MICHO PETER
New Member
- Aug 23, 2022
- 2
- 7
Hello đź‘‹đź‘‹, habari za mida.
Leo nataka niwafahamishe kitu ambacho wengi hawakujui juu ya uumbaji. Bila shaka wengi wetu tunaelewa kuwa Binadamuu wa kwanza katika uumbaji wa mwenyezi MUNGU alikua ni ADAM akafatiwa HAWA kama msaidizi wake katika bustani ya Eden.
Hyo yote n kwa sababu ya maandiko matakatifu katika Biblia na vitabu vya kidini. Lakini Kuna mambo ambayo biblia haijaweka wazi vitu flani kama mada yeti inavyojiekeza hapo juu.
Leo nataka utambue hili kwamba kabla ya uumbaji wa HAWA alikuwepo mwanamke mwingine aliyeumbwa pamoja na ADAM jina lake aliitwa RILITH, mwanamke huyu aliumbwa sawa kabisa na ADAM licha ya kwamba walitofautiana jinsia, lakani vitu vingine walifanana kabisa ,Misuri,uwezo Yani Nguvu piah hakuna aliyekuwa dhaifu kwa mwenzake, hivyoo ikitokea kutokuelewana kati Yao basii humo bustani kutatokea vurugu isiyokuwa na Mshindi Wala anayekubali kujishusha.
Maisha yalivyozidi kuendelea bustani humo ilifikia hatia ADAM akawa anamlalamikia mwanamke huyo kwa MUNGU na kuomba abadilishiwe msaidizi kwa maana RILITH alionekana mwenye vurugu na ugomvii mda wote.
Ilifikia hatia RILITH aliamua kwenda mbali na Bustani ya Eden na kutokomea mapangoni , basi ADAM alipeleka malamiko kwa MUNGU na kudai kuwa Yule mwanamke ametoroka bustani na kwenda kusiko julikana, ndipo mwenyezi MUNGU alipo amua kutuma malaika wake kwenda kumtafuta RILITH na kukutwa katikati ya mapango makubwa, walipo mpasha habari kwamba arudi bustani ya Eden Kama matakwa ya Mungu aligoma na ndipo akaomba ruhusa kwa MUNGU kua aruhusiwe kuwa jaribio kwa wanadamu na ndipo MUNGU alipo mruhusu.
ADAM alibaki mpweke bustani ya Eden mpaka pale MUNGU alipo amua kumpa msaidizi wake mwingine ambapo alimfanya mwanamke mwenye uwezo dhaifu kulinganisha na ADAM. Aliamua kumpa mwanaume usingizi mzito na akamtoa mwanamke katika ubavu wa huyo mwanaume...katika mwanaume alifanywa mwanamke aliyeitwa HAWA.
Kadri siku zimeenda RILITH akiwa mapangoni ,shetani katika pita pita akamkuta RILITH ndipo alipo furahia baada ya kujiogotea Dodo jangwaniii, ndipo alipo anzisha mahusiano mapya na huyo mwanamke na ndipo wakaanzisha familia ya kizazi Cha kishetani , katika hao mashetani yaliongezeka na wanadamu tukazidi kuingia majaribuni .
Katika bustani ya Eden HAWA akiwa na mumewe ADAM maisha yalizudi kuendelea ndipo RILITH akiwa kwa umbo la tofauti aliamua kuingia bustani ya Eden kwa lengo la kumjaribu mwanadamu, akamuingia HAWA na kumshawishi ale tunda la uzima kwa lengo la kujua mema na mabaya, katika udhaifu mkubwa mwanamke akajikuta anaingia katika mtego wa RILITH bila kujua, Akala like tunda na ndipo akamshawishi na mumewe ADAM alile , hapo ndipo ikawa chanzo Cha kulaaniwa Shetani na Mwanadamu.
Kwa hasira ya MUNGU aliamua kuviua vimashetani vyooye vya uzao wa RILITH na akapiga vita kubwa akamtumpa duniani , na ADAM na HAWA wakalaaniwa kuzaa kwa uchungu wakafikuzwa bustani ya Eden...
Na hapo ndipo maandiko matakatifu yakapewa nafasi ya kuelezea matukio yote . Kwa kuwa historia ni kubwa na ukisema viandikwe vyote basi kitabu kingekua kikuubwa hakuna mfano , basi history ikaondoa hadithi ya RILITH na kuanzia kwenye maisha ya ADAM na HAWA na uzao wao hat milele.
Na hiyo ndiyo historia fupi ya mwanamke wa kwanza kuumbwa kabla ya HAWA.
Mjue RILITH Sasa...tukutane katika makala nyingine hapo majariwa.
Mwandishi: MICHO PETER