mtu

  1. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Ifahamu 'Bahati' inavyopatikana katika maisha ya mtu

    Bahati ni jambo au matukio yasiyowezekana, yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Kwasisi wanaadamu matukio chanya na hasi yanaweza kutokea wakati wowote, kwa sababu ya michakato ya asili na isiyo ya nasibu, na kwamba hata matukio yasiyowezekana yanaweza kutokea kwa bahati nasibu. Kwa mtazamo huu...
  2. Tman900

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza laini ya simu. Natoa ofa ya 100,000/= kwa mtu alieiokota

    Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni. Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo. Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed. Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 100,000/= #Nitaifuata hapo kwa Gharama za...
  3. Tman900

    JamiiForums Tanzania Line ya Simu Cm Card. imepotea Mtu ambayo ameokota. Kuna Offer Tsh 50,000/=

    Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo. Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed. Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 50,000/= #Nitaifuata hapo kwa Gharama...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tukio la Ubakaji shuleni: Wazazi muwe Makini na watoto mnaopeleka shule za Bweni

    TUKIO LA UBAKAJI SHULENI: WAZAZI MUWE MAKINI NA WATOTO MNAOPELEKA SHULE ZA BWENI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwaka 2016 nilipata kibarua cha kujiegesha katika shule ya binafsi maeneo ya Mwembe Mtengu, Kigamboni. Ile shule nikakuta waalimu wengine vijana ambao ni rika langu. Hapakuwa na...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mtu kusema umebarikiwa ni dhambi, tuache maana ni dhihaka, kebehi, kiburi cha ulichonacho kwa wasichonacho wengine

    Mtu ana pesa anajisifu - I am blessed, blessings upon blessings, n.k. hao masikikini je hawajawa blessed na Mungu huyo huyo unaeona ndie kakubless? Mtu ana mtoto mzuri anajisifu 0 i have a blessed son / daughter, wale wasio na watoto kabisa miaka na miaka wanatafuta pasipo mafanikio hawana...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kiasili kila mtu ni mwizi, umewahi kuiba kitu gani baada ya kupitiwa na shetani?

    Uwizi ni kitendo ambacho inatokea unakifanya muda wowote na kuiba haichagui umri wala jinsia.Hata nyinyi greater thinkers hakuna ambaye hajawahi kudokoa. Maofisini huko tunaibiana kalamu, flash n.k na wengine ndo kabisa wanaiibia serikali kwa michongo. Kwenye bar huko tunakokunywa kunywa...
  7. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Ma-bodyguard wa club muwe mnapiga kwa ustaarabu au kumtoa mtu tu nje

    Wakuu habari za uzima? Ndugu zangu wana JF kwa wale watu ambao wanaendaga club kupooza stress za wiki nzima nadhani watakuwa wameshakutana na hizi vurugu za watu wakibondwa na walinzi wa club kwa kusababisha vurugu. Ndugu zangu mimi si mtu wa viwanja ila nina mashine zangu za kutengeneza...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nimdhamini au niachane naye?

    Ni mtu ambaye miaka 10 tulikutana katika harakati za utafutaji kazi. Tukapoteana tulionana mjini Dar mwaka jana. Mwaka jana kibarua chake kiliota nyasi. Si unajua sekta binafsi mistake ndogo tu wanapita na wewe. Familia ina hitaji kula, umri umeenda kahangahika kaamua aende kampuni ya Uzinzi...
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Reaction za mtu mkimya zina madhara sana tofautisha mtu mkimya na mpole, kuna jambo gumu na zito litatokea muda si mrefu stay tuned kuna upande utalia

    Ogopa Sana kuishi na mtu mkimya asiye na maneno mengi watu wa aina hii huwa ni wavumilivu Sana na pia huwa na mioyo ya upendo lakini huwa hawapendi dharau Watu hawa wakigundua una wadharau kitakachokuokoa usiwadhalilishe hadharani ila wakigundua kwamba unawadhalilisha hadharani na wakianza...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesho ndo watu watajua kuwa waarabu wana figisu figisu ya kufa mtu kwenye mechi ya Misri Vs Cae Verde

    Misri haitakubali iishie kwenye hatua ya makundi wakati itakapokutana na Cape Verde. Hadi sasa Misri ina pointi 2 tu kwenye mechi zake mbili. Kesho ikifungwa itakuwa imeyaaga mashindano!! Kesho waarabu watakuambia KAMA MBWAI NA IWE MBWAI, watafanya lolote linalowezekana hata kama ni kulazimisha...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ifike sehemu Lema ajue kifo ni cha kila mtu. Aache kutishia watu vifo

    Ni aibu kwa kiongozi mkubwa wa chama kikuu cha watoa taarifa, CHADEMA, kukosa hoja na kutumia neno KIFO kutishia watu walio kinyume na itikadi yake. Huyu akishika dola si ataua watu wengi sana? Hakika kiongozi kama Lema ni hatari sana kwa usalama wa raia. Yaani ukiwa naye tofauti lazima akuambie...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu amekublock?

    Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored. Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini? Mimi binafsi nilipigwa Block na MangeKimambi baada ya kumkosoa alipokuwa ana-publish picha za Profesa Jay akiwa...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

    Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio? Anakwambia Mume wake hana muda nae sio? Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio? Anakwambia anakupenda sana eeeh! Utalia siku moja.
  14. Nsanzagee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Putin ni mtu hatari wa kuongea saana ila USA analiogopa sana hili dude!

    Ijulikane kuwa, vitisho vya Putin kwa nchi zote wakati akiivamia Ukraine, ilikuwa, na ole wa nchi yoyote itakayotia nia kutaka kuisaidia Ukraine iwe kwa fedha, silaha na ama kivyovyote, itachezea moto mkali na itajuta nchi hiyo Kadri siku zilivyokuwa zikiendelea, kauli ya Putin ilikuwa ikizidi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati mama mtu akijifungua Hospitali ya Magunga - Tanga

    UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu ni Crush wako?

    Ni mtu gani maarufu alikuvutia zaidi na ukatamani angekuwa Mpenzi wako? Mimi ni huyu Binti wa Kifilipino Kristine Hermosa. Mtaje Crush wako nawewe..!
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Una namba ya mtu maarufu?

    Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. Vipi ukimpigia simu, atapokea?
  18. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu, cheki kideo

    Jamaa kafumaniwa Hotelini, kaona mambo yasiwe mengi kaamua kujirusha kutoka ghorofani
  19. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania TCRA mnawezaje kutoa mamlaka kwa kampuni kuingilia mawasiliano ya mtu?

    Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani. Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna...
  20. KJ07

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikao cha mtu tatu

    Phone ringing Don’t worry kila kitu kinaenda kuisha leo mamii. Wait, amepokea acha niongee nae. Hello brother its Alpha speaking, najua unaweza ukawa unanifahamu kwa namna moja ama nyingine. Go direct to the point (ilisikika sauti ya ukali kutoka upande wa pili wa simu). Cool down brother...
Back
Top Bottom