Taarifa nzuri sana kutoka iringa usikose kusoma

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
1711174432584.jpg

Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa mishkaki ni sh 150 kwa mshikaki mmoja,
 
View attachment 2942313

🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe napo kuna komoni inachemkia tumboni aloooo kwaiyo mmepanga kutuvuruga ubongo kabisaaaa
 
View attachment 2942313

Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa mishkaki ni sh 150 kwa mshikaki mmoja,
Chai ya kibabe.
 
Back
Top Bottom