mvua

  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania KWELI Sio kila maji ya mvua ni salama, baadhi hayafai kwa kunywa

    Salaam wakuu, Wakati mikoa mingi nchini ikiendelea kupata mvua ya kutosha, kwa wengine imekuwa neema kwao kwani sasa wanaweza kuvuna maji ya kutosha kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, mifugo na hata mazao. Sasa kwa matumizi ya nyumbani ni pamoja na kuyatumia kwa kunywa bila kuyafanyia...
  2. W

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari juu ya athari zinazoweza kuletwa na Mvua za El Nino zinazoendele kunyesha

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa onyo kali kwa umma kuhusu madhara mabaya ya hali ya hewa ya El Niño inayoendelea. Kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kinatarajiwa kuleta matukio ya vifo, magonjwa ya kuambukiza, na uharibifu wa miundombinu kutokana na mvua kubwa zilizoathiriwa na...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

    Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Heche apeleka mvua kubwa Tarime, mkutano wa Makonda wasambaratika, wananchi watimka mbio

    Kuna watu "wataalamu". Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani. Shikamoo Heche
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Philip Mpango kwanini Ofisi yako inashindwa kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti msimu huu wa mvua?

    Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti. Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa DSM, klabu ya Yanga yazingirwa na maji muda huu

    Mvua kubwa inaypendekea muda huu imesababisha mafuriko kunako club ya yanga jangwani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Miaka nenda rudi mvua huleta shida barabara ya Jangwani

    Nimeona leo jinsi mvua ilivyoleta shida pale jangwani. Sio leo tu bali ni miaka nenda rudi, miaka yote hali ni hiyohiyo. Tangu uhuru hadi leo tupo serikali awamu ya 6. MUDA MWINGINE NAHISI NAWEZA KUKUFURU lakini MWENYEZI MUNGU ANISAMEHE. NAHISI UAFIRIKA NI LAANA. Mwafrika ni jamii ya mwisho...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa tahadhari kwa Wananchi kipindi cha Mvua

    Ili kuepuka au kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kuletwa na mvua kubwa au mafuriko, Wizara ya Afya inatoa rai kwa wananchi kuchukua tahadhari zifuatazo wakati wa mafuriko: 1. Watahadharishe watoto na watu wengine kukaa mbali na mitaro ya maji, nguzo za umeme, kuta za nyumba na maeneo...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Yatahadharisha Uwepo wa Mvua Kubwa Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Mafia Jumapili, 12 Novemba 2023

    Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA imetahadharisha uwepo wa mvua kubwa kwa Jiji la Dar es Salaam kwa siku ya kesho, Jumapili Novemba 12 2023. Utabiri wa TMA unaonesha mvua hiyo itakayoenea hadi katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Tanga, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia na mikoa ya Lindi pamoja na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha mvua hakikisha unampa pesa mara tatu zaidi ya ulivyozoea, ushindani umekuwa mkali sana

    Soko la Joto la body to body limeongezeka vibaya mno, sio suala la one night stand ama show time kwa sasa, ni suala la kupata uhakika wa joto kila siku, na hapa kwa mahesabu ya bajeti watu wameona wawe na mtu moja kuliko kubadili badili (wahasibu na wachumi tunazita economies of scale for bulk...
  12. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara za Mitaa jimbo la Segerea ni mbovu, zinajaa maji na hazina mitaro

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna vitu vinafanywa na Serikali vinakera sana. Mfano. TMA walitangaza zaidi ya miezi miwili nyuma kwamba kutakuwa na Mvua kubwa za e El Nino ambazo zitaendelea hadi mwezi wa 3 mwaka 2024 lakini Serikali ilitulia bila kufanya Marekebisho ya Barabara zake...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane habari za mvua ya Leo

    Tanga Tangu jana jioni, usiku wa leo mpaka sasa mvua inanyesha. mafuriko sehemu kama zote. vimito vyote vimetema
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Arusha Yatenga Milioni 380 Kukarabati Maeneo Yaliyoharibiwa na Mvua

    Halmashauri ya Jiji la Arusha imetenga kiasi cha Sh milioni 380 ili kurudisha miundombinu ambayo imeanza kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Arusha. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jij la Arusha, Juma Hamsini alisema hayo juzi wakati akizungumza katika mkutano wa madiwani...
  15. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nyakati za mvua Dar ndio watu wanaachia maji taka ya vyooni mwao!

    Hatariii sana hii kitu. Unakuta vinyesi vinaelea, dah hatari sana hii kitu!
  16. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mvua wanawake mtuonee huruma jamani

    Nini kimeongezeka kwenye baridi mpaka wanawake waringe? Kumekuwa na tabia kipindi hiki cha mvua na baridi sisi wanaume kunyimwa unyumba tatizo ni nini jamani😭😭😭😭😭😭😭😭
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Derby ya mvua pangeni wachezaji wanaoweza kucheza kwenye mvua na tope tu

    Ufundi kwenye mvua na tope ni kidogo kuliko nguvu. Simba na Yanga kama mvua itaendelea hivi hadi siku ya mechi hakikisheni wanaopata nafasi ya kucheza ni wale wababe tu, aina ya Mzamiru, Mudathiri, Yao, Mzize, Kibu, Inonga, Gift, Aucho waonyeshane kazi. Achana na types za Skudu, Nkane...
  18. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Waliotabiri mvua itanyesha hawakukosea

    Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu sehemu za siri. Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu yule jomba aliyekua anaendesha harrier yake alinipa lift manake sikuona bodaboda wala bajaji...
  19. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

    Moja kwa moja, Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana. Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach eneo la wadosi na wakubwa lakini kipindi cha mvua ni kama kambale kwenye dimbwi la matope!

    Wakuu, Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi. Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
Back
Top Bottom