Ni kwanini Vitabu vya Kiimani (Dini) vimepinga Mwanamke kuwa Kiongozi / Mtawala?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
Na je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake?

Kwenye Kitabu cha Quran (cha Waislamu) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi katika Kitabu cha Biblia (cha Wakristo) aniwekee hapa.

Tuyaheshimu sana Maagizo ya Mungu!
 
Wewe unasumbuliwa na chuki na Udini dhidi ya uislamu, sio kingine

Soma maandiko kijana usikurupuke.
Wewe leta mistari hapa, acha siasa.

Na wewe Covax , huwezi kulazimisha mtu apende li dini alilolijua na ndiyo sababu hajalichagua. Huwezi kulazmisha watu waabudu miungu yako na ndiyo sababu wana Mungu wao.

Kikbuwa ukubali kwamba mungu wa uislam si Baba wa Kristo na havifanani kwahyo acha kulinganisha. Na kwa hiyo unachotakiwa ni kujenga hoja kwa mfumo wa mungu wako kama alivyo na si lazima uegemeze uwongo wako kwa Kristo.
alla is not God.
 
Na je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake?

Kwenye Kitabu cha Quran ( cha Waislamu ) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi katika Kitabu cha Biblia ( cha Wakristo ) aniwekee hapa.

Tuyaheshimu sana Maagizo ya Mungu!!!
Una uhakika hiyo quraan ni Mungu aliiandika?
 
Binti mbona povu? nani amekulazimisha kupenda dini ambayo hujaichagua? tafuta hela coz mara nyingi chuki ya udini husababishwa na umasikini na dhiki.
Wewe leta mistari hapa, acha siasa.

Na wewe Covax , huwezi kulazimisha mtu apende li dini alilolijua na ndiyo sababu hajalichagua. Huwezi kulazmisha watu waabudu miungu yako na ndiyo sababu wana Mungu wao.
Kikbuwa ukubali kwamba mungu wa uislam si Baba wa Kristo na havifanani kwahyo acha kulinganisha. Na kwa hiyo unachotakiwa ni kujenga hoja kwa mfumo wa mungu wako kama alivyo na si lazima uegemeze uwongo wako kwa Kristo.
alla is not God.
 
Wewe leta mistari hapa, acha siasa.

Na wewe Covax , huwezi kulazimisha mtu apende li dini alilolijua na ndiyo sababu hajalichagua. Huwezi kulazmisha watu waabudu miungu yako na ndiyo sababu wana Mungu wao.
Kikbuwa ukubali kwamba mungu wa uislam si Baba wa Kristo na havifanani kwahyo acha kulinganisha. Na kwa hiyo unachotakiwa ni kujenga hoja kwa mfumo wa mungu wako kama alivyo na si lazima uegemeze uwongo wako kwa Kristo.
alla is not God.
Kumbuka waislam hatumjui mungu sisi tunae mtambua nimola wetu
Mola na mtume sws
 
Wewe leta mistari hapa, acha siasa.

Na wewe Covax , huwezi kulazimisha mtu apende li dini alilolijua na ndiyo sababu hajalichagua. Huwezi kulazmisha watu waabudu miungu yako na ndiyo sababu wana Mungu wao.
Kikbuwa ukubali kwamba mungu wa uislam si Baba wa Kristo na havifanani kwahyo acha kulinganisha. Na kwa hiyo unachotakiwa ni kujenga hoja kwa mfumo wa mungu wako kama alivyo na si lazima uegemeze uwongo wako kwa Kristo.
alla is not God.

Wakristo halisi wenye roho mtakatifu tunawafahamu na si wapiganaji vita vya maneno kama unavyotaka kufanya hapa.

Wale watu wakikupa majibu unatamani uendelee kumsikiliza ila wewe majibu yako mtu akikusikiliza anatamani kukutukana.

Mfano Mwakasege, au maaskofu ukiwauliza swali majibu yao huwa yamejaa upendo na si vita hata kama lile swali limetoka kwa mpagani.
 
Auche kulinganisha Ukristo na uislam. They are two different things and mungu wa waislam si Mungu wa Bwana Yesu Kristo. Period.

Wapi Biblia imekataza wanawake kuwa viongozi?
Bible haijakataza mwanamke kuwa kiongozi, Ila awe kiongozi wa Nini imesema. Mf wanawake wameanzisha saccos, lazima kuwe na kiongozi.

Ila kwenye kutawala happy hatuna mifano ya mitume, manabii, watawala wote wa misri na Israeli hakuwahi kutokea mwanamke.

Ila kwa Sasa kwenye Ukristo hao wote wapo Hadi maaskofu.

Tena Kuna Hadi mungu mwanamke mkristo zumaridi.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom