WENGINE, lahitaji mipango,
Kwangu Mola kalitimiza kiajabu,
Amini mzimu wako, vya Wazungu
HAKIKA hivyo vinanyonga. Na wengi vimewameza👺

20. Kumbuka kuwa kila SHETANI ana mbuyu wake,
Kwa nini uabudu mzimu wa mwenzio..!
Mwanamke ni dawa. Ni tiba kwa kila namna. 🌿💃🏽
Ah...! Kumbe naota..✈️
 
Nadhani kila men anahitaji dame mmoja tuu, kwny maisha yake atakaemfundisha kutumia akili sawasawa.
Wewe bado, tulia, n kitambo kdogo tuu utaandika shauri zuri na lenye uhalisia.
 
Back
Top Bottom