mwanamke

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiondoka mwenyewe nyumbani akaenda kwao unatakiwa ufanyaje?

    Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua baadaye? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali. Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia? Tena yeye na...
  2. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mghana alivyojifungua mtoto kwenye ndege kuelekea USA

    Safari ya ndege iliyotarajiwa kuwa yenye utulivu kutoka Accra Ghana kuelekea Marekani iligeuka kuwa uzoefu ambao mwanamke mmoja mjamzito kutoka Ghana hatausahau maishani mwake, pamoja na wasafiri waliokuwemo ndani ya ndege ya Marekani United Airlines chapa UA 977. Mwanamke mjamzito alipata...
  3. Mr Kactus

    JamiiForums Tanzania ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Nimekuwa msomaji wa threads nyingi humu ndani. Leo nimeona nilete kisa changu mwenyewe humu ndani. Husika na mada hapo juu. Ni hivi, mimi ni daktari, mwanamke niliyekuwa naishi naye ni mkulima. Kwa hiyo kuna msimu wa kiangazi anakuwa idle sana maana haendi shambani.. inaweza tokea hata miezi...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex. Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani. Mtazame Aunty Ezekiel Jack Pemba alifaidi Sana. # Her eyes, the way she talk, the way she look, her rudeness...
  5. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuwa na mwanamke anayenuka kikwapa? Nampenda ila ananuka kwapa

    Naomba wale wenye uzoefu wa kuwa kwenye mahusiano na wanawake wenye ugonjwa wa kunuka kikwapa wanisaidie mbinu walizotumia kumsaidia mwanamke wa namna hii. Nina demu wangu kiukweli nampenda na hatuna kabisa mgongano wowote tumekuwa tunaelewana. Shida yake ni harufu ya kwapa, hiki kitu kimekuwa...
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye uzoefu wa kudate na mwanamke Engineer humu?

    Naje wazee? Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Huwa sipendi nikigundua mwanamke amenipendea pesa

    Mwanamke akinipendea urefu, macho, sura naona sawa kabisa, ila akiwa na mm kwasababu anaona nina vijisenti kadhaa, sio siri roho yangu huwa inajisikia vibaya Sana, na huwa nakereka nikigundua hilo, sijui wanaume wengine mnawezaje kuoa mwanamke aliewapendea hela. Mimi sio mbahili Wala mchoyo...
  8. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Kwako Mwanamke: Je, unaweza ruhusu Mpenzi/Mume wako kukunyoa kichaka chako?

    Kulingana na maumbile ya Dada zetu kuwa sensitive kidogo (mbususu) huwafanya kuwa makini Sana katika kutunza utu wao hasa kwa kuzingatia usafi muda wote, kwa hili natoa pongezi za dhati kabisa kwa wadada, maana hata nyuzi za watu kulalamika kuhusu harufu na vichaka zinapungua kwa kasi kubwa...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwanamke ajeruhiwa kwa kukatwa mapanga kisa simu ya 24,000/=

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Lyowa Mkoani Mtwara, Josephine Boniface (30) amejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kwenye miguu yake yote miwili na mumewe baada ya kupoteza simu ndogo (Kiswaswadu) yenye thamani ya Tsh. 24,000. Josephine anasema wakiwa kwenye sherehe za ngoma za jando na unyago...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata. Naitwa...
  11. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu si vya kukabidhi Mwanamke

    Hello wanaume wenzangu kokote mliko. Nawaasa sana kokote mliko Kama una familia ama hauna unaweza kuwa nayo after some time Kuna vitu katika haya maisha si vya kuweka katika miliki ya mwanamke. Utakuja kulia vibaya sana ama kujiua kama mstaafu wa Polisi kule Moshi Naorodhesha vichache! Hati...
  12. Chai Maziwa

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

    Habari Wanaume Wa JF Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu hakijamvutia kwa mwanamke. Achana na maumbile tunaongelea yale mambo wanayojiongezea au kuyapunguza...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuepuka kukataliwa na Mwanamke umpendaye kupitia hisia zake?

    Tuachane na mambo ya Hakimu [emoji23],, Wee ni kijana Mtanashati tu unavijisent vyako vya kawaida ,au bado hujasimama kiuchumi, upo kwenu au kwako isiwe sababu ya kukataliwa na Mwanamke unayempenda..... Kua Mtanashati ili ikupe mwonekano chanya alafu , yajue haya [emoji116]...
  14. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

    Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE. Hakuna watu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi au jinsia sio mzuri

    Ubaguzi ni kitu kibaya pale ambapo jamii moja uamini ni bora kuliko jamii nyingine kama ilivyo kwa mzungu kuamini anastahili kuongoza kila kitu duniani kwani ngozi nyeusi ina laana"wana amini hivyo" Akili hizo zipo pia kwenye jinsia mwanamme anaamini yeye ni bora anayestahili kutawala kila...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke halafu akakujibu hivi, anakua na maana gani?

    Mfano umempiga manzi sound, afu akakujibu NO COMMENT anakua na maana gani exactly?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni imani potofu: Mwanamume kufika haraka ni wingi wa nguvu za kiume na si upungufu. Pia mwanamke kuchelewa kufika ndio upunguvu za nguvu za kike!!

    ANGALIZO: KAMA HAUJAOA AU KUOLEWA PITA KIMYA KIMYA TU, HAIKUHUSU!! Upotofu huu umechagizwa na watu kutaka kupiga pesa!! Wanaume wanaaminishwa kuwa hawana nguvu za kiume kwa kuwa wanafika kileleni haraka (ndani ya dakika 5 goli tayari). Kwa hiyo wanahitaji dawa au virutubisho!! Hii ni biashara...
  18. nyboma

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke wangu wa nje kanitamkia kuwa anahitaji siku moja tufanye “Threesome” nimeogopa sana mood ya kuendelea nae imepotea kabisa

    Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike. Kama kawaida baada ya romance nikaanza kumpelekea moto “Nilidumbukiza nyama kwenye kiota chake vilivyo hadi...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwanamke amuua mama mkwe wake kwa sumu

    Jeshi la polisi linamshikilia mwanadada NEEMA MWAMBUSI USWEGE(29) mkoani Mwanza kwa kosa la kumlisha mama mkwe wake sumu kwenye chakula na kumsababishia umauti. Inadaiwa kuwa mama wa JAMES BULAYA (38) bi ANETH MANYIRIZU umemkuta umauti huo tarehe 13/1/2022 saa 12:00 mchana alipopelekwa...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki mwanamke

    Sifa Awe na umri wa miaka 33 na kuendelea Awe Muislam na anajitegemea (mfanyakazi/mfanya biashara) Asiwe kwenye Ndoa Sifa zingine karibu pm
Back
Top Bottom