Jinsi ya kugundua kuwa mtu ame-screenshot charts zako WhatsApp

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
IMG_20240323_123359.jpg



Ushawahi kuhofia mtu kuchukua secreeshot za chats zenu mlizokuwa mnaongea kwa siri?

Tuseme, unachat na mtu Snapchat au Whatsapp then mtu aka-screen shot Maongezi yenu na kumtumia Mwingine?

Hii imekuwa shida sana kipindi hichi!

Ili kutatua hilo Android.. wamewezesha....

1. Downlod App ya Screenshot Detection.

2. Application Hiyo itakujuza punde Tu mtu anapo screenshot Chats Zako Whatsup.

3. Sio hivyo tu, Bali hata yule alie screenshot atapewa Notification kuwa, " Ameshagundulika kuwa Ame screenshot Chats.

Jaribu ku Screenshot Profile Picture ya Mtu Whatsup. Kuna Maneno itakuandikia kuwa "Huwezi screenshot kwani content hiyo imebeba taarifa binafsi za mtu"

Yasome....

Sheria ya Mitandao , Inalazimisha kila mtandao kutunza Taarifa binafsi za mtu mwenye Account.

Na kama ukiwahi kuona Leakage ya taarifa zako Nyeti kutoka kwa Mtandao Flani, Waweza kushtaku Mtandao Huo.
 
Back
Top Bottom