Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuw anafanya kila mara na ikawa kero kwa wengine.

Hali hiyo anawaweza kuwa anaifanya kwa kujua kabisa makusudi kuwa anawakera watu wengine lakini wapo ambao wanaweza kufanya na wasijue kuwa kitendo wachokifanya ni kero kwa wenzake wanaokuwa karibu.

Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?
 
Mama angu anapenda sana kutuma😔
Hehee kuna mtoto wa ndugu alikuja kwetu likizo. Stori za hapa na pale,, mtoto karopoka yan Lenie anapenda kutuma hata kama kitu kipo nyuma yake.

Hapo huyo Lenie ni mama yake mzazi,, mtoto kamtaja kwa jina lake. aloo mama Depal alikafinya 🤣

Mimi sipendi tabia ya mama kunilazimishia kupigia ndugu simu kisa ni mtoto mie ndio niwapigie kusalimia. Namwambiaga wao wana yao, nami nina yangu. Kukiwa na ulazima tutachekiana, kama haupo tukutane hivo hivo kibahati nasibu.

Yan kama sina cha kukuambia mimi simu sipigi.
 
Back
Top Bottom