Saudi Arabia: Mwanamke ahukumiwa miaka 45 kwa ujumbe aliouweka mtandaoni

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
_126539947_gettyimages-1185016447-1.jpg
Mwanamke mmoja Nchini Saudi Arabia amehukumiwa kwenda gerezani miaka 45 kutokana na kuchapisha taarifa katika mitandao ya kijamii.

Mahakama ya ugaidi ilimtia hatiani Nourah bint Saeed al-Qahtani kwa kukiuka utaratibu wa umma kwa kutumia mitandao ya kijamii, haijawekwa wazi ujumbe uliosababishwa akutwe na hatia licha ya kuwa inadaiwa amekuwa akiukosoa utawala wa Saudi Arabia.

Hilo ni tukio la pili kwa Mwanamke kuhukumiwa kutokana na mitandao ya kijamii, mwingine alihukumiwa miaka 34 jela kwa kutokana na alichokuwa akichapisha kwenye ukurasa wa Twitter.


----------------------------------

Nourah al-Qahtani: Saudi woman jailed for 45 years for social media posts

A Saudi woman has been sentenced to 45 years in prison for her social media posts, in the second case of its kind this month, activists say.

A terrorism court convicted Nourah bint Saeed al-Qahtani of "using the internet to tear the social fabric" and "violating public order by using social media", rights group Dawn reported.

Little is known about her other than that she criticised Saudi leaders.

Another woman was jailed for 34 years over her Twitter activity on 9 August.

Abdullah Alaoudh, director of research for the Gulf region at Dawn, told the BBC's Newshour programme that the US-based group had learnt of Qahtani's case only after being passed court documents by a judicial source, and that it was continuing to investigate.

"Nothing in her court documents pertains to any violence or criminal activity," he said.

"The charges against her are really broad. They are using the counter-terrorism law and the anti-cybercrime law... that can criminalise any posting that is even remotely critical of the government," he added.

Several other female activists have reportedly been detained in relation to social media posts since last year. Mr Alaoudh said he feared that they could also be handed lengthy prison sentences.

"The Saudi government is sending a strong signal to the West that it does not care about human rights."

Mr Alaoudh warned that it was "impossible not to connect the dots" between US President Joe Biden's controversial meeting with Crown Prince Mohammed in Jeddah last month and "the uptick in the repressive attacks".

Mr Biden had previously vowed to make Saudi Arabia a "pariah" over its human rights record.

ALQST, a UK-based rights group, also expressed grave concern about Qahtani's sentence, which it said was "based on [her] tweets".

"As feared, we are witnessing an alarming deterioration of the human rights situation in Saudi Arabia," it added.

The Saudi Prisoners of Conscience account also tweeted that it had confirmation of the sentence, but there was no immediate comment from Saudi authorities.

Earlier in August, Salma al-Shehab, a Saudi PhD student at Leeds University, was jailed for 34 years.

She was arrested while on holiday in Saudi Araba in January 2021, and was found guilty of "providing succour to those seeking to disrupt public order" and "publishing false and tendentious rumours".

Before leaving England, the 34-year-old mother of two had called for reforms and the release of prominent activists and intellectuals imprisoned under a crackdown on dissent overseen by Crown Prince Mohammed bin Salman.

Shehab's prison term was believed to be the longest ever handed to a peaceful activist in the country until Qahtani's was reported


Source: BBC
 
Yaan Hawa jamaa eti wanataka watu wa karine ya 21 waishi karine ya mtume wao. Yaan ni shida sana aisee.
 
Mara wafunike nyuso, mara wasiendeshe magari, mara wasitoke nje peke yao bila kusindikizwa na waume zao, mara wawe na wake wenza wanne, utadhani ni wanaume peke yao wanaopenda sex! Taabu sana hawa watu!
 
Hupaswi kuhusisha iman ya dini na watawala ...soma habari vzr ndo uanze kuchangia hoja yako ...washaandika alikua anakosoa serikali we unaeka udini
Ndugu yangu hizi sheria Kali hasa kwa wanawake ziko kwenye nchi za kiislamu. Na huwezi tenganisha sheria za Saudi Arabia za kiserikali na za kidini..
 
Vipi wale wanaolazimisha watu wasipinge ndoa za jinsia moja? Vipi wale wanaosapoti ushoga?
Swala la Imani ni la mtu mmoja mmoja. Wao Wana sheria za uhuru wa kuabudu chochote kile. Wana sheria kila mtu ana haki na uhuru juu ya mwili wake.
 
Hupaswi kuhusisha iman ya dini na watawala ...soma habari vzr ndo uanze kuchangia hoja yako ...washaandika alikua anakosoa serikali we unaeka udini

Katiba ya nchi ya saudi arabia ni Quran na sunna. Ndiyo sababu watu wahusisha dini na watawala
 
Swala la Imani ni la mtu mmoja mmoja. Wao Wana sheria za uhuru wa kuabudu chochote kile. Wana sheria kila mtu ana haki na uhuru juu ya mwili wake.
So,wewe unaona ushoga ni sawa? Ila sheria zao Saudi Arabia kuhusu cyber crime law ndio mnapinga? Hii habari inahusiana vp na udini?
 
Bora aendelee kuishi kuliko ile adhabu ya kukatwa kichwa na jambia butu.
 
Swala la Imani ni la mtu mmoja mmoja. Wao Wana sheria za uhuru wa kuabudu chochote kile. Wana sheria kila mtu ana haki na uhuru juu ya mwili wake.
Je walipo halalisha ndoa za jinsia mmoja walitizama dini zao?je sheria zinapo sena ndume mbili zi pigane miti je hii ni kwa sababu ya dini zao au inatokana na asili ya dini yao...jbu swali hili
 
Yaan Hawa jamaa eti wanataka watu wa karine ya 21 waishi karine ya mtume wao. Yaan ni shida sana aisee.
makafir mbona mna chuki sana na Dini ya Uislam ?

sasa kukosoa serikali na dini vinahusiana nini ?

waulize kina Mdude nini kiliwakuta hapa Tanzania.
 
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapa?

Wazungu wanaruhusu ndoa za jinsia moja,So hapo utailaumu Dini yao?
Nyie wavaa Kobaaz muna matatizo Sana ..munalazimisha masheria yenu ya Karne ya tisa na kumi uko yafuatwe wakati hii Karne ya 21 ..yasipofuatwa munaishia kunyonga na kuua watu kiholela uyo Allah wenu anawapeleka makosa.
 
Nyie wavaa Kobaaz muna matatizo Sana ..munalazimisha masheria yenu ya Karne ya tisa na kumi uko yafuatwe wakati hii Karne ya 21 ..yasipofuatwa munaishia kunyonga na kuua watu kiholela uyo Allah wenu anawapeleka makosa.
Sasa wewe hata kuandika kwa usahihi tu hujui! Utaweza kujadili mada?

Binti vipi uliachika kwa hao unaowaita wavaa kobaz ndio maana umejenga chuki za kipumbavu?
 
Sasa wewe hata kuandika kwa usahihi tu hujui! Utaweza kujadili mada?

Binti vipi uliachika kwa hao unaowaita wavaa kobaz ndio maana umejenga chuki za kipumbavu?
Nani binti Sasa? Mvaa Kobaaz mukishatandikwa ukweli ndio munakimbiliaga kutukana, kuua ..Yani nyie hamuna tofauti na mapepo munayoabudu ..uyo Allah anawapeleka makosa kinoma.
 
Back
Top Bottom