mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza mwaka huu kwa Kupata Mtoto wa kiume; huu ni Muhtasari wa Safari tangu mwezi Februari mwaka huu

    NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU. Anàandika, Robert Heriel Shahidi Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha ya kufungia mwaka hii hapa

    Huyu hapa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , akiwa na Askari baada ya kumaliza Mkutano wa Hadhara kwenye Jimbo la Kilolo, Mkoani Iringa. Toa maoni yako.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

    Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania. Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yasema inatoa msamaha wa Tsh. Bilioni 3 kila mwaka kwa wagonjwa wanaokosa gharama za matibabu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
  5. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji. 2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Progamu mtoto anazoweza kufanya wakati huu wa likizo ya mwisho wa mwaka

    Salaam Wazazi/Walezi Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Benki gani inatoa riba nono fixed account?

    Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi? Asante🙏
  8. Doto12

    JamiiForums Tanzania Yaani mtoto amesomeshwa mwaka mzima. Mzazi arudie kwa wiki moja.

    Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea??? Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake. Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa?? Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi...
  9. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania HESLB hizo bilioni 780+ mlizoidhinishiwa na serikali kwa mwaka 2023/2024 mmewapa wanafunzi gani?

    Hadi sasa wanajamvi sielewi kama zile taarifa za kuwa mwaka huu zaidi ya wanafunzi 220000 wanatajwa kunufaika na mkopo wa masomo kutoka heslb kuwa ni kweli, kwa sababu kila siku hapa kitaa madogo walioenda chuo kwa bashasha lote wanarudi kitaani na sura zilizokosa tumaini kabisa, yaani ni huruma...
  10. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii. 2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
  12. yvee

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Manchester United imewahi kufungwa 39-0 na Arsenal mwaka 1920

    Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920. Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaotumia vyoo bora kutoka asilimia 21 Mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 Mwaka 2022

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania imekua na ongezeko kubwa la watu wanao tumia vyoo bora kutoka asilimia 21 mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 mwaka 2022 ambapo ni hatua chanya ya kufikia lengo la 6.2 la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia ya 2030 “Sustainable Development Goals”...
  14. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kampuni zilizoleta mabasi mengi kwa mwaka 2023

    Wakurugenzi walioleta mabasi mengi zaidi mpaka sasa kwa mwaka 2023 1. Abood kaleta basi 36 2. Shabiby 30 3. BM 22 4. Kimbinyiko 10 5. Kisire Luxury 6 6. ?
  15. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Tanzania Kama stress za mapenzi zingekuwa zinaua ungekufa mwaka gani?

    Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani? Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
  16. maroon7

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa 3 Barabara Kimara - Kibaha hata street lights tu zimewashinda

    Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara...
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nilitoa mahari mwaka jana mwezi Desemba. Lakini mpaka leo sijafuata jiko langu

    Ndo hivyo wakurugenzi. Mwaka jana nilikuwa na nia kabisa ya kitaka kuoa kutokana na upole, unyenyekevu, heshima na adabu aliyokuwa nayo huyo binti licha ya uzuri na rangi yake Mahari yenyewe haikuwa kubwa kiasi hicho, ni 300k tu. Niliitoa kiutani utani nikisindikizwa na ndugu pamoja na...
  18. central midfielder

    JamiiForums Tanzania Zilitoka mwaka gani

    MSAAD KIDOGO. HIZI NYIMBO ZIKITOKA MWAKA GANI. DIAMOND FT GEEZ MABOVU NGWAIR...JISACHI. GODZILLA FT DIAMOND...MTOTO WA KIUME. TOPBAND FT BLUE...NILIKATAA GODZILLA FT ALIKIBA..MILELE
  19. Objective football

    JamiiForums Tanzania Ukininyima nakununia mwaka mzima

    Wadau imekua jadi yangu sasa kupokea walimu wa field na baada ya muda lazima niombe mzigo. Sasa juzi kuna demu kanikomesha, alipofika tu kituoni nikaomba namba zake za simu, nikaanza kushoboka nae hata darasani nikawa siingii kufundisha madogo mada ya "Sarufi na uchanganuzi wa sentensi". Basi...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nakutakia maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya 2024 in advance

    Mpendwa, Mary Christmas 🎄 and Happy New Year in advance. Tunapoelekea sikukuu muhimu za Christmas na Mwaka mpya 2024, nachukua fursa hii kukuombea Baraka na Neeema za Mwenyezi Mungu ziambatane nawe katika kila unachokifanya kujiandaa na sherehe hizi pendwa na muhimu, mathalani unajipanga...
Back
Top Bottom