Ni kweli kuna mwanamke anayefaa kuwa mke wa mtu yeyote(Wife Material)?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Habarini Wakuu!

Siku ya Jana imepita kuna wale ambao mlikaa kama magogo siku nzima na kuna sisi ambao Jana ilikua siku Special ila kikubwa Uzima na tupo hapa. Nirudi kwenye kitu ambacho nataka tujadili. Kila siku hili swali hua najiuliza. Hivi ni kweli Kuna Wife Material yani yule Mke kila Mtu anapenda awe nae?

Na kama yupo, yupo vipi kwa sababu ujue Binadamu tumeumbwa kila mtu na Mtazamo wake kuanzia Mavazi, Imani, Akili, Mtazamo kila kitu tupo tofauti. Sa hili swala la Mtu kua unasema huyu ni Wife Material hua lina maanisha in Common kwa wote kua huyu mwanamke anaweza kua Mke wa Mtu yeyote au hii kauli hua ipo in Individual scope?

#Friendly Reminder UCL is Back #Tuchepuke

1644908658563.png

Habarini Wakuu!

Siku ya Jana imepita kuna wale ambao mlikaa kama magogo siku nzima na kuna sisi ambao Jana ilikua siku Special ila kikubwa Uzima na tupo hapa. Nirudi kwenye kitu ambacho nataka tujadili. Kila siku hili swali hua najiuliza. Hivi ni kweli Kuna Wife Material yani yule Mke kila Mtu anapenda awe nae?
Kila mtu ana mawazo yake kuhusu aina gani ya mwanamke anataka. Ukimpata huyo wa ndoto zako yaani mwenye vigezo unavyotaka huyo ndo wife material.... Kwako lakini kwa mwingne anaweza asiwe
 
Mkuu wife material hawapo siku hizi kuna wife for materials, hawa wanaangalia mali kuliko hata wao walivyo.
Ukitaka kujua mwanamke ni wife material we usiwe na hela tu afu umwambie tutatafuta tukiwa pamoja.

Liverpool visiting Milan
Kumbe kikubwa Mawe tu Mkuu!
#Vijana wa Kloop
 
Hapana!

Waswahili husema uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu. / Kila mtu na mtuwe.
Wahuni ; Hata malaya ana bwana 😅

Mtu anaweza kuwa wife material kwa mtu ambae haoni kilichomo ndani ya huyo mwanamke.Kwahiyo hata huyo mwanamke awe na tabia njema kiasi gani hawezi kuona. Kwahiyo kila mwanamke huwa ana mtu ama watu kadhaa ambao wanaona hizo material ndani yake. Na hao watu ndio watu walio wake.

Otherwise Assalam Aleiqum.
 
Hapana!

Waswahili husema uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu. / Kila mtu na mtuwe.
Wahuni ; Hata malaya ana bwana

Aleykhum
 
Ndugu kiongozi kwa dunia ilipo Sasa na hii spidi yake kupata wife material ni mbinde
 
Labda ni kuulize Je kuna mwanamke ambaye ambaye akipita kilamtu atasema huyu mZuri???Jibu ni ndiyo ila tofauti ni type tu.

Tutasema binti mrembo ila mi napenda type hii.

Kuna mwanamke ni wife material bro ht km sio type yako ila ukweli upo pale.

Kuna wanaume wanapenda vichaa wanawake waliochanganyikiwa na maisha sasa nao tuwaingize kwenye kuchagua wife material???
 
Ukielewa nnachokiongea utapata.

Unapotafuta pia tuliza akili, usitangulize past experience kwenye mahusiano mapya.
Muombe Mungu akujalie upate mtu ambae moyo wake haujafunga maumivu.
Maana maumivu (Kumbukumbu mbaya) ndio zinawabadili wanawake wengi kuwa kama walivyo unapokutana nao.

