Nakutakia maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya 2024 in advance

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,177
11,598
Mpendwa,
Mary Christmas 🎄 and Happy New Year in advance.

Tunapoelekea sikukuu muhimu za Christmas na Mwaka mpya 2024, nachukua fursa hii kukuombea Baraka na Neeema za Mwenyezi Mungu ziambatane nawe katika kila unachokifanya kujiandaa na sherehe hizi pendwa na muhimu, mathalani unajipanga kusafiri ama kutoka na familia nk.

Ni kipindi cha kuongeza capacity ya ustaarabu, ustahimilivu, Subra na kujizuia kufanya mambo yanaweza kuleta huzuni badala ya furaha na shangwe.

Tayari matikio ya ajali, wizi na uporaji vimeanza kuibuka maeneo mbalimbali yakihusishwa au kuchochewa na maandalizi ya sherehe hizi, tuwe makini.

Wito wangu kwako na familia yote ya JF ni kukusihi uwe mtulivu zaidi hasa nyumbani, uwe makini sana hasa katika safari, mwenye hekima na busara ya kiwango katika kuwaza, kufikiri, kusema, kuamua na kutenda chochote kile bila kumuomba au kumshirikisha Mungu ili wema wake ukatamalaki kwenye utakachoamua.

Ni muhimu sote kuwa tayari kusikiliza sauti ya wito na maelekezo ya Mungu nyakati hizi za mwisho wa mwaka2023, Tusijilazimishe kwenda safari ikiwa hapana umuhimu na kama pana uzito na ugumu fulani.

Tuepuke kuwa waerevu kupita kiasi, vilevile uerevu wetu usichochewe na vilevi, tufanye ya tupendezayo katika utimamu halisi wa akili na utashi wetu, ili kuepuka kutumbukia na kuwatumbukiza wengine matatizoni.

Tulianza mwaka 2023 na Mungu na tumalize mwaka 2023 salama na Mungu.

Mary Christmas 🎄 and happy New Year 2024 in advance once again.
 
Thanks rafiki for the jumpstart on joy and I'll begin rehearsin' my festive dance moves for next year's celebrations..😅
Mrry Christmas and I might just start a holiday dance off..

Ubarikiwe
 
Attachments

  • D44FED7D-310E-46F7-80FA-432F6F3B4E24.jpeg
    D44FED7D-310E-46F7-80FA-432F6F3B4E24.jpeg
    629.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom