mvua

  1. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Mvua kuwa kilio kwetu

    Jiji la Dar es Salaam la Lia baada ya kukumbwa na changamoto kubwa ya maji ya mvua kufurika katika mitaa na nyumba za watu, na madhara ya mvua yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara. Tatizo kuu linapatikana katika mifumo ya maji taka na miundombinu ya mji. Mitaro mingi imejaa maji na kushindwa...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Msije kusingizia mvua, Wana usafi ratiba yetu iko palepale hata mvua ikinyesha

    Wale tuliojiandaa kufanya usafi tafadhali msikose, tumeamua hata mvua ikinyesha tutasafisha kila kitu kinachosafishiika. Wale wapendwa wenzetu waliotutangazia kuungana na sisi kwenye usafi niwakumbushe msisingize mvua mnakaribishwa kwa pamoja kuliweka jiji letu safi. Mkuu wetu wa mkoa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mvua nyingi, kwanini bwawa la Stiglers halijai

    Moja kati ya mabwawa makubwa kuwahi kutokea Africa mashariki, man made lake , the Stiglers Gorge dam, au bwawa la Mwalimu Nyerere au Ziwa Nyerere kutokana na ukubwa wake. Bwawa hili mpaka kujaa linatakiwa kufika MITA 186 kutoka usawa wa bahari, Cha ajabu pamoja na mageti kufungwa December 2022...
  4. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Walalamikia Mvua kubwa, wasema ni chanzo cha mgao

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema hali ya upatikanaji wa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini, imekuwa duni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, iliyosababisha miundombinu ya umeme, zikiwemo nguzo na transfoma kuanguka. Kupitia taarifa iliyotolewa na...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kuna Mmasai aliniingiza mjini asubuhi ya jana kwenye mvua

    We Mmasai uliyeniadaa na madawa yako ya mitishamba siku ya jana kwenye mvua, nasemaje, sisi ni Pipo, one day tutameet Alianza kwa kunitandika dawa ya mvuto wa biashara, akafuatia dawa ya mvuto wa wanawake, akamalizia dawa ya kulifanya pembe la ndovu liwe na hasira kali kwa muda mrefu. "Rafiki...
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zasababisha kudondoka kwa Mawingu Mkoani Morogoro

    Inadaiwa kuwa kuna mawingu yamedondoka huko Morogoro kutokana na mvua kubwa zinazonyesha. Wataalam, imekaaje hii? Video ikionesha kile kinachodaiwa kuwa ni Mawingu yaliyodondoka, Morogoro
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Jimbo la Kibaha Mjini (Pwani) hali ni mbaya, mvua ikinyesha Wananchi wanateseka

    Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana. Mbunge wa Jimbo hilo la Kibaha Mjini ni Silvestry Fransis Koka ambaye amekuwepo katika nafasi hiyo kwa muda mrefu lakini suala la...
  8. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Video: Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini, mvua ya mawe iliyonyesha Tarafa ya Machame, Katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro

    Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki. Jogoo mbegu Hannah TODAYS
  9. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuondoa utelezi maji ya mvua

    Wakuu, kutokana na maji ya bomba ya dawasa kutoka kwa muda wa lisaa limoja tu kwa kila miezi 3, nimeona nihifadhi maji ya mvua Tatizo yana utelezi fulani mwilini mimi napooga, je njia rahisi ya kuondoa huo utelezi ni ipi? Msaada tafadhali.
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha hapa Dar sijapata kuona. Tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki. Serikali ijiandae kukabiliana na athari za mafuriko zitakazosababishwa na mvua hii kwani kadri muda unavyoenda mvua inazidi kuongezeka Mara ya mwisho...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANAPA yafunga njia ya kupanda Mlima Kilimanjaro kupitia Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi kutokana na mvua

    TAARIFA KWA UMMA Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatoa taarifa kwa wadau wa utalii na umma kwa ujumla kwamba linafunga kipande cha njia cha "ARROW GLACIER" ambacho hutumika na baadhi ya wageni wanaopanda Mlima Kilimanjaro kupitia njia ya Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa aagiza miundombinu iliyoharibiwa na mvua Dar ishughulikiwe haraka

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Eng. Godfrey Kasekenya kufika katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua mkoani Dar es Salaam na kuungana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta, pamoja na timu ya wataalam kuhakikisha...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mvua za Tanzania zina maajabu kweli kweli!

    Mvua za Tanzania ni za maajabu kweli kweli! Zinanyesha Maji yake yanakwenda kujaa kwenye mashamba ya miwa na kusababisha uzalishaji wa sukari kushuka na hivyo bei ya sukari kupanda hadi kufikia Tshs.5,000/= kwa kilo 1. ( Rejea maelezo ya Waziri Bashe)! Wakati huo huo mvua zinazonyesha Maji...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Serikali na Mvua

    Hii imekaaje? Mvua zikinyesha sana Sukari inakuwa hamna kwa mujibu wa Waziri Bashe. Mvua zikiwa hazinyeshi Umeme unakuwa hamna kwa mujibu wa waziri wa nishati. HII IMEKAAJE WAKUU?
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kuna maeneo nchini miaka nenda rudi miundombinu ni mibovu, mamlaka hazioni? Mpaka maafa yatokee ndio wachukue hatua?

    Kuna maeneo nchini yana miundombinu mobuvu miaka na miaka lakini serikali wala haichukui hatua. Unakuta barabara mbovu, madaraja yamebomoka nk, lakini ni kama hakuna anayeoona! Ni kwamba wanasubiri maafa yatokee ndio wachukue hatua? Wanasubiri mpaka watu wafe ndio wachukulie malalamiko ya...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi yale Maji ya Mvua yanayopenda Kutuama sehemu nyingi Mkoani Morogoro hayawezi Kuhifadhiwa kwa Matumizi ya Kipindi cha Ukame?

    Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania KERO Shughuli za kiuchumi Mwanza zimesimama kwa saa 6 kutokana na mvua kubwa na ubovu wa miundombinu. Serikali ikumbukeni Mwanza msiitumie kisiasa tu

    Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa. Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza. Najiuliza mvua hii ikiendelea...
  19. Heci

    JamiiForums Tanzania Avunjika mguu akicheza kwenye mvua uchi usiku.

    Mfanyakazi mwenzangu amevunjika mguu alipokuwa akicheza uchi kwenye mvua. Kisa hiki cha ajabu kimetokea nyumbani kwake Kimara B, usiku wa kuamkia leo mvua ilipokuwa ikinyesha. Jamaa huwa anapenda sana kucheza cheza kwenye mvua, alimtoroka mke wake kitandani, kisha akatoka nje na kuanza...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
Back
Top Bottom