Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,626
- 19,930
Kwa wale mnaowapenda wake zenu hakikisheni kwamba mnawashibisha katika sehemu tatu zifuatazo;
Sikioni
Hakikisha unamsifia mkeo kwa kauli nzuri nzuri za mahaba.Jitahidi Kila unapokuwa naye unamwambia maneno matamu jinsi alivyoumbika na kuwa na uzuri wa kipekee uliokufanya umchague yeye kuliko wanawake wengine wote.
2.Mdomo
Hapa ndipo ule msemo maarafu wa " Mwanaume tafuta PESA" unapoingilia.Hangaika kutafuta pesa ili uweze kumlisha mkeo ashibe.Hakikisha mkeo anakula vizuri na kushiba.Usimuache mkeo aanze kutamani maisha ya wenzie eti kwa sababu wao wanalishwa na kuvishwa vizuri.Pambana ili uweze kumtimizia mahitaji yake kwa wakati unaofaa.
3.Ufundi kitandani
Muoneshe mkeo ufundi wa kitandani mpaka akutolee macho [emoji23]
Piga show za nguvu chumbani Hadi uhakikishe amefika kibo na mawenzi.Haijalishi umejaliwa kibamia au mhogo wa chang'ombe ili muonyeshe ufundi na urijali wako.
Nawasilisha.