Kuliluwa na stress za kodi ya nyumba ya mama mwenye nyumba, na pesa ilikuwa imeshapatikana kwa ajili ya kulipwa, khafla meseji hiyo ikaingia. Jamaa akataka kuituma lakini roho ikasita, kumfata mwenye nyumba kasema hiyo meseji haitambui na wala hajatuma meseji hiyo na wakati matukio ya kuzoza...
Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni
Nimeamua ku-skip google kidogo maana ni kitu sikutegemea. Nimeshindwa kupata emoji iliyovaa headphones. Nikashtuka kidogo.
Naomba kuuliza kwa wenzangu kama nyie kwenu ipo?
Uzi Tayari.
Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 haina mtu mweusi?.
Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la Amerika Kusini ndiyo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku...
Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo.
Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu.
Kijana tafuta hela...
Hapo vip!!
Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha.
Ni wazi kwasasa mkoa huu unahitaji kiongozi atakae ponya madondo na majereha ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia za kisiasa...
Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno.
Usahihi na umakini ni silaha muhimu sana unapoongea kwenye umati wa watu ambao wanatofautiana utamaduni, imani, na...
Naskia wamama hasa kwa watoto wao wa kike wanauwezo mkubwa wa kujua kua huyu binti yangu ametoka kudinyana. Pia, naskia mademu zetu au wake zetu wana exceptional capability ya kueza kutugundua vidume kua tumetoka ku chepuka.
Ila swali hapa ni je sisi wanaume tunaweza kigundua kuwa mademu/wake...
Mapenzi bhana.
Kuna wadada wawili tumbo moja, wazuri na wanavutia sana lakini mdogo mtu alikuwa mzuri zaidi, mkimya mwenye dharau ndani yake ya kujiona yuko level flani hivi za juu. Huyu ndio macho na hisia zangu ziliangukia kwake, alifanya kila weekend nisafiri kutoka Mtwara nilipokuwa kikazi...
Kama kichwa kinachojieleza hapo, hivi ni kwanini wazazi wetu hasa wa kiume (namaanisha wakina baba) kadri wanavyokuwa wakubwa wanakuwa kama hawashauriki, hasa pale wanapopewa mawazo na watoto wao ambao wamekuwa wakubwa na wanaoa uhalisia wa maisha na changamoto.
Wengi wao huhisi watoto...
Mnisamehe sana wenye imani zenu labda naenda mbali sana kulihoji hili suala.
Ni baada ya hili jambo kukithiri kwenye hizi nyakati za sasa. Kila mtu akifariki, watu huanza kupost kwenye mitandao 'RIP au Rest in Peace'
Binafsi sikumbuki kama nilishawahi kulisema hili neno kwa marehemu...
Nimesikia mahala kuwa COMMANDO (si lazima awe wa Tanzania) ana uwezo wa kupata taarifa nyeti hata kuliko Mwana Usalama Taifa mwenyewe. Kwa mfano; COMMANDO wa Malawi anaweza akaenda nchini Zimbabwe katika maeneo yao muhimu na akapata akitakacho na wala asishtukiwe, lakini kwa Usalama wa Taifa wa...
Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo.
Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea...
Tumeonewa sana, tumenyanyaswa sana,tumeumizwa sana,tumehuzunishwa sana.
Huyu dogo ni sisi tumemjenga na siku ile ya simba alibebeshwa hirizi ndo kufunga.leo hii anajiona yeye ndo yeye anatunyanyasa na kutufanya wote tuonekane ndula tu utopolo? Huyu bwana mdogo hajaifahamu yanga.
kuna watu...
Baada ya mkuu wa mkoa wa arusha kusema kuwa makanisa ya walokole yadhibitiwe kwa kuwa wanapiga kelele (Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa)
Gwajima ameamua kumjibu mkuu huyo
Amesema kuwa Tanzania ni nchi huru kila mtu ana haki ya kuabudu, muda wowote na wakati wowote
Amesema kuwa waumini wa...
Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja Jaluo na mwingine Mzaramo akaitwa half cast?
Wenye watoto ndoa zao za mchanganyiko kimakabila kwa nini watoto wachukue kabila la baba wasiitwe half cast?
Heshima kwenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa Letu.
Well, nina wadogo zangu wawili wamemaliza form four wamechaguliwa kuingia Chuo wakiwa na ufaulu wa Division III hili suala ni kawaida au inakuaje Wakuu?
Na pia, kama mmoja anataka kusoma A-Level hataki Chuo ni...
Natumai wengi mtakubaliana nami kuwa Duniani tupo Watu wa aina tofauti..hii imepelekea wengi wetu kuhusisha baadhi ya matendo na aina fulani ya Watu. Kwa mfano kuna aina fulani ya Watu ukimkuta anafanya shughuli fulani lazima moyo wako utashtuka kwanza na utatamani kujiridhisha ni kwa nini Dada/...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.