Hizi mvua hizi ni balaa tupu.
Kama baharia uko mwenyewe ndani bila jiko linaloeleweka, lazima mwili upungue; baridi inapenya hadi kwenye mifupa.
Mabaharia huu ndio msimu wa kuoa huu, ukizubaa tu lazima ujifunike na ngumi kwa baridi inavyopenya.
Maji ya mvua yanapatikana bure na kama yanatumika vizuri tunaweza kupunguza matumizi ya reservoirs. Ukihifadhi maji haya kwa matumizi ya binadamu inabidi kuyaongezea baadhi ya kemikali.
Maji ya mvua yanaweza kutumika kwa sewage system ya nyumba nzima. Unachimba shimo na kulisakafia kama shimo...
Mzuka wanajamvi!
Homu ni homu tu. Yani navuta kumbukumbu ya miaka ya nyuma Arusha.
Mvua kubwa yenye radi raha hasa ikianza Ijumaa usiku na wikendi umenunua msosi wa kutosha huko na mpenzi wako ndani.
Utamu wake unanoga zaidi ukiwa kwenye nyumba ya bati zile kelele.
Mimi ilikuwaga inanikuta...
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imetoa utabiri wa hali ya hewa hatarishi kwa siku tano ambapo mvua kubwa inatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mwanza, Geita, Kagera, Mara pamoja na Magharibi mwa mkoa wa Simiyu.
Mamlaka hiyo imesema uwezekano wa kutokea kwa mvua hizo ni wa wastani huku...
Shirika la Reli Nchini limewataarifu wateja wake na kuwaomba radhi kutokana na kusitishwa kwa huduma za usafirishaji mizigo katika ukanda wa Kaskazini yaani mikoa ya Kilimanjaro na Tanga kuanzia Oktoba 26, 2019.
Limeeleza kuwa usitishwaji huo ni kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan.
Kulingana na shirika la Kyodo, mvua kubwa imekuwa ikinyesha tangu jana, mji mkuu wa Tokyo katika wilaya ya mashariki ya Ciba.
Mkoa wa Fukushima kaskazini umepoteza mtu mmoja.
Mito 15...
Mamia ya Wananchi (abiria) waliokuwa wanasafiri kutoka Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani na waliotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali wamekwama tangu jana mchana wilayani Korogwe na Handeni Mkoa wa Tanga sababu zikielezwa ni kutokana na maji kupita juu ya daraja la Mandera na kulisomba...
Watu Kumi wamekufa na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya mafuriko makubwa kuikumba nchi ya Misri hasa katika mji wa Alexandria.
Mamia ya watu wamelazimika kubaki katika nyumba zao na kushindwa kwenda kazini, baada ya mitaa mingi ya mji huo kujaa maji na kushindwa kupitika.
Mafuriko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.