mwanamke

  1. Talha

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengine ni chanzo cha uharibifu wa maisha ya mwanamke

    Ila wanaume wengine ni chanzo cha uharibifu wa maisha ya mwanamke, kama mwanaume umeshindwa kuendelea na mwanamke kwanini usimuache kiamani unaamua kumzushia mambo ambayo hayafanyi ili umuharibie, ili jambo siyo zuri hata kidogo. Mwanaume unamtoa mdada wa watu mahali au kwao unampeleka sehemu...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo. Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo. 1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke. 2. Form yakwanza...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

    1. Siku hizi kuna Wanaume kwani? 2. Sina hata haja na Wanaume. 3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu. 4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu. 5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae. 6. Wanaume ni Waongo sana. 7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

    Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Uzinduzi Zanzibar akosoa kuchukua waliofeli kuwa walimu asema ndio wanadumisha elimu nchini

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation - Zanzibar Rais ahuzunika kwa kufeli sana kwa mkoa anaotokea, Kusini Unguja. Rais Samia azungumzia ubovu wa matokeo Zanzibar ambapo alitoa maelekezo na sasa ufaulu kwa wanafunzi umeongezeka. Amezungumzia...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Siafiki msemo wa "Mwanamke akiingia gheto hatakiwi kutoka kizembe" Yalinikuta mwenzenu

    Ilikuwa mwaka jana! Baada ya kuona mazoea yamezidi, mara anione aniite ite, anikumbatie mbele ya watu, vizawadi zawadi vya hapa na pale, nikajua hii papuchi naichakata soon! Nilivyompanga akakataa, nikamuuliza sababu, siku ya kwanza kasema Dini hairuhusu (binti wa kilokole), siku iliyofuata...
  7. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Ukimtatulia Mwanamke hitaji la kifedha, kinachofuatia ni hitaji la mapenzi

    Habar Wana Jf. Nadhani mmeshawahi sikia mwanamke kapangiwa nyumba nzuri, anapewa mkwanja wa kutosha lkn mwisho wa siku karuka na mtu ambaye Hana mbele wa nyuma. Naam habari ndio hiyo, bilashaka wanaume wote tunajua mwanamke na pesa ni kama uji na mgonjwa, sasa basi wewe mwanaume mwenzangu...
  8. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeandika insha juu ya jinsi ya kumuua mume ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuua mumewe

    Mwandishi wa kitabu chenye jina lisemalo 'Jinsi ya kumuua mume wako' kutoka nchini Marekani aitwaye Nancy Crampton Brophy, mwenye umri wa miaka 71 amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake aliyoyatekeleza mwaka 2018. Imeelezwa kwamba tukio la mauaji...
  9. livewise1

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuomba Msamaha kwa mwanamke

    Shout out kwa wale wote ambao bado wana imani katika mapenzi ya kweli! Katika mahusiano au ndoa kuna ups & downs ambazo huja na kupita. Impact za hizi ups & downs inategemea na stability ya washirika. Kila jinsia ina namna ya kuomba radhi/ msamaha pindi anapomkosea mwenzake. ● Kwa upande wa...
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna maumivu au mateso mwanamke huyapata wakati wa uchakatwaji?

    Maake wamekuwa na lawama kupita kiasi, utaskia mara oh "nia yako ilikuwa ni kunichezea tu", mara "aliniambia nimfuate kwake anisaidie pesa, cha kusikitisha akaichakata mbususu yangu kwa hasira kali" Sometimes mwanamke kumuita aje kwako anakuwa na ka-ugumu fulani hivi especially ambae ndo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania India: Tembo amuua mwanamke, ameenda msibani na kuikanyaga maiti ya mwanamke huyo kabla ya kuzikwa

    Tukio la kustaajabisha limetokea India ambapo tembo alimuua Maya Murmu, mwanamke wa miaka 70 aliyeenda kutafuta maji huko kijijini Raipal, Mashariki mwa India. Tembo huyo alitokea na kumshambulia mama huyo ambaye alifariki akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rasgovindpur. Siku ya mazishi...
  12. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta

    Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta Mwandishi: Mwalimu Makoba Sehemu ya Kwanza Nilipita siku ya Jumatatu huko Mwananyamala katika nyumba za ndani sana. Baada ya kuvuka mitaro mitatu, nikaona nyumba iliyokuwa na baraza kubwa. Hapo barazani alikaa binti mrembo sana ambaye kwa uzuri wake...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mzee amtwanga ngumi ya uso abiria (Mwanamke) ambaye hawajuani pasipo sababu

    Imeripotiwa asubuhi hii 07 June 2022 huko Kigamboni! Mzee mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika! Leo asubuhi akiwa kama abiria kwenye bajaji maeneo ya kisiwani, alitokea abiria mwingine njiani, ambaye ni mwanamke akiwa kavaa vizuri tu mama wa watu, yule mzee akiwa abiria ndani alimkaribisha...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa Mwanamke aliyedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu Mburahati walifungulia kesi Jeshi la Polisi

    Ndugu wa mwanamke anayedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu jijini Dar es Salaam wameliburuza mahakamani Jeshi la Polisi na Hospitali ya Taifa Muhimbili wakitaka uchunguzi wa kina kuhusu tukio hilo. Stella Moses (30) alifariki usiku wa Desemba 20, 2020 akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke lakini pia wanasahau kuigeuza hii kauli

    Habari wanajf Nina ndugu yangu wa kike aliolewa na jamaa mmoja hivi kutoka kabila la lile la wapenda sifa na wote wameingia kwenye ndoa wakiwa wote Wana hela lakini mwanaume ndio ana hela zaidi, kiukweli ndoa yao ilidumu ingawa kwenye ndoa hapakosi changamoto lakini ndugu yangu wa kike...
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nimemshushia kipigo mbele ya hadhira

    Niko na mahusiano nae, lakini huwa tunakutana bar na hotelini tu! Ni wiki mbili sasa tokea tufahamiane, mtaratibu, hana vizinga vya kimataifa, papuchi nimechakata mara tatu! Siku ya jana ikabidi nimlete kwangu kwa kuwa nimemwamini, usiku ulikuwa mzuri tu [emoji39] Cha ajabu leo asubuhi saa 12...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aweza fanyika baraka?

    .
  18. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anapoanza kukuelezea kuwa wewe ni muelewa, jua unatumika

    Salaam wakuu, Streight kwenye mada, Kiasili mwanamke hua anatafuta upenyo wowote kumtawala mwanaume, haishangazi hata pale Eden alipoambiwa atakuwa kama Mungu alishawishika kula tunda maana daima mwanamke anajua yeye ni dhaifu na ana uchu na ulafi na mamlaka. Mwanamke anapoanza kukuelezea kwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona umetongoza Mwanamke wa Kilokole ( Kimakanisa ) anakufanyia hivi au anakujibu hivi jua hataki na hakutaki

    1. Ataanza kukupa Vipeperushi vya Kanisani Kwao na Kukukaribisha kwa Kutulazimisha uhudhurie Ibada zao. au 2. Atakuambia ngoja Kwanza amshirikishe Mwenyezi Mungu na kwamba hawezi kukupa 'Mbunye' yake mpaka mfunge Ndoa. Mnaotongoza Wanawake wa Kimakanisa ( Walokole ) poleni sana na Kazi Kwenu...
  20. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

    Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu...
Back
Top Bottom