mvua

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Machifu simamieni Maadili ya vijana wa Kitanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023. Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Adhabu kali ziwekwe kwa wanaotapisha vyoo kipindi cha mvua

    Kumekuwa na tabia ya wananchi wasiostaarabika kufungulia chemba za vyoo(Kutapisha Vyoo) kipindi cha mvua zinaponyesha. Hii tabia ya kishenzi ipo hasa Dar es Salaam mitaa ambayo miundombinu ya gari la kunyonya majitaka ni mibovu kiasi kwamba hapafikiki kwa urahisi. Pia wengine wenye tabia hiyo...
  3. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Sakata la DP WORLD na bandari la mvua nguo aliyekua kamanda Chadema

    Wasalaam watanganyika, Leo pita pita zangu u twitani nikakutana na trend ya huyu aliyekua kamanda (ME) chadema akasaliti chama akajiunga na ccm, Tangu aingie ccm amekua akipamgiwa/akiamua kushiriki vikao na shuhuli za kina mama ccm zaidi ya shughuli nyingine. Hatukuelewa ni kwann ana attend...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mvua imenyesha watu wakalima; wamekatazwa kuuza mahindi yao nje ya nchi

    Wanasiasa wakitaka kununua V8 hakuna anayewakataza; wakitaka kuuza rasilimali hakuna anayewakataza. Ila wananchi wakitaka kufanya biashara kupata kipato Ndipo sheria uibuliwa na vizuizi kibao. Nchi yenye viongozi wakudhibiti ustawi wa wazawa na kustawisha wageni inajianda KUTAWALIWA. Kila...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) watoa tahadhari ya mvua kubwa

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa angalizo ya siku mbili ya kunyesha kwa mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (Visiwa vya Mafia ,Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Juni 5, 2023 jijini Dar...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunaoishi Mabondeni na kwenye Miundombinu mibovu, Kifurushi cha Mvua ya Alhamisi na Ijumaa ijayo si Kizuri Kwetu

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ni kwamba Kifurushi cha Jana Jumatatu tarehe 5 kilichopiga Kutwa nzima ni cha Mtoto ila Kifurushi cha Alhamisi ya tarehe 8 na Ijumaa tarehe 9 ni cha HATARI zaidi kwani kitakuwa ni Kikubwa na chenye Madhara kwa tunaoishi Mabondeni na katika Miundombinu...
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mvua zinanyesha nchi nzima, mavuno kwa wingi yanavunwa na kelele za "Bashe Funga Mipaka" zimekwisha

    Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania. Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mvua zaendelea kuwa kilio kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam

    Dar is big Slum ni Jiji la hovyo sana,mvua kidogo mnaanza kutafutana,Barabara shida,foleni,vinyesi na upuuzi kama huo. Bado mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeendelea kuwa kilio kwa wakazi wake kutokana na adha ya usafiri wanayoipata kufuatia baadhi ya...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania TMA mbona mpo kimya kwa hizi mvua za June?

    Wananzengo mmeamkaje leo? Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani. Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa. Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimegundua namna ya kufanya mvua inyeshe

    Leo ni mara ya 6, kila nikiosha kigari changu jioni usiku au asubuhi sana mvua itanyesha. Mpaka naanza kuwaza au huyu jirani yangu ananifanyia hujuma? Maana huu mtaa mzima mimi ndio nina gari kali, tena ya miaka ya hivi karibuni tu; ni Toyota Corolla ya mwaka 1986 kama imetoka Japan jana tu...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni

    Kupitia Bunge la 12 linaloendelea Jijini Dodoma, Serikali imepeleka Bungeni Muswada unaopendeleza Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa. Pamoja na Mambo mengine, Sheria inapendekezwa kufanyiwa marekebisho katika kifungu cha 13 ili kuweka utaratibu wa kuapishwa kwa Mkurugenzi Mkuu...
  12. Bill

    JamiiForums Tanzania Ile Mvua Yetu wana Simba imeonekana tena huko Algeria, Tushangilie Ushindi

    Walipokea wapinzani wetu Airport, wakawapa mbinu, wakazua uongo wa vyumba vya kubadili nguo, wakavaa jezi zao. Kale kamvua ka Dar es Salaam kamepanda DreamLiner. Wanako, kapo. Kesho tusubiri matokeo. Lazima wanaSimba tufurahi. ONYO. TUSIPANGIANE FURAHA WALA CHA KUTUFUHISHA. ENJOY...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mvua Ya Algeria kama Ya Dar tu

    Imeripotiwa kuwa mvua kubwa inanyesha nchini Algeria especially eneo ambalo Watani watacheza kesho. Itabidi tuzidishe maombi
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

    Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale...
  15. MaxAyo

    JamiiForums Tanzania Mtoto akizaliwa wakati wa mvua mnamuitaje kwa lugha yenu?

    Mtoto akizaliwa wakati wa mvua mnamuitaje kwa lugha yenu?
  16. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Ni mvua ya urithi iliyoachwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Simba mzee Amir Ally Bamchawi.

    Wasimamizi wa mirathi ya mvua wanasema mkileta fyokofyoko tena kuita watu"andazi" wataiamsha tena kulekule mnakokwenda mkapigwe tena😂😅
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mvua ndiyo ilikuwa tatizo Uwanjani. Tumejua makosa yetu ni...

    Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini. Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini wale washenzi walikuwa na majini yao hadi uwanjani. Tumepambana sana tulikosea padogo tu. Ila...
  18. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Hali ikoje huko uliko na mvua hii iliyonyesha siku nzima?

    Wakuu salaam, Mvua leo imetunyoosha kama imejiunga kifurushi cha siku. Yaani toka asubuhi mpaka usiku huu kuna maeneo mvua bado inayesha. Huko ulipo hali ikoje? Njia zinapitika au kumefurika? Wapangaji wenzangu, dalali aendelee kuzima simu au mambo shwari?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikikutana na shabiki anayesema Yanga SC imefungwa kutokana na Mvua namzaba Keleb ( Kofi )

    Kwahiyo hiyo Mvua kwa dakika zote 90 na zile dakika 10 za Kubebwa ( Kutafutiwa Goli ) ilikuwa ikinyesha upande wa Yanga SC tu ( kwa Wachezaji Wao ) na kwa Klabu ya USM Alger kulikuwa na Jua linawaka ndiyo maana Wakawafunga na Wakashinda? Poleni na leo nina Furaha isiyoelezeka.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kuroga Mvua kubwa inyeshe Mwarabu afe. Je, una Wachezaji wa kucheza katika Madimbwi na Matope?

    Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
Back
Top Bottom