mwanamke

  1. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Natamani Sana mwanamke anishike hivi

  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

    Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake. Alisema...
  3. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

    Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo... Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na mkewe pamoja na rafiki wa mkewe. Hawa wanawake wote walikuwa na vibendi vikubwa tu vya kujifungua...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

    Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo. ====== At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Taja sifa ya mwanamke mwenye kipini puani

    Mimi naanza. Miuno feni, nimeshawala kama watatu hivi wenye vipini puani mashallah watamu 🤩
  6. stephenga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiarabu au shombe shombe kwa ajili ya serious relationship

    Habari zenu!!! Natafuta mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano serious. Awe anaishi Dar es Salaam Sifa kuu na ya kwanza awe ana asili ya kiarab au colored wa asili yoyote. Umri kuanzia miaka 23. Dini yoyote Kabila lolote Elimu yoyote. Awe na hofu ya Mungu. Awe msafi Mimi sifa zangu Rangi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanamke mgumu asieweza chepuka hata ajaribiwe namna gani?

    Hebu soma kisa hapa chini kwa utafiti wangu hayupo mwanamke ambae hawez danganyika mwanamke ni dhaifu hata awe pastor ndo walivoumbwa There is this man who began chatting with me around October. The man is very handsome and with money, he began showering me with nice messages and slowly...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kumwambia ukweli Mtoto sio kumpa Sumu!

    MWANAMKE KUMWAMBIA MTOTO UKWELI SIO KUMPA SUMU! Anaandika, Robert Heriel Kuna kasumba mbaya Sana iliyoota mizizi ndani ya jamii kuwa Wanawake wanawapa sumu watoto wao ati wawachukie Baba zao. Jambo ambalo Kwa kiwango kikubwa ni uongo mkubwa. Sio dhambi wala kosa Mama kumwambia m/watoto wake...
  9. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani madhubuti kwa mwanamke asiyesikia?

    Una mwanamke mpo kwenye mahusiano, hasikii haambiwi, haoni. Ni kiburi pamoja na dharau pale ambapo anakuwa amekosea, unatamani umzabe kofi umsororoe hiyo mikamasi kwa ndoo(kichwa). Ila unamtazama tuu unamvutia kasi. Diplomasia imetumika mpaka yenyewe imechoka inataka kuchanja mbuga. Mimi niko...
  10. JOEkizyi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

    Hello JF members, Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa. Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanajaa geto hawa viumbe, au kamzizi gani kanafanya kazi wakuu? Msaada. Nawasilisha.
  11. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Manyaso ya mwanaume ni magumu kuliko mwanamke

    Morning, Ambao tumeishi kwa ndugu nikiongea hivyo mnanielewa bora akunyanyase mama mwenye nyumba kuliko baba mwenye nyumba. Nimeshaona kitu kama hiki kimewahi nitokeaga mpaka leo sitamani mwanangu aende kwa ndugu yoyote yule, sio kwenda likizo wala kumsalimia. Nilikaaga kwa aunt yangu kulala...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utagunduaje kama Kilio cha 'Utamu' cha Mwanamke ukiwa 'Unambaioloji' ni cha Uhalisia au cha Maigizo tu?

    Majibu yenu ni Muhimu sana hasa kwa muda huu ambapo Maandalizi ya Derby za Kibaioloji yakiwa yanafanyika Maghettoni na Lodge au hata Kwingineko.
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza: Mtoto wa mwaka mmoja aoza mkono kisa uzembe wa hospitalini, uchunguzi waanza

    Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza. Matatizo ya mtoto Nassoro...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

    WANAUME WA AFRIKA.! 1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal. 3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10...
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiposhobokewa huwa anachanganyikiwa

    Wakuu hii kitu ni kweli kabisa sasa nimeamini, kuna dada mmoja hapa jirani ninapoishi niliwahi kuwa nae kwenye mahusiano lakini kutokana na tabia zake za dharau na kujiuza uza kwa bei chee nikampiga chini kimyakimya bila malumbano yoyote. Karibia mwezi sasa anajipitisha pitisha ili walau...
  16. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kumfanyia mwanamke hii mbinu?

    Kwa mlioelewa picha! Hii handshake ni kwa mabazazi tu😅😅
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikaa mwaka mzima bila kuduu lazima dishi liyumbe

  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi jela kwa kosa la kumuua mwenzake wakigombea mwanamke

    Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania mwanamke. Ramadhani ambaye ni mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amehukimiwa kifungo hicho leo Jumanne...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Napendwa na kila mwanamke mpaka najuta kuzaliwa

    Habari za humu! Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa. Mimi situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Liz Truss achaguliwa kuwa Waziri Mkuu

    Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye. Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa...
Back
Top Bottom