mwanamke

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mchungaji mwanamke aliyekuwa jambazi sugu, aolewa na mume aliyekuwa jambazi

    Anaposimulia maisha yake ya hapo awali utadhani ni hadithi ila ni hali halisi ya maisha yake ya kale ambaye kwa sasa anajulikana kama mchungaji Rebecah Ndinda. Mchungaji ambaye amekiri kuhusika na ujambazi wa hali ya juu nchini Kenya wakati wa ujana wake miaka ya 90. Alijipata katika hali hii...
  2. ragin

    JamiiForums Tanzania Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

    Sijui hata nianzie sehemu ipi kuelezea na wana MMU mlivyo wavivu kusoma sired ndefu. Mama O alienda kwao kujifungua watoto mapacha huku kaka akiwa bize kutafta pesa, mama O kajifungua salama akaongeza miezi mitatu kubaki kwao ilipo timia miezi 6 ya mtoto ndio akarejea kwa kaka (baba O). Mama...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

    Kwema wakuu Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako. Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na...
  4. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Mwanamke ana wastani wa mawazo 70,000 kwa siku

    Uzi tayari. Ila mimi sikubaliani na utafiti kwamba eti wanawake hawana Kinga ya kutosha kutokana na kuwaza zaidi. Kama hawana Kinga mbona wanaishi Umri mrefu kuliko wanaume? ====== Imeelezwa kuwa mwanamke ana wastani wa mawazo 70,000 kwa siku na inaaminika asilimia 70 huwaza vitu vya...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tuzo za Mwanamke Kinara kanda ya ziwa

    Tuzo ya Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa Kutoka kwa Waandishi wetu Mwanza; Leo ni siku nyingine tena ambayo ni msimu wa pili wa tuzo hizi kubwa kanda ya ziwa ambapo tutashuhudia Tuzo zikitolewa kutambua michango mbalimbali ya wanawake Vinara Kanda ya Ziwa, waliogusa jamii kwa namna mbalimbali...
  6. demigod

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kusamehe usaliti kuliko Mwanaume?

    Habari wana jamvi? Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi ya kuishi, na mwanamke uliyezaa naye; bila kuathiri ndoa iliyopo?

    Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:- Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima Mtoto kutaka kuwa karibu na baba yake Mzazi mwenzako kukuhitaji muda ambao sio rafiki kwako Mzazi mwenzako kuwa na...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anakaribia kumfumania mkewe

    Aisee nyie acheni haya mambo, kutokana kuwa karibu na watu na sehemu niliyopo kuna jamaa kutoka mkoa x alimuwezesha mke wake kufanya biashara fulani kwenda mikoa fulani, baada ya biashara kukua mke kaanza kuleta zarau na kuwa bize sana na safari za huo mkoa. Basi jamaa katupigia simu na...
  9. Ndenji five

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kumteka hisia huyu mwanamke

    Wakuu wikiendi iliyopita nilienda bar moja hapa mjini. Katika kuangaza macho yangu jicho likatua kwa mrembo mmoja hivi sio mkali kivile ila alinivuti. nikaamua kumkaribisha ili aje tujumuike akakubali basi tukawa tunapiga story za hapa na pale huku tukiendeleza kupata vinywaji niseme tu yeye...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke

    Naitwa John nahitaji mwanamke mtu mzima anayejielewa. Aliye tayari anitafute kwa Whatsapp : +254781847643. Tutaongea mengi hapo.
  11. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Rithe: Tuboreshe Maisha ya Wanawake

    SIKU YA WANAWAKE DUNIANI TUBORESHE MAISHA YAO Leo ni siku ya kimataifa ya Wanawake duniani. Ni kumbukumbu inayoadhimishwa tarehe 8 Machi kila mwaka kutambua jitihada zilizofanywa na wanawake wavujajasho katika kupigania uwakilishi sawa wa kisiasa, usawa wa kichumi na kupinga udhalimu dhidi ya...
  12. chaz beezz

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemtongoza hunikataa, nahisi nina mkosi

    Hivi wakuu mnatumia ujanja gani kuwanasa Hawa watoto wazuri uko mitaani maana nyuzi nyingi humu watu wanaonesha wanachakata mbususu tofauti tofauti Tena za kiwango. Lakini Mimi kila nikijaribu kutupia maneno mawili matatu kwa msichana nae muelewa nikamuelezea hisia zangu naambulia patupu...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiyejaliwa na Mume wake ni sawa na Nchi isiyotawalika

    Assalamu Alyekum! Mwezi February ulikuwa mwezi wa wapendanao. Nikasema mwezi huo nitautumia kukutana na Mabazazi, washenzi, maharamia, wateka Manuwari na nyambizi, Pia nikakutana na wakata umeme, mabuzi, wazama uvinza, wanaapolo, wabambikaji, wanakemia na Aina zote za watu wapendao ngono...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Siwezi kupanga chumba mimi sio mwanamke😬😬

    Mwanaume kwanza unalalaje ndani😜😜
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke auawa Tabora, mwili wake watupwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Kamando Kata ya Igunga Mjini, Wilaya ya Igunga, Veronica Jackson Juma (26) ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi. Mwili huo umekutwa umefungwa kamba kwenye mikono na mdomo kuzibwa na kipande cha nguo. Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  17. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Niliyomsimulia yote kuhusu yule mwanamke kaenda kuyafikisha kama yalivyo, ushauri tafadhari

    Wakuu habari, Roho inaniuma, moja kwa moja kwenye point. Kuna rafiki zangu wawili wa kiume tulikuwa tunapiga nao story wao wanafanya kazi kwenye taasisi flani yenye mabinti warembo wengi, niliwaambia wanipe namba yamrembo mmoja nijaribu bahati yangu, wakanipatia, Kutokana na urafiki wetu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akilalamika namuacha

    Habari wakuu. Sijajua changamoto iko wapi? Mwanamke akianza kulalamika kuhusu mahusiano baina yangu na yeye hapo ndipo unakuwa mwisho wake. Siwezi kuvumilia malalamiko wala aina yoyote ya makelele. Sijajua lini nitabadilika wakuu. Nashindwa kuwa kwenye seriously Relationship.
  19. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja aligundua mama yake mzazi anatoka kimapenzi na aliyekuwa mme wake

    Mwanamke mmoja nchini Kenya aitwaye Martha Wanjiku, ameeleza kisa chake, baada ya kubaini mama yake mzazi amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mume wake kwa zaidi ya miaka 25. Martha ameeleza kwamba aliolewa na mwanaume huyo na ndoa yao ilidumu kwa miaka miwili pekee na ilipofika...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alivyomsaidia mumewe kumbaka mwanawe wa miaka minne

    Inaelezwa tukio hili lilitokea Mbarali, mkoani Mbeya bila kuripotiwa. Hiki ni kisa cha kusikitisha cha mtoto wa miaka minne, *Jane Mwikila (si jina halisi), aliyebakwa na baba yake wa kambo na kuharibiwa sehemu za siri huku mama yake mzazi akisaidia kutekelezwa kwa unyama huo. Elias...
Back
Top Bottom