Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

News TZ

Senior Member
Jun 17, 2015
103
50
2.jpg
Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania.

Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, Boomplay imetoa ripoti yake ya kila mwaka ya takwimu za muziki ambayo inaonesha namna ya wasanii walivyosikilizwa na matumizi ya watumiaji wa App hiyo ndani kwa nchi husika. Taarifa ya takwimu hizo zinazojulikana kama #BoomplayRecap2023, zimegawanywa katika sehemu tatu;- Nchi, wasani na watumiaji wa App kwa mwaka 2023.

App hiyo imeonesha ongezeko la idadi ya nyimbo ambazo kwa sasa zimefika milioni 120 na wasanii zaidi ya milioni 10 huku ikiwa na jumla ya wasambazaji zaidi ya 7500. Maudhui ya muziki yaliyopendwa zaidi kwa 2023 kupitia App ya Boomplay ni pamoja na Bongo Flava, Afrobeats, Amapiano, Afrofusion, Gospel na HipHop & Rap.

Kwa mujibu wa Boomplay Recap 2023 kwa Tanzania iliyotolewa leo, hivi ni baadhi ya vipengele vya wasanii wakubwa uliosikilizwa na kupendwa zaidi kwa waka 2023:-

Wasanii wa Kiume walioongoza kusikilizwa
Harmonize
Mbosso
Diamond Platnumz

1. Zuchu
2. Nandy
3. Yammi

Wasanii walioshamiri
  • Jaivah
  • Mavokali
  • Kontawa
Nyimbo zilizoongoza kusikilizwa

Puuh - Billnas ft. Jay Melody

Utaniua - Zuchu

Mahaba - Alikiba

Album zilizoongozwa kusikilizwa

Khan - Mbosso

Made for Us - Harmonize

The Kid You Know - Mario

Unaweza kuisoma taarifa nzima ya Boomplay Recap 2023 Tanzania na za nchi nyingine kupitia link hii… Boomplay Recap 2023

Pia, unaweza kuipata list nzima ya Boomplay Recap 2023 kwa nchi zote muhimu za Afrika kupitia App, inayojumuisha playlists maalum za kategori zote, mahadhi na wasanii. Boomplay Recap 2023 ya msanii mmoja mmoja na ile ya watumiaji wa App itakuja hivi karibuni.

Kuhusu Boomplay
Boomplay ni App ya kusikiliza na kupakua muziki iliyojikita barani Afrika ambayo ina jumla ya mamilioni ya nyimbo, video na habari za burudani. Wasikilizaji wa Boomplay wana uwezo wa kusikiliza nyimbo zao pendwa bure au kwa kulipia ili kupata huduma maalum kama kusukiliza nyimbo bila matangazo na kuhifadhi muziki kwa ajili ya kusikiliza bila kutumia intaneti. Boomplay ina watumiaji hai zaidi ya milioni 90 wa kila mwezi huku ikiwa na idadi ya nyimbo zaidi ya milioni 120 kutoka duniani kote.

Huduma hii inapatikana duniani kote kwenye simu kupitia Google Play Store kwa watumiaji wa simu za Android na App Store kwa watumiaji wa iOS na vilevile kupitia web ya www.boomplay.com. Kampuni pia ina ofisi nchini Tanzania, Nigeria, Ghana, Kenya na Tanzania.-MWISHO-
 
Ahsanteeee
 
Back
Top Bottom