mwanamke

  1. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Uvumbuzi wa kihistoria wampatia tuzo Mwanamke wa Kashmir

    SRINAGAR: NASIRA Akhter, mwanamke Mvumbuzi wa Kashmiri,mwaka huu alikuwa ni miongoni mwa wanawake 29, walionyakua tuzo ya kifahari ya Nari Shakti Puraskar, iliyokabidhiwa wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani na Rais wa India Ram Nath Kovind. Rais Ram Nath Kovind alimkabidhi Akhter...
  2. Termux

    JamiiForums Tanzania Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

    Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo, Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu. Mnamo Mwaka 2015 Nilikutana na binti wa kimakonde wakati nipo nmepata kazi yangu ya kwanza kwa wahindi, kama Full Stack Developer maana nilisoma...
  3. kwisha

    JamiiForums Tanzania Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

    Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia. Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu...
  4. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenibadilikia mpaka nimeona uhalisia wake

    Kuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia lililonistua zaidi ni matumizi ya lugha ya matusi ambayo Imenifanya nione rangi zake halisia Licha ya...
  5. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Rais Mwanamke? Marekani sio wajinga

    Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke. Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke). Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu. Vitabu vya torati navyo haviko kimya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kunyimwa unyumba kama hujatoa hela ya huduma kwa mwanamke?

    Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza. Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki nilichokifanya,ntahesabika nimembaka huyu mwanamke?

    Issue nzima iko hivi,nilikutana na huyu mwansmke two weeks ago,nikachukua number tukawa tunachat,nikamtongoza akanielewa,basi bana tukawa tunachat sana huku tunanyegeshana.jana jion nikamuambia aje achukue pesa flani alinipiga kuzinga,akaniambia hana nauli.nikamtumia elfu 15 kachukua uber...
  8. hamisi ndingo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    habari kamili see my linkedln Academia or Google Scholor
  9. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya

    Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya. Sio wote ni malaya kuna watu hawajikombi kombi au kuvua chupi ovyoo kwa wanaume. Watu wanataka kuishi nawatu wenye malengo,kujituma,kujiongezs na wenye heshima na upendo wa kweli
  10. raxx

    JamiiForums Tanzania Mwanamke siyo mtu kwa mujibu wa Biblia

    Wakuu kama heading inavyoeleza mwanamke sio mtu haya sio maneno yangu kwa mujibu wa biblia kitabu cha mwanzo mungu alimuumba mtu ambaye ni Adamu. Baada ya kuona Adamu amezubaa zubaa ndipo aliamua kumuumba mwanamke kwa kutumia mbavu na material mengine ambayo mimi na wewe hatuyajui Kwa ajili...
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mwanamke akikataliwa inakuwa nongwa?

    Nipo mkoani kwa ajili ya kazi maalum nikaona si vibaya nipange nyumba kabisa kwa sababu kazi hii inaweza kuchukua muda mrefu kumalizika. Kuna mama mmoja ambae wakati nahamia hapa nilimkuta kwa hiyo namchukulia kama mpangaji mzoefu wa nyumba hii. Huyu mama ana watoto wanne anaishi na kibenten...
  12. Kiungonguli

    JamiiForums Tanzania Mate sio kilainishi sahihi wakati wa tendo la ndoa na ni hatari kwa afya ya Mwanamke

    Wakati matumizi ya mate yakiwa maarufu kwa wengi wakati wa kujamiiana, hasa yanapotumika kama aina fulani ya kilainishi hasa ukeni na hivyo kuleta ladha ya tendo, habari si njema sana kwa watumiaji wa mate hayo wanapoburudika, hasa kwa wanandoa. Wataalamu wa afya wamesema kuna ongezeko la...
  13. Doswe Dossena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke akikupenda na ukamkatalia kuwa nae kwenye mahusiano anakuchukia na kukuchukulia kama adui yake wa wazi.!?

    Salaaaaaaam.! Hii imekaaje wakuu.! Mwanamke akikutaka kwa kukushawishi au kukutongoza kabisa ila ukamkatalia kuwa nae hata kwa njia za kistaarab na kiuungwana lazima ajenge chuki juu yako.!?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kumcare mwanamke ndio kumpa pesa au ni kumfanyaje?

    Za saizi watanganyika wenzangu! Kuna mwanamke niko na mahusiano nae,ila nimekua mbahili sana kumpa hela.vijipesa ninavyompa ni hivi vya nauli tu za kuja na kuondoka ghetto kwangu akiwa ananiletea mbususu. Sasa toka last weekend naona analalamika kuwa mimi simjali wala sijui kucare,nikamuuliza...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

    KUMRUHUSU BINTI AONDEKE NYUMBANI AKAJITAFUTIE MAISHA NI KUMFANYA AWE MALAYA! Anaandika, Robert Heriel. Mwanamke hatafuti maisha Ila anatafutiwa, maisha ya mwanamke yapo Kwa mume wake au Mzazi wake. Ni hatari na kosa kubwa kumruhusu binti yako akatafute maisha. Mwanaume ndiye anayekula Kwa...
  16. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Hii ndio njia pekee ya kumpata mwanamke

    Wakuu kwema, Asikuambie mtu hakuna njia ya kumpata mwanamke ya kirahisi kama kumpa hela na kumnunulia zawadi kwa kipindi cha mwanzo wa mahusiano. Fanya hivi unamtamani kuwa na mwanamke mrembo jitahidi saana kipindi cha mwanzo uwe una mjali sana yaani uwe unampa pesa na muda wako hili ni muhimu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wewe upo hatua ipi? Hatua za Ukuaji na maendeleo katika Saiko-jamii

    JE, WEWE UPO KATIKA HATUA IPI? HATUA ZA UKUAJI NA MAENDELEO KATIKA SAIKO-JAMII? Anaandika, Robert Heriel NOTE: Andiko hili ni Kwa ajili ya watu wote! Andiko hili lafaa Kwa watu wazima kujitambua na kujua namna ya kukabiliana na Mabadiliko ya ukuaji wetu WA kiakili, kimwili na kitabia Kwa...
  18. Satisfy

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa hedhi na kuchuma mboga za matunda

    Kuna huu msemo . Mwanamke akiwa kwenye hedhi haruhusiwi kuchuma mboga za matunda kama vile nyanya maji,nyanya chungu,pilipili washa na hoho. Pia vilevle haruhusiwi kupita au kushika majani ya hizo mboga akiwa kwenye siku zake. Kwa hiyo kama ni kweli ndo ivo kuna uhusiano gani kati ya hedhi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Unaweza vumilia kuishi na mwanamke ndani bila kufanya nae mapenzi?

    I mean ile situation uko na mtu ambaye si ndugu yako, na hamjawahi fanya mapenzi [emoji15][emoji15] Tuseme labda kawatembelea nyumbani kwenu, may be akakukuta hapo nyumbani, akawa hataki hata m-do Au ile mwanamke kapotea alikokuwa anaenda ukaamua kumkaribisha kwako ili kesho asubuhi aondoke...
  20. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

    Nina swali! Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani? Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi anatapika. Na...
Back
Top Bottom