Wanaume msihadaike na hadaa za nje, wengi mnatekeleza malengo ya wengine bila kujua na kutelekeza familia

kataip

Senior Member
Aug 21, 2013
145
74
Wanaume wenye ndoa kuanzia miaka 9. Hawa wengi unakuta wanaanza kugonga miaka 40 na zaidi.

Baada ya kupambana sana na kazi au biashara au kupata cheo hapa ndipo kipimo kamili cha uanaume kinakuwepo. wanawake rika mbali mbali hasa mabinti wenye tamaa watakupenda unajua kupendwa wewe?

Watakupenda hasa na unasema na kuhisi miaka yote mkeo hajakupenda hata siku moja na wanao. Hapa unaweweseka, utategwa, utasaliti, utaacha mke, utaoa mke au wake utaona wewe kila kitu utatamani hadi majirani uwamiliki.

Ni wachache wanavuka ambao watashinda kama kaka zangu mpaka wamezeeka sasa.
Wanashinda wale ambao waliona fitina wakawekeza kwa familia, wakashirikisha familia hasa mke baadhi ya changamoto na vipato wakadumisha ndoa zao.

Wanaume msihadaike na hadaa za nje, wengi mnatekeleza malengo ya wengine bila kujua na kutelekeza familia.
Unatengeneza BOMU, kutegua ni ngumu baki njia kuu fanya mazoezi.
 

byakunu

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
390
842
Wanaume wenye ndoa kuanzia miaka 9. Hawa wengi unakuta wanaanza kugonga miaka 40 na zaidi.
Baada ya kupambana sana na kazi au biashara au kupata cheo hapa ndipo kipimo kamili cha uanaume kinakuwepo wanawake rika mbali mbali hasa mabinti wenye tamaa watakupenda unajua kupendwa wewe??? Watakupenda hasaa na unasema na kuhisi miaka yote mkeo hajakupenda hata siku moja na wanao.
Hapa unaweweseka, utategwa, utasaliti, utaacha mke, utaoa mke au wake utaona wewe kila kitu utatamani hadi majirani uwamiriki.
Ni wachache wanavuka ambao watashinda kama kakazangu mpaka wameeka sasa.
Wanashinda wale ambao waliona fitina wakaweza kwa familia wakashirikisha familia hasa mke baadhi ya changamoto na vipato wakadumisha ndoa zao.
Wanaume msihadaike na hadaa za nje wengi mnatekeleza malengo ya wengine bila kujua na kutelekeza familia.
Unatengeneza BOMU kutegua ni ngumu baki njia kuu fanya mazoezi.

Unaandika kama unaongea?? Hujaeleweka hoja zako hazina mtiririko mzuli
 

feitty

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
2,532
3,943
Sijui ndio naanza kuzeeka au wewe ndio hueleweki.
Una point ila tatizo uwasilishwaji wake sasa.
Hebu kaa utulie utuandikie vizuri.
 

kataip

Senior Member
Aug 21, 2013
145
74
Sijui ndio naanza kuzeeka au wewe ndio hueleweki.
Una point ila tatizo uwasilishwaji wake sasa.
Hebu kaa utulie utuandikie vizuri.
Inawezekana ni uzee maana ulezi umekuwa mwingi mtaani
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom