Nimevutiwa sana kujua Historia ya mwanamke shupavu ambaye alikuwa ni mtawala wa kutoka katika kabila la waha wa Jamii ya kitutsi, ukanda wa Kasulu sehemu za Heru Juu.
Mwami Theresa Ntare (1922 - 1999)
Ambapo zama zile jamii nyingi za Kiafrika zilitajwa kuwaweka nyuma wanawake, Mwanamama huyu...
Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana.
Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata...
Sijajua kuhusu mambo ya dini kabila au jadi kuhusu wanandoa wawili (mke na mume)hua naona au kusikia kuwa endapo wanandoa upande wa mwanaume ndio anaetoa talaka endapo ataona au sikia kwa ushahidi kuwa labda mkewe kaenda tofauti na masharti ya ndoa yanavyosema.
Je, Mwanamke nae anaruhisiwa...
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Ninatafuta Mwanamke Mtu mzima wa kuwa naye Rafiki na kushauriana mambo mbali mbali ya Maisha.
Mimi n kijana wa Miaka 40, Mrefu, Mweusi Mcheshi. Nipo Dar es salaam Tabata.
Nitafute kwa kwa 0693 296 809
Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika.
Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
Habari Wanajamii.
Kuna siku moja isiokumbukwa Jina nikiwa kwenye mishe mishe zangu za utafutaji nilikwenda Kariakoo kununua material za kutengeneza maasai sendo, baada ya kumaliza manunuzi yangu nikapanda mwendo Kasi pale gerezani kuelekea zangu kivukoni nia ni kurudi home kurudisha material...
BI. MAUNDA PLANTAN NDIYE MWANAMKE WA KWANZA KUTANGAZA SAUTI YA DAR ES SALAAM
Bi. Khadija Said ni mama yangu nafungua macho namuona akiishi Mtaa wa Narung'ombe na huku Swahili na huku Sikukuu na katikati ni Mtaa wa Gogo.
Mtaa wa Gogo kulikuwa na nyumba yetu halikadhalika Mtaa wa Swahili na Mtaa...
Ndugu wadau, ndugu wana jf.
Majuzi hapa kijana mwenzenu nilikuwa nimelala na familia yangu kwenye usiku wa saa saba hivi nikapigiwa simu na namba ngeni, kwa kuwa nilikuwa nimezidiwa na usingizi sikuweza kuisikia wala kuipokea ila shemeji yenu aliisikia ikaita, alichofanya kwa ujinga wake...
Mwaka juzi kuna mwanamke ambaye tulikutana naye kwenye sherehe, Mwanamke huyo aliniomba namba zangu za simu nilimpa. Tukawa tuna chat naye kawaida tu.
Siku moja tu akaniambia ananipenda. Nikamuambia nitamjibu. Muda ambao nilikaa kimya bila kuongea naye nilikuwa na fikiria na kujaribu kumpa...
Habari,
Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate.
Anakuweka bench, sababu anajua utamchakata maisha yake yote. Ukikata tamaa utamkosa. Anakuweka kwenye vipimo vya kila aina hadi kubusiana na wanaume wenzako mbele yake. Ukikata tamaa ndo basi.
Unashangaa anakuja jamaa na hela...
Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajua nampenda sana. Akija dukani kwangu atachukua nguo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili.
Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimsalimia tu ataomba na 20,000 ya vocha nikimsalimia tu anaomba kitimoto mimi kwanini sipati msichana mwenye...
Hapo vip!
Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke.
Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu...
NB: Tukumbuke...
Katika MAHUSIANO tunayoanzisha yapo yakweli na yauongo baina ya pande zote mbili Yani MAPENZI yanakuwa na maslahi ya upande mmoja Yani kwa ufupi tunaweza kusema ni utapeli wa MAPENZI. Baadhi ya wataalamu wa Mambo wameainisha Dalili za mwanamke asiyekupenda Kama hizi
1. Nivigumu kukutambulisha...
Habari!
Nimempata binti kwakweli haombi Hela na ukimpa pesa anauliza ya nini. Nilichojifinza ni kwamba hawa wadada wanaoomba pesa hovyo ni hali ngumu tu ya maisha ndio inawafanya wakose ustaarabu.
Wadada mkizaliwa katika familia za kimaskini tafadhali msitumie miili yenu kama chambo ya...
Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
Wanaume huwa tunawathamini wanawake ambao huonesha kufurahishwa na hata yale mambo madogo tunayo wafanyia,Kwa kufanya hivyo huwa tunawapa thamani ya juu na kuzidi kuwapenda,chukulia mwanaume amekuletea kazawadi kadogo kutokana na uwezo wake au kutokana na choice yake ukaonyesha kufurahishwa nayo...
MAMA YANGU NI MWANAMKE JASIRI
Naitwa Moza Nilizaliwa Migato iliyokuwa wilaya ya Bariadi Mkoa wa Shinyanga, Ambayo Hivi Sasa Ipo wilaya ya Itilima Mkoa wa simiyu. Mimi Ni mtoto wa sita (6) Kati ya watoto (12) aliobahatika kupata mama yangu, Ambapo Kati ya hao wanane (8) ndio wako hai huku wanne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.