N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,827
- 9,536
Katika maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani 2022 mwanamama huyu/Bibi huyu ameelezea historia yake kwamba alianza kutangaza mwaka 1954 katika kituo cha "Sauti ya Tanganyika" anasema wakati mmoja kituo hicho cha redio kiliitwa "Sauti ya Mzizima" pia kiliitwa "Sauti ya Kariakoo".
Baadae kikaitwa "Redio Tanzania Dar es Salaam-RTD".
Miongoni mwa mambo amesisitiza ni watangazaji wa sasa kuzingatia maadili wakati wanapotangaza.
PICHANI: Anaghani, kwani mbali na utangazaji pia ni mshairi huyu bibi.