Happy Birthday to you Boniface Mwamposa mtu mwenye maji na mafuta yake mjini

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,884
155,866
1711013375615.png

Happy birthday bro. Miongoni mwa watu waliozaliwa mwezi March ni pamoja na Osama bin laden.
 
"wananishindwa n'nchanganya hawataniweza, hata hivyo wanagombania kutwaa ila nawazidi sifa"

Mimi ni zaidi ya msanii
 
Kama mleta mada ni mwanamke iko sawa kabisa kwa wewe kumtakia heri Mwamposa ktk siku yake ya kuzaliwa. Yawezekana umevutiwa naye.

Lkn kama wewe ni mwanaume halafu umeingiwa na pepo wa kike wa kumtakia mwanaume mwenzio heri ya siku yake ya kuzaliwa nasikitika kwa kuhitimisha kuwa "haikuwa ridhiki kwa kijana huyu wa kiume".
 
Back
Top Bottom