Waliotabiri mvua itanyesha hawakukosea

machiaveli

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
1,885
3,944
Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu sehemu za siri.

Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu yule jomba aliyekua anaendesha harrier yake alinipa lift manake sikuona bodaboda wala bajaji.

Ninavyoandika huu Uzi bado mvua kubwa inanyesha Arusha

Tumshukuru Mungu
 
Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu kwenye p*mbu
Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu yule jomba aliyekua anaendesha harrier yake alinipa lift manake sikuona bodaboda wala bajaji

🙄
 
Hicho kiswaswadu kitakuwa na harufu kali sana!
 
Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu kwenye p*mbu
Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu yule jomba aliyekua anaendesha harrier yake alinipa lift manake sikuona bodaboda wala bajaji
Ninavyoandika huu Uzi bado mvua kubwa inanyesha Arusha

Tumshukuru Mungu
Kuna mdau asubuhi alisema mvua inanyesha kistaarabu sana pande hizo, imekuaje tena?
 
Mtoa mada kaoshe nyota yaan toka juu mpaka hapa sijaona comment ya kukusapot kila mmoja anakunanga jins gan ulivyo na nuks, mikos, gundu, mixa kipapai hapo tu humu watu hata hawakujui sijui kitaa unakhali gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom