Mwanamke kuwa na watoto wachache inamuongezea tabia ya kutotulia kwenye ndoa

sepema

JF-Expert Member
Jun 13, 2019
591
1,000
Mara nyingi hamuitikii salamu

Nilichogundua ni kwamba mwanamke mwenye watoto wengi anakuwa mtulivu Sana kwenye ndoa kuliko mwenye watoto wachache. Kwangu nimepima watoto wengi nikuanzia wanne kwenda juu na mwenye wachache ni watatu kushuka chini.

Kuna wenye watoto wachache kutokana na matatizo ya kiafya, nyie poleni. Nazungumzia hawa wenye watoto wachache kwa maamuzi yao.

Huyu mwenye namba kubwa yawatoto Mara nyingi kichwa chake kinawaza atakavyowahudumia wanae hasa kwenye kuwaandalia chakula na Mambo mengine. Mwanamke mathalani mwenye watoto watano wakati mwengine hata swala la kunyanduana na mumewe tu halipo kichwani muda wote sembuse mchepuko!

Ukija kwa hawa wenye mtoto mmoja, wawili au watatu hali ni tofauti. Wengi huona kwamba watoto wao wanaweza kuwa salama hata kwa kuangaliwa na majirani.

Nahapa waliozidi kutotulia niwenye mtoto mmoja tu.Asee hawa viumbe inafikia mahali wanajiona mabikra kabisa. Wengine wakiingia kwenye 18 za mwanaume wanayempenda hudiriki hata kukataa kuwa hawajazaa.

Najua wengi mtasema hii ni tabia ya mtu ila tambueni kwamba tabia nyingi zinakufa/kuendelea kulingana na majukumu ya mhusika.

NB: Neno BAADHI lizingatiwe hasa pale unapogundua wewe au unayemfahamu hahusiki.

Wasalaam!
 
Mara nyingi hamuitikii salamu

Nilichogundua nikwamba mwanamke mwenye watoto wengi anakuwa mtulivu Sana kwenye ndoa kuliko nwenye watoto
Wingi unaanza na wawili kuendelea yaan wakifika wawili tu kichwa kinashika moto huko 3 sijui 4 umefika mbali sana.

Sorry kidogo nitagusia kisa kimoja nilichokisoma kwenye simu ya dada mmoja kwenye simu yake wakati nikiwa nmesimama kwenye daladala yeye amekaa kwenye siti amekaa huyu dada yeye alikua na Jamaa yake wa kitambo huko (dear ex)

Wakawa wanachat basi Jamaa akawa amechombeza kupasha ushaelewa, dada akamwambia Mimi ni mama na nmeshasahau hizo habari.

Jamaa ikabidi aulize kwani una watoto wangap kwa sasa akajibu ana watoto watano Mimi nikapigwa na butwaa maana ukimwangalia ni dada wa makamo tu ila inaonekana amezalishwa mfululizo na anaelekea kuchoka.

Aisee tuwapende hawa akina Hawa tusiwafinyie hivyo hata km ni wivu na ma-ex tupunguze isiwe mfululizo wanachoka pia
 
Wingi unaanza na wawili kuendelea yaan wakifika wawili tu kichwa kinashika moto huko 3 sijui 4 umefika mbali sana, sorry kidogo ntagusia kisa kimoja nilichokisoma kwenye simu ya dada mmoja kwenye simu yake wakati nikiwa nmesimama kwenye daladala yeye amekaa kwenye siti amekaa huyu dada yeye alikua na Jamaa yake wa kitambo huko (dear ex) wakawa wanachat basi Jamaa akawa amechombeza kupasha ushaelewa, dada akamwambia Mimi ni mama na nmeshasahau hizo habari, jamaa ikabidi aulize kwani una watoto wangap kwa sasa akajibu ana watoto watano Mimi nikapigwa na butwaa maana ukimwangalia ni dada wa makamo tu ila inaonekana amezalishwa mfululizo na anaelekea kuchoka, aisee tuwapende hawa akina Hawa tusiwafinyie hivyo hata km ni wivu na ma-ex tupunguze isiwe mfululizo wanachoka pia
Mwanamke kama hajatulia hata akiwa na mimba kubwa ya kwenda leba atapigwa tu nje. Asante Kwa kututetea mkuu
 
Mwanamke kama hajatulia hata akiwa na mimba kubwa ya kwenda leba atapigwa tu nje.Asante Kwa kututetea mkuu
Sasa hio inategemea na mtu na hapo inabidi tuanzie kwenye kutulia ni nini kinacholeta utulivu kwa mwanamke?
 
