mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
  2. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

    Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania ZaiyLissa anaweweseka na penzi la Mingoclassic mwaka huu kitawaka moto kati yake na Luludiva

    Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic. Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani ilikuwa suala la muda tu ndio maana hata ndoa yao kuvunjika ndani ya siku 45 tu haikutushtua sana na...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Tamasha la Kabila la Wamatengo Kufanyika Kila Mwaka

    WAZIRI DKT. NDUMBARO: TAMASHA LA KABILA LA WAMATENGO KUFANYIKA KILA MWAKA Tamasha la Utamaduni wa kabila la Wamatengo Mkoani Ruvuma litafanyika kila mwaka ili kutangaza utamaduni wa kabila hilo na Mkoa wa Ruvuma ndani na nje ya Tanzania. Hayo yameelezwa Oktoba 30, 2023 na Waziri wa Utamaduni...
  5. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Wasanii 8 Kutoka Bongo Waliozaliwa Kuanzia Mwaka 2000 Kwenda Juu

    Tusipoteze Muda Twende Moja Kwenye Moja Kwenye Majina Yao 1. Abigail Chams - Kazaliwa May 7, 2003 Label : Rockstar Africa 2. Yammi - Kazaliwa May 12, 2002 Label : The African Princess 3. Bruce Africa - March, 2000 Label : I AM Music 4. Cherry - July, 2000 Label : Bxtra Records 5. Anjella...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

    Binti alifika dukani mwezi wa kwanza mwaka huu, Ni binti ambae sijawahi kuwa na tatizo nae kasoro hivi karibuni Siku ya ambayo duka halifunguliwi / mapumziko huwa ni Jumapili lakini kwa sasa hali imebadilika, Kwa takribani wiki 5 mfululizo zilizopita ni lazima siku moja wapo kati ya Jumatatu...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua Google chrome inakusanya taarifa zangu nyingi niliwahama, ni mwaka wa pili sasa natumia Brave Browser.

    Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu. Google chrome ukiitumia historia yako ya kila kitu ulichosechi kitaonekana, Google chrome inatunza passwords za...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingilia kati utoaji wa mikopo mwaka 2023. Kwa Trend hii ya HESLB, wengi hawatakwenda vyuoni

    Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji. 1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi) 2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta. 3. Congratulations your application is successful...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pato la taifa Israel kwa mwaka ni $ bilioni 500 (shiling trilioni 1,200), Marekani kuwasaidia $bilioni 3 ni msaada mdogo tu, sio kama unavyokuzwa

    Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki. Pato la taifa ni Dola bilioni 500+ sawa na shilingi zetu trilioni 1,250, Naomba nieleweke kwamba kiasi hiki hakihusisiani na chochote...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika, leo Oktoba 23, 2023 jijini Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika leo tarehe 23 Oktoba, 2023 jijini Arusha. https://www.youtube.com/live/gOdQrZvdJlU?si=fUnyYXmTXBTiovDh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nani amefanya mwaka wako kwenda vizuri hata pale ambapo uliona hutatoboa? Chukua nafasi hii kumshukuru kila aliyesafisha njia yako ukapita bila shida

    Habari Wanajf? Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika. Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1973 Misri na Syria walipigana na Israel na hawakushindwa

    Imezoeleka kusikia kuwa Israel ni taifa kali lisiloshindwa kwenye vita. Hata hivyo historia inaonesha mwaka 1973 nchi za Syria na Misri pekee zilipigana kijeshi kwa siku chache kabla kusitishwa vita kwa njia za kidiplomasia baada ya madhara yake kuenea mpaka Marekani na Netherlands. Katika vita...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Wakuu, Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia. Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kanye West afuta mipango ya Kugombea Urais mwaka 2024

    Mwanasheria wa Rapa na Mfanyabiashara huyo ameliambia Jarida la #RollingStone kuwa nyota huyo ameanza kufungasha vifaa vyote vilivyoandaliwa kwaajili ya kampeni kwasababu hana tena mpango wa kuwania Urais tofauti na alivyotangaza awali. Kwa mujibu wa Mweka Hazina wa Kampeni za #YE24 Mfuko wa...
  15. Gomiki Marketing Agency

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Ofa ya viwanja

    Pata kiwanja Fukayosi Bagamoyo kwa Cash Tsh 1500 kwa Sqm 1 na mkopo Tsh 2000 kwa Sqm Muda wa mkopo ni miezi sita Malipo ya awali 20% Mfano ukichukua kiwanja chenye sqm 500 ukalipa kwa Cash bei yake ni Tsh 750,000/= tu ila ukichukua kwa Mkopo ni Tsh 1,000,000/= ambapo mwanzoni utalipa asilimia 20...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 Kamati ya Malalamiko ya TCRA iliitaka Vodacom imlipe mteja Faini ya Tsh. Milioni 1.2 kwa kufanya SIM swap kiholela

    Bahati Mekene alipeleka malalamiko katika kamati ya malalamiko ya TCRA kuhusu Vodacom kufanya swap ya laini yake ambapo ilimletea shida hata kwenye mahusiano yake kwani aliashindwa kuendelea na mpenzi wake baada ya mwenza wake huyo kupiga simu na kupokelewa na mwanaume. Tukio hili lilitokea...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania imepata ukuaji mdogo wa GDP ukilinganisha na Rwanda na Uganda kuanzia mwaka 2021

    Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda. Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Betting yachangia billioni 170 katika pato la taifa kwa mwaka 2022/2023

    Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake July 01, 2003 ambapo imesema ndani ya miaka hiyo imefanikiwa kuchangia pato la Taifa kufikia Tsh. bilioni 170.43 kwa mwaka, kuongeza ajira kwa vijana na kuvutia uwekezaji wa kampuni 67 za kitaifa na...
  19. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Vijana mwaka huu tunalo

    Kila angle vijana tumekabwa.Ni hatari.
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018, Tigo walitakiwa kumlipa mteja Tsh 1,000,000 kwa kumkata fedha ya huduma ambayo hakuwa amajiunga kwa ridhaa yake

    Mwaka 2018, MIC Tanzania Limited (Tigo) iliamriwa na Kamati ya Malalamiko ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kumlipa Ogada Ogweno Tsh. 1,000,000 kama fidia ya usumbufu. Pia walitakiwa kumrudishia Tsh 450 waliyoikata kimakosa kwa huduma ambayo hakujiunga Hali ilikuwa hivi, Ogweno alitaka...
Back
Top Bottom