Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza .
Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa .
Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ...
Kwenye nyanja za kupigana vibomu ambavyo kwakweli vinapendezesha mahusiano, unajua bila kuhonga wengine hatujisikii raha na huwa tunapenda watu wanaotuombe hela. Asikudanganye mtu bwana, ukiwa unamhonga anakuwa mtumwa wako.
Sasa bwana katika pita pita za hapa napale nikakutana na vijana wana...
Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake .
Hivyo katikati ya safari yako unaweza kumuhalika Mwanamke kuwa aje katika MAISHA yako kwa lengo la kutafuta ukamilisho na kukamilishana na sio...
Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?"
Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70...
Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa.
Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange.
OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa...
Ni maisha tu.
Wanaoteuliwa kuwa Wakuu wa Vitengo au Idara wanajitahidi kuonyesha chuki zao na watendaji wa chini, wanadiriki kukutimba udidimie, ila Mungu ni Mkuu.
Fikiria mtu akuchukie tu, tena idara za serikali ambapo anakuonesha waziwazi kukufungia vioo.
Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum
kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe?
kwanini nisimuoe tu fasta, yaani
nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo
hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi...
FAHAMU NAMNA YA KUACHANA NA MTU AMBAYE UNAMUOTA KUWA UNAZINI NAE NDOTONI
1️⃣ Je, Umeshawahi kuwa na mchumba wako na mkashiriki Tendo la ndoa na mkaachana bila kuoana??
2️⃣ Je ,Umeshawahi kuoa au kuolewa halafu mkaachana baadae na Sasa upo pekee yako au umeoa/kuolewa na mtu mwingine??
3️⃣ Je...
Kasi ya watu kujiua Njombe ni kubwa sana kama ilivyo kasi ya wananchi kuwaua wenzao. Wengi wanadai ushirikina ni mkubwa sana na umepelekea hali hii kuongezeka.
Kama tuliweza kuondoa mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi tunashindwa nini kuendesha msako wa kuwabaini wachawi?
Naamini...
Umewahi kuua mtu?
Juzi mwanangu Tracey aliniuliza Hilo swali,nilishtuka na kuogopa Sana. Sikutegemea kabisa Kama mwanangu anaweza kuniuliza swali la namna Hiyo. Kwa dakika kadhaa nilimtazama pasipokusema kitu.
" Hapana sijawahi." Nilijikuta nimeropoka kwa haraka na gafla baada ya kukaa...
Tukio hilo limetokea leo Siku ya Jumapili katika kijiji cha Malagarasi kilichopo wilayani Uvinza mkoa wa Kigoma.
Ilikuwa hivi
Polisi walipata habari kuwa katika kijiji hicho wamekuja watu wanaowaumbua wachawi maarufu kama KAMCHAPE hivyo polisi walifika katika kijiji hicho ili kuwazuia...
Huenda ikawa ni Zawadi ambayo Mwenyezi Mungu amenipa kwa Kuniumba nayo, ila kwa Wanadamu huwa inanipa wakati mgumu Kwao kwani huniona kama ni Mchawi Kwao kwakuwa nikiwashauri Jambo au kuwatahadharisha nalo Wakinipuuza tu na kufanya Wajuavyo huwaharibikia na kuanza kuniona ni Mchawi na...
Match Day
Yanga SC vs Singida FG
NBC Premier League
Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522]
Time: 1815hours
Updates...
Saa 12:04 Jioni
Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa.
Mashabiki wanazidi kuongezeka hapa.
Mawingu mepesi mepesi yametanda
Vikosi Vinavyoanza
Saa...
Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo.
Anasema “Dawa nyingine zinatakiwa kutolewa na cheti mfano dawa zote za Antibiotic hizo lazima anayehitaji...
Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu.
NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka...
Yale Yale Kila mtu analalama TU! Mhusika hatajwi, waziri kaenda mpaka eneo la tukio kashindwa kumtaja mhusika.
Sandaland mwenyewe aliahidi atamtaja lakini naona katishwa, kaogopa kakunja mkia, jeshi la polisi hawamtaji analindwa na anafunikwa funikwa.
Kuna hatari akabambikiwa mtu mwingine...
Yaani mtu akifanya vema tunampongeza kwa kumuua,
Imagine ukifa unapumzika kwa amani.
Mihangaiko ya duniani unaiacha, unasahau shida zote za kila siku hutafuti hela , husikii njaa, huna mawazo, kiufupi ni peace tu.
Naona kifo ndio ingekuwa zawadi nzuri na ya thamani ya kumpatia mtu aliyefanya...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na sasa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM wakati akipokelewa mkoani Dar es Salaam amesema;
"Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye mitandao, wengi wanahamaki na wengi wana bashasha, lakini wanaohamaki wengi wao wanawaza Makonda ataenda...
Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.