Sasa hio inategemea na mtu na hapo inabidi tuanzie kwenye kutulia ni nini kinacholeta utulivu kwa mwanamke?
Mi nakwambia ivi,mwanamke anahitaji sex,hizo pesa ni bas tu sababu majukumu yanatuelemea ndo maana tunaomba.Lakini ukitaka uwe na mwanamke mtulivu ndani oa mwanamke mwenye hisia nawe,anaekupenda na penz unampa muda muhafaka hakika hana Cha kuangaikia nje.

Sasa Nyie mkitaka kuoa mnaoa mliowapenda nyinyi mwanamke akianza kutongozana unasema siwez kumwoa ni Malaya huyo kumbe unatupa dhahabu.Pesa haiwez nituliza ndani kama sikuwahi kuwa na hisia nawe aisee.UPENDO is everything mkuu 😜
 
Mi nakwambia ivi,mwanamke anahitaji sex,hizo pesa ni bas tu sababu majukumu yanatuelemea ndo maana tunaomba.Lakini ukitaka uwe na mwanamke mtulivu ndani oa mwanamke mwenye hisia nawe,anaekupenda na penz unampa muda muhafaka hakika hana Cha kuangaikia nje.Sasa Nyie mkitaka kuoa mnaoa mliowapenda nyinyi mwanamke akianza kutongozana unasema siwez kumwoa ni Malaya huyo kumbe unatupa dhahabu.Pesa haiwez nituliza ndani kama sikuwahi kuwa na hisia nawe aisee.UPENDO is everything mkuu 😜
Kwa hio hapo umeweka mpambano mwingine wa Mapenzi vs Pesa ilihali Mimi nimerejea kwenye umesema 'mwanamke km hajatulia....' sasa kabla hatujafika huku kwenye kutandaza vibunda tukilinganisha na hualisia wa mapenzi emu tuanzie kwenye utulivu ni nini kinachomtuliza mwanamke au ndio hicho umesema sex yaan apelekewe Moto ipasavyo hadi awe anatembea kwa kuchechemea ndio hua mnatulia au unamaanisha nini hapo chief?
 
Hiyo ya kuchechemea umesema wewe,ila mi nimemalizia mkuu😉
 
Wingi unaanza na wawili kuendelea yaan wakifika wawili tu kichwa kinashika moto huko 3 sijui 4 umefika mbali sana, sorry kidogo ntagusia kisa kimoja nilichokisoma kwenye simu ya dada mmoja kwenye simu yake wakati nikiwa nmesimama kwenye daladala yeye amekaa kwenye siti amekaa huyu dada yeye alikua na Jamaa yake wa kitambo huko (dear ex) wakawa wanachat basi Jamaa akawa amechombeza kupasha ushaelewa, dada akamwambia Mimi ni mama na nmeshasahau hizo habari, jamaa ikabidi aulize kwani una watoto wangap kwa sasa akajibu ana watoto watano Mimi nikapigwa na butwaa maana ukimwangalia ni dada wa makamo tu ila inaonekana amezalishwa mfululizo na anaelekea kuchoka, aisee tuwapende hawa akina Hawa tusiwafinyie hivyo hata km ni wivu na ma-ex tupunguze isiwe mfululizo wanachoka pia
Hio ndio tiba ya pisi kali mshua, wahuni wanawagonga vibendi mfululizo ili kuwatuliza wenge. Akiwa na watoto wanasumbua sumbua ni namna ya kumuweka busy.
 
Back
Top Bottom