Wakuu poleni na harakati za kila siku katika ujenzi wa taifa
Binafsi nimeshindwa kuelewa hii tabia ya mwanamke kutoa namba ya simu kwa mwanaume mwingine wakati anafaham kabisa kifuatacho hapo ni kutongonzwa na wakati yupo kwenye mahusiano mengine.
Mkasa ulionitokea.
Juzi wakati nipo job sehem...
Wakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo.
Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki aina ya sangara na Kwa aina ya u chumi wa Tanzania ana Mali ambayo ikipigiwa hesabu sio chini ya...
Kuna watu wana vituko kabisa. Yaani Kuna Jamaa mmoja tulikutane naye hapa Hapa JF baada ya kuomba msaada jinsi gani Ninaweza kurudisha ex wangu. Jamaa alinifata inbox kunipa ushauri eti mwanamke halazimishwi. Eti achana naye
Dah nikaona Huyu Jamaa anafaa saana kuwa rafiki yangu Kweli tulikwenda...
Kondoo mmoja Nchini Sudan ya Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45.
Mmiliki wa kondoo huyo ameamriwa kulipa ng'ombe watano kwa familia ya mwanamke huyo na pia kondoo huyo atatolewa...
Wakuu Kwema!
Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha!
Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika.
Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
Naanza kwa masikitiko kuelezea kisa nilichikumbana nacho wakati nasoma pale chuo kikuu cha Dodoma (Udom).
Kuna mwanamke(msichana) tokea Tanga wilaya fulani hivi naihifadhi alitokea kunipenda sana, hivyo hakusita kuanza kunifanyia visa na viashiria mbalimbali Ili nimtongoze lakini kwa bahati...
Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
Kwema Wakuu!
Taikon ni Kaka, mume, Baba mtarajiwa, lakini pia inawezekana nikawa mchepuko mtarajiwa ( hili sitaki litokee Ila Kwa hizi pisi naona Kama najiongopea). Pia ni Babu mtarajiwa, nikiwa Kama Uncle tayari na Shemeji wa Taifa.
Kuna baadhi ya tabia zetu wanaume zinashangaza Sana...
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.
Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.
Pia soma > Meya wa...
Wakuu Kuna Mwanangu wa Damu Yupo hapa Katika Dream city Dar salama
Lakini Changamoto inayompa shida ni Mfupi ana Kama Futi 03. Huyu Jamaa watoto wazuri wa Daslama wamekuwa waki- Dump Sana so eti kisa Mfupi.
Kuhusu hela anayo sema ndo hivyo mpaka wale mademu wetu wa Bei rahis wa sisi Graduate...
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha
Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .
Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu.
Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio...
Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa Sinza Lion Dar es Salaam, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi maeneo ya begani katika harakati za Polisi kuwatuliza raia wenye hasira kali waliokuwa wanataka kumpiga mwizi aliyekwapua simu kwenye bodaboda majira ya saa 12:00 asubuhi ya leo Mei 20, 2022
Kwa maelezo ya...
1.Uvivu
Mwanaume mvivu, omba omba ambaye hukaa juu ya kochi na kunyoosha mikono kuomba hela kwa mwanamke, hafanyi kazi yoyote yupo yupo tu anasubiri mwanamke wake amletee hela.
Biblia inasema mtu adiyefanya kazi asile (2 Wathesalonike 3:11)
Pia mtu wa hivyo ni mbaya kuliko kafiri (1 Timotheo...
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo.
Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan...
Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.
Akaingia madarakani, akawa...
Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.
Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.
Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.
Wewe hauna hela...
Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria.
Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
Kenyan Anna Qabale Duba named world’s best Nurse. PHOTO/Courtesy
Anna Qabale Duba from Marsabit County in Kenya has been named the winner of a prestigious award, which has prize money of $250,000 (Ksh29M).
Sheikh Ahmed Bin Saeed Al Maktoum, President of Dubai Civil Aviation Authority honoured...
Habari
Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.??
Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili?
Naona idadi ya wanaume inazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.