mwanamke

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sudan: Kondoo ahukumiwa miaka mitatu gerezani kwa kuua mtu

    Kondoo mmoja Nchini Sudan ya Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45. Mmiliki wa kondoo huyo ameamriwa kulipa ng'ombe watano kwa familia ya mwanamke huyo na pia kondoo huyo atatolewa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya majiji makubwa Kwa mwanamke kuitwa Pisi Kali, vyawekwa wazi Rasmi!

    Wakuu Kwema! Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha! Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika. Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
  3. Codeboy Breezy

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa mwanamke unavyonitesa

    Naanza kwa masikitiko kuelezea kisa nilichikumbana nacho wakati nasoma pale chuo kikuu cha Dodoma (Udom). Kuna mwanamke(msichana) tokea Tanga wilaya fulani hivi naihifadhi alitokea kunipenda sana, hivyo hakusita kuanza kunifanyia visa na viashiria mbalimbali Ili nimtongoze lakini kwa bahati...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuache umarioo unakubalije kuishi kwa mwanamke?

    Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama humhudumii Mwanamke ni ujinga kumtungia visheria uchwara vyako

    Kwema Wakuu! Taikon ni Kaka, mume, Baba mtarajiwa, lakini pia inawezekana nikawa mchepuko mtarajiwa ( hili sitaki litokee Ila Kwa hizi pisi naona Kama najiongopea). Pia ni Babu mtarajiwa, nikiwa Kama Uncle tayari na Shemeji wa Taifa. Kuna baadhi ya tabia zetu wanaume zinashangaza Sana...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

    Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata. Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi. Pia soma > Meya wa...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa sisi ambao ni wafupi, futi 03 tunaweza pata Mwanamke mrefu akatuelewa?

    Wakuu Kuna Mwanangu wa Damu Yupo hapa Katika Dream city Dar salama Lakini Changamoto inayompa shida ni Mfupi ana Kama Futi 03. Huyu Jamaa watoto wazuri wa Daslama wamekuwa waki- Dump Sana so eti kisa Mfupi. Kuhusu hela anayo sema ndo hivyo mpaka wale mademu wetu wa Bei rahis wa sisi Graduate...
  8. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe . Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
  9. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu. Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio...
  10. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ajeruhiwa kwa risasi za polisi maeneo ya Sinza Dar es salaam

    Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa Sinza Lion Dar es Salaam, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi maeneo ya begani katika harakati za Polisi kuwatuliza raia wenye hasira kali waliokuwa wanataka kumpiga mwizi aliyekwapua simu kwenye bodaboda majira ya saa 12:00 asubuhi ya leo Mei 20, 2022 Kwa maelezo ya...
  11. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Tabia 3 za wanaume ambazo ni machukizo mbele ya mwanamke

    1.Uvivu Mwanaume mvivu, omba omba ambaye hukaa juu ya kochi na kunyoosha mikono kuomba hela kwa mwanamke, hafanyi kazi yoyote yupo yupo tu anasubiri mwanamke wake amletee hela. Biblia inasema mtu adiyefanya kazi asile (2 Wathesalonike 3:11) Pia mtu wa hivyo ni mbaya kuliko kafiri (1 Timotheo...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Shule ampiga Mzazi na kitako cha bastola baada ya kuomba uhamisho wa mwanaye

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo. Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan...
  13. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Yalitokea kwa Joyce Banda, Rais wa kwanza mwanamke nchini Malawi - kuna la kujifunza

    Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo. Akaingia madarakani, akawa...
  14. aise

    JamiiForums Tanzania Muogope sana mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela

    Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana. Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea. Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome. Wewe hauna hela...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mimba ikiharibika, kutolewa au kutoka yenyewe mwanamke anatakiwa kupatiwa cPAC haraka, ni muhimu

    Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria. Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke Mkenya ashinda tuzo ya muuguzi bora duniani

    Kenyan Anna Qabale Duba named world’s best Nurse. PHOTO/Courtesy Anna Qabale Duba from Marsabit County in Kenya has been named the winner of a prestigious award, which has prize money of $250,000 (Ksh29M). Sheikh Ahmed Bin Saeed Al Maktoum, President of Dubai Civil Aviation Authority honoured...
  17. kataip

    JamiiForums Tanzania Suala la elimu na kipato cha mwanamke na machungu kwa wanaume.

    Habari Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.?? Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili? Naona idadi ya wanaume inazidi...
  18. escrow one

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanamke ni mwanamke? Je, Mama Samia na Dkt Tulia watabariki kudhalilishwa kwa wanawake wenzao 19?

    Pamoja na vita kali ya Urusi na Ukraine lakini dunia nzima ipo kimya kushuhudia ni kwa namna gani wanawake wawili wenye nguvu zaidi hapa TZ watawalinda wenzao 19 waliodhalilishwa wiki hii mbele ya umati wa wajumbe zaidi ya 400. Kama Ndugai na Mwendazake (wanaume) waliweza kuwalinda, nyie...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke anayeishi na VVU

    Habari zenu wanajf? Nimekuja humu kwenye hili jukwaa kutafuta mwanamke anaeishi na VVU ili aje kuwa mke wangu. Nina miaka 33 Nahitaji aliye serious tu Umri kuanzia miaka 29 na kuendelea Kwa aliyetari ani pm Au kwa E-mail kkari3871@gmail.com
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ogopa mwanamke anayevaa dera

    Huu ni ushauri wangu kwenu wakulungwa wenzangu. Mwanaume mwenzangu ogopa sana mwanamke anayevaa dera tena mchana. Utakuja kunikumbuka.
Back
Top Bottom