Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
 
Umewasalimu wanatheolojia tu

Ama na sisi wakristo inatuhusu??

Bwana Yesu kristo alikuwa ni Mungu katika hali ya mwili
Emanuel
Yohana 14 pia anajitambulisha
Isaya inaelezea tumepewa mtoto mwanamume,

Swala lingine
MUNGU anaendelea kutumia watu wake
Na hakuishia kuwatumia mitume tuu.
Na kila wakat mungu hutuma mtu kwa ajil ya wakat huo
Nae huwa ni mmoja tuu sio taasisi ni jesh la mtu mmoja

Utamtambua kwakuwa atasema sawa sawa na mitume na biblia nzima ilivyosema

Je wa wakat wako unamtambuaa??
Mlinganishe na neno tu utapata majibu?
Ilo fundisho la utatu halipo kwenye biblia
Ni imani ya roman na upagani tangu kabla injili haijafika rumi

Mtambu mjumbe wako na ujumbe ambao Mungu ameutuma kwa wakat wako

WILLIAM MARRION BRANHAM
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
ni hivi duniani kote watawala hawako tayari kukueleza ukweli wa mambo.

Ukweli hufichwa.

Ktk hao ukiiwataja hakuna aliyemuona yesu.

Aliyemuona yesu ambae ndie mastermind wa utawala wa wa rumi ni Prof Sauli.

Kwanza alificha kusema yesu alikuja kupingana na utawala wa warumi na alishindwa.

Hakuja kuongea kuwapeleka watu mbinguni pekee, bali alikuja kuuleta watu utawala wa mbinguni waishi kwayo hapa duniani.

Na huyu aliyekuja miaka 600 badae nae alikuja kwa lengo hilo. Kupinga utawala wa kirumi. Na kutaka bali alikuja kuuletea watu utawala wa mbinguni waishi kwayo hapa duniani.

Na utawala huondio ule ubaothibiti uovu na kuhamasisha uadilifu.

Huwezi kufundishwa ukweli huu.

Sasa moja ya mafundisho ya bandia ya Prof alicia Mungu nwenyewe ndie huyu yesu.

Ni disimformation
 
Huyo Aliyeishi Miaka 600 baadae angalau ameongea Vinavoeleweka Kuhusu Yesu Akina Marko Na Luka Wamedanganya sana Hata Ukisoma Wamepishana masimulizi Yao Mfano Kuhusu vazi la Yesu Wakati Anashurutishwa Kuna Mmoja Anasema Alikuwa Kavaa Vazi la Zambarau Mwengine Kasema Rangi Nyingine Sasa Unajiuliza Hivi Ni Kweli walikuwepo Au Ni Matapeli Tu waliotuzidi Akili
 
Mohamed alimuona Yesu? Quran ina mix mafaili kwamba mama yake Yesu alikua dada wa Aron msaidizi wa Musa. Quran haisemi Yesu alizaliwa wapi,alitokea kabila gani la Israel. Kwenye Quran haijulikani Yesu alikua na wanafunzi wangapi,wala majina yao .
 
Quran pia Muhammad alizaliwa wapi, alitokea ktk kijiji gn, Quran hatujui Muhammad alikuwa na wanafunzi wangapi, wala majina yao. Ni kweli kabisa kwa Quran haijataja hata majina ya wake na watoto wake.

Naam ni sahihi kabisa. Kwa Quran si kitabu cha historia, si kitabu cha kisayansi, si kitabu cha hesabati au fani yyt. Bali kimetoa tu muhtasari wa historia, hisabati, sayansi, biology nk kwa muhtasari au mwongozo. Ili wewe tunapokuja kufanya utafiti ukusaidie ili usije kukupotosha.

Kuhusu mama wa yesu. Quran inaweza kukupa majibu kwa kujiuliza.

Mama wa yesu anamwotaje mwanawe

Na yesu anamwitaje mama yake.

Je kila mmoja anamwita mwenzie Mungu au kuna mwanachuoni wa kirumi ndie aliyeleta hii falsafa ya uungu wa mtoto huyu wa mariam
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Hakuna anayejua nani haswa kaandika vitabu vinne vikuu vya biblia. Vitabu vilipewa majina hayo ilitu kuvipa authority lakini wao si walioandika vitabu hivyo.

Jitahidi kuresearch kidogo: Anza hapo 👇🏼

Who wrote the Gospels
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Unaambiwa Yesu alikuwa wa imani hiyo maana dini hyo ilikuwepo hata enzi za Yesu sema huyu wa miaka 600 baadae alikuja kuikoleza tu
 
Huyo Aliyeishi Miaka 600 baadae angalau ameongea Vinavoeleweka Kuhusu Yesu Akina Marko Na Luka Wamedanganya sana Hata Ukisoma Wamepishana masimulizi Yao Mfano Kuhusu vazi la Yesu Wakati Anashurutishwa Kuna Mmoja Anasema Alikuwa Kavaa Vazi la Zambarau Mwengine Kasema Rangi Nyingine Sasa Unajiuliza Hivi Ni Kweli walikuwepo Au Ni Matapeli Tu waliotuzidi Akili
Wewe rangi nyingine ulielewa ni ipi? Ukute ndo hiyo zambarau iliyotajwa na mmojawapo. Ameongea vinavyoeleweka kama zawadi ya mabikra n.k
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Yesu sio mungu na hajawahi kuwa mungu
 
Unamuamini vip yesu ambaye kaja baada ya Mussa, Daudi 😅😅😅

Ina maana waliokuwepo kabla ya yesu kuja hawakuwa na dini sio?

Kama walikuwa na dini ilikuwaje? Nyie dini yenu imekuja baada ya Yesu kuzaliwa ina maana hapo ndio Mungu wenu kaanza kuwepo Duniani.

Waliokuwepo kabla walimuabudu nan? Mtu unasoma vitabu kabla ya yesu yaani zaburi na torat ..ina maana yesu sio wa wa kwanza 😅😅
 
Back
Top Bottom