BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,377
- 8,120
Kama mujibu wa taarifa hiyo ya Mamlaka ya Hali ya Hewa, wakazi wa maeneo tajwa wachukue tahadhari kwasababu Mvua hizo zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023.
TMA imeonya kuwa Mvua zinaweza kusababisha Mafuriko pamoja na kuharibu shughuli za Kiuchumi hivyo Wananchi waepuke kukaa maeneo yenye msongamano wa Watu, pia, wahifadhi mahitaji muhimu ndani.
Awali, TMA ulitabiri kuwa Tanzania inatarajia kukumbwa na Mvua za El Nino kuanzia Oktoba ambapo tayari Mikoa ya Tanga, Pemba na Unguja imeripotiwa kupata Mvua zinazozidi Milimita 50.