Picha ya kufungia mwaka hii hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,742
218,334
Screenshot_2023-12-01-23-31-16-1.png

Huyu hapa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , akiwa na Askari baada ya kumaliza Mkutano wa Hadhara kwenye Jimbo la Kilolo, Mkoani Iringa.

Toa maoni yako.
 
Kwa hiyo kura yako moja ?
Kura haziamui nani ashinde.


Japo SIIPENDI CCM, ila hata kwa wizi, fujo, mauaji, fitina na hadaa bado CCM wataendelea kuwa viongozi kwa miaka mingi ijayo.

Mkitegemea mtaingia madarakani kwa kutegemea sanduku la kura sijui katiba mpya ooh mara tume huru ya uchaguzi SAHAUNI KUSHIKA HATAMU YA UONGOZI TAIFA HILI.

N.B VYama vyote vya upinzani ni mali ya CCM, ingawa kuna baadhi ya wapinzani wasio viongozi wakuu wa hivyo vyama wao ni WAPINZANI wa kweli.
 
Back
Top Bottom