mwanamke

  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki mwanamke

    Sifa Awe na umri wa miaka 33 na kuendelea Awe Muislam na anajitegemea (mfanyakazi/mfanya biashara) Asiwe kwenye Ndoa Sifa zingine karibu pm
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1 Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ujinga wenu tu sex kitu cha kawaida sana kwa mwanamke

    Habari wadau Kule uzi wa kula tunda kimasihara unazidi kutanuka watoto wanamwaga stori tu na wanaona kama unexpected sex na demu ni jambo la kifahari sana hawa sio kosa lao, kosa ni ujinga uliopandikizwa kwenye jamii za Kiafrika kwamba mwanamke ni kitu valuable sana madogo someni hapa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanamke unampa hela nyingi halafu anaku-cheat na mwanaume ambaye ni masikini kuliko?

    Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na security guard. Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea...
  5. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje kuachana na mwanamke aliye nipenda sana

    Habari za muda huu ndugu zangu Moja kwa moja acha niende kwenye mada nilikutana na binti mmoja mtandaoni tukaanzisha mahusiano huko baada ya mda kidogo tuliweza kukutana na kuendeleza mahusiano yetu. Ila kadri muda ulivyozidi kwenda moyo wangu ulianza kutokumpenda tena, ila yeye ananipenda...
  6. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikosea anaombwa msamaha, Hii imekaaje?

    Imewatokea wanaume wengi sana wa Dar! Sisi wa mikoani hatunaga huo ujinga. Yaani mwanamke unampigia simu kwa namba yako anakata... halafu ukipiga kwa namba nyingine inapokelewa.....akisikia sauti yako tu anafoka.."Hivi we mwanaume hujui nipo msibani" Unabaki Kujibu "SAMAHANI BABY.. NILITAKA...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuchinjwa kwa binti wa mchungaji Mtungutu

    Wakati niko Safarini tokea Dar kulelekea kijijini kwenye msiba wa babu yangu, njiani kwenye njia ya kutokea Chemba kupitia kijiji kinaitwa Mtungutu, Pembezoni mwa barabara nilikuta gari la polisi likiwa na askari kadhaa, na upande mwingine wa barabara nikaona wanakijiji wengi wamekusanyika kwa...
  8. JAMES EM

    JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

    Jamani kuoa mwanamke aliyekuzid umri ni sawa. Ushauri Jaman!
  9. Poker

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo na mwenye mafanikio Afrika Mashariki na Kati

    Anaitwa Huddah Monroe! Amezaliwa mwaka 1995 october 10 huko Kenya. Elimu yake ni form 4 au high school kwa huko kenya. Amejizolea umaarafu kutokana na majarida ya ulaya na marekani kumtaja kama mwanamke mrembo zaidi kuwahi kutokea kwa africa mashariki na kati, ambapo inaaminika afrika mashariki...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kifomula; Roho ya Mungu humshukia Mwanaume wakati Roho za kishetani humshukia Mwanamke. (Siri kuu)

    KIFOMULA; ROHO YA MUNGU HUMSHUKIA MWANAUME WAKATI ROHO ZA KISHETANI HUMSHUKIA MWANAMKE. Anaandika Robert Heriel. Hatuandiki kumkashifu yeyote Ila tunaandika kufundisha na kuleta Uelewa wa mambo katika ulimwengu wa kiroho na elimu ya kimwili. Katika Dunia hii zipo pande mbili zinazolingana...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwanamke peke yake hawezi kumkuza mtoto wa kiume kuwa mwanaume

    PAKA JIKE HAWEZI KUKUZA SIMBA DUME Mwanamke pekee hawezi kumkuza mtoto wake wa kiume kwenye kizazi hiki kipya, hii haijalishi mwanamke kaelimik kiasi gani, cheo, pesa, n.k. itakuwa ni ngumu sana, ponea ya mtoto labda awe na wajomba, ndugu wa kiume, n.k wenye muda nae, pia watoto wengine...
  12. mzee wa magumashi

    JamiiForums Tanzania Shanga zinasaidia nini akivaa mwanamke?

    Salama wakuu. Naleta Uzi huu kwenu mnipe ushauri napata shida kufikiri Sana kwamba shanga zinaongeza mahaba kwa mwanamke kivipi? Au zimewekewa ashiki kuwa mwanaume akiziona dushe linatuna na mahaba kedekede siyo mzoefu na kifupi sijawahi kula mwanamke wa shanga. Na shinikizo linakuja kwa watu...
  13. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwanamke huyu kwenye mzunguko wa hedhi, siku zake za hatari ni zipi?

    Hedhi anakaa siku 3 hadi 4, Mara nyingi kwenye siku anaingia kati ya tarehe 26, 27 na 28 kila mwezi. Je, kwenye mzunguko huu hapana tatizo?, je mzunguko huu ni wa siku ngapi? Je, kwenye mzunguko huu siku zake za hatari ni zipi?
  14. S

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais Mwanamke, Spika Mwanamke, na Jaji Mkuu mwanamke?

    Ishara zinaonesha kuwa soon mihimili yote mitatu inaweza kuwa chini ya akina mama hodari, kwa sasa wawili washapatikana, watatu atakuwa nani? Namaanisha hii judiciary wingi mbona kama wako rigid and mascular sana, nao si watuletee mwana mama? ili tukamilishe utatu? mzee wa trend reading...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usimuonee huruma Mwanamke

    Kwa mkono wa Robert Heriel. Wangestahili huruma lakini si sasa. Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi. Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi. Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwingine auwawa Arusha. Akutwa amepigwa kitu chenye ncha kali.

    Mwanamke Mmoja mkazi wa Njiro mkoani Arusha amekutwa amefariki baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali. Alikiwa akifahamika kwa jina Jenerose Dewasi. unfurl="true"]Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha[/URL]
  17. Mzee nazi

    JamiiForums Tanzania Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

    Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Hakuna Kazi za Kike na za Kiume, Lakini Utangazaji Mpira Redioni, Ni Mwanamke Mmoja Tu Tanzania, Halima Mchuka.

    Wanabodi Kuna huu msemo, "Everything a man can do, a woman can do", kumaanisha hakuna kazi za kike na za kiume, kila kazi inayofanywa na mwanaume, inaweza kufanywa na mwanamke. Moja ya kazi rahisi sana ni kazi ya utangazaji, ila inahitaji kipaji. lakini kwa upande wa utangazaji wa mpira wa...
  19. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

    Ya Christmas: MWANAMKE Akilewa NI HATARI SANA KWENYE MAHUSIANO. Heri ya klisi-masi mabibi na mabwana[emoji4] Klisimasi ilikua na hekaheka nyingi Sana hasa hasa sisi wapenzi wa kuhama kiwanja hiki na kuhamia kiwanja kile. Jana ilkua sikU ya boxing day, Kama kawaida kujirusha hapa na pale...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki Sifa:awe mwanamke, umri 18-99 Awe muislamu Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe mweupe, awe mnene au mwembamba kiasu Asiwe mrefu wala. Mfupi Kabila: Lolote Awe mwajiriwa WASIFU WANGU Sio mnene sana wala mwembamba sana Sio mrefu sana wala mfupi sana Sio...
Back
Top Bottom