Unaweza kupata free soul aliewekwa kwa ajili yako usiwaze kabisa
 
@Expert911 swala la kusema wife material umegoma kabisa kwmba hawapo bila hela
Nimegoma mkuu ukitaka kujua kuwa Hawa viumbe wanabadilika kila kukicha inabidi upitie experience tofauti za maisha iwe kwenye mapenzi au urafiki wa kawaida
Mkuu Kuna sifa nyingi sana za kumgrade mwanamke mpk kumpa sifa za u wife material
 
Habarini Wakuu!

Siku ya Jana imepita kuna wale ambao mlikaa kama magogo siku nzima na kuna sisi ambao Jana ilikua siku Special ila kikubwa Uzima na tupo hapa. Nirudi kwenye kitu ambacho nataka tujadili. Kila siku hili swali hua najiuliza. Hivi ni kweli Kuna Wife Material yani yule Mke kila Mtu anapenda awe nae?

Na kama yupo, yupo vipi kwa sababu ujue Binadamu tumeumbwa kila mtu na Mtazamo wake kuanzia Mavazi,Imani, Akili,Mtazamo kila kitu tupo tofauti. Sa hili swala la Mtu kua unasema huyu ni Wife Material hua lina maanisha in Common kwa wote kua huyu mwanamke anaweza kua Mke wa Mtu yeyote au hii kauli hua ipo in Individual scope?

#Friendly Reminder UCL is Back #Tuchepuke
The first born, nadhani kila mtu ana tafsiri yake ya wife material, lakini mimi kwa mchango wangu katika hii mada nakwenda na hii hadithi hapo chini.
The Prophet (ﷺ) said, "A woman is married for four things: for her wealth, for her lineage, for her beauty or for her piety. Select the pious, may you be blessed!".
Mke mwenye hofu ya Mungu mara nyingi huwa wife material, lakini pia hata mume awe mwenye hofu ya Mungu, na hofuya Mungu haijalishi imani yako, wasiyokuwa na dini hao wanaweza kuchagua mke kwa utajiri wake au nasaba yake au uzuri wake.
 
Ukitaka Wife material, awe mweupe na ana tako ni ngumu kidogo maana hao ni watu watatu tofauti.

Ila kama utataka wife material tu bila kuangalia mambo mengine hao watu wapo na ni common YES maana wife material ni tabia, utamaduni na urithi wa mafunzo kutoka kwa wife materials wa zamani(malezi ya wazazi na walezi).
 
Ukielewa nnachokiongea utapata.

Unapotafuta pia tuliza akili, usitangulize past experience kwenye mahusiano mapya.
Muombe Mungu akujalie upate mtu ambae moyo wake haujafunga maumivu.
Maana maumivu (Kumbukumbu mbaya) ndio zinawabadili wanawake wengi kuwa kama walivyo unapokutana nao.

Unaweza kupata free soul aliewekwa kwa ajili yako usiwaze kabisa
Mkuu naomba unitajie sifa kuu ambazo unajua wewe zinamfanya mwanamke aonekane ni wife material
 
The first born, nadhani kila mtu ana tafsiri yake ya wife material, lakini mimi kwa mchango wangu katika hii mada nakwenda na hii hadithi hapo chini.
The Prophet (ﷺ) said, "A woman is married for four things: for her wealth, for her lineage, for her beauty or for her piety. Select the pious, may you be blessed!".
Mke mwenye hofu ya Mungu mara nyingi huwa wife material, lakini pia hata mume awe mwenye hofu ya Mungu, na hofuya Mungu haijalishi imani yako, wasiyokuwa na dini hao wanaweza kuchagua mke kwa utajiri wake au nasaba yake au uzuri wake.
Mkuu umenena vyema
 
Labda ni kuulize Je kuna mwanamke ambaye ambaye akipita kilamtu atasema huyu mZuri???Jibu ni ndiyo ila tofauti ni type tu.

Tutasema binti mrembo ila mi napenda type hii.

Kuna mwanamke ni wife material bro ht km sio type yako ila ukweli upo pale.

Kuna wanaume wanapenda vichaa wanawake waliochanganyikiwa na maisha sasa nao tuwaingize kwenye kuchagua wife material???
Kwani swala la Wife Material na Uzuri tuna Include Mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom