Uchaguzi 2020 Mtu ambaye Wanadamu hawakutaka aishi, lakini leo hii Mtu huyu anakwenda kuwa Mgombea wa Urais. Jambo hili lina maana gani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.

Yaani Wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu, bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa Mgombea wa Uraisi

Je, ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?

Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.

Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
 
Halafu kuna watu wanasema hakuna Mungu! Risasi moja ya SMG inaua tembo lakini 16 hazikuua mtu lazima ni Mungu.

Na kama Mungu akipenda hata jiwe la changarawe linakuondosha kama David alivyomdondosha goliati. Acheni Mungu aitwe Mungu!
 
Huyo ndo Yesu Kristu wa Kweli Sasa (Achana na Yule feki) kutoka jamhuri ya Push
Mafarisayo,Masadukayo hawakutaka Yesu Aishi... Wakamdhihaki ,wakampiga wakamuwamba mtini....Ila siku ya Tatu akafufuka,akapaa Juu Mbinguni
 
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.

Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?Tuache muda utajibu ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.

Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Jibu ni moja tu, Mungu anataka huyo mtu awe raisi ili kuwaonesha wabaya wake kuwa Analopanga yeye Mungu ndo hutimia
 
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.

Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?

Tuache muda utajibu ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.

Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
JAMBO HILI LINA MAANA KUBWA KWAMBA MUNGU NDIO AJUAYE KESHO YA MTU HATA WANADAMU WAFANYAJE KAMA MUNGU HAJAPANGA KAMWE HAWATAFANIKIWA
 
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.

Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?

Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.

Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Sema ambaye wenye Sacco's walimtwanga mablankoo wamerudi kinyumenyume kumfanya mgombea wao! Wasije tu wakawa na agenda naye nyingine...maana so kwa genge Hilo!
 
Eti inadaiwa walipanga asafirishwe kwenda kwao faster faster na pale Dom pasiwe na shughuli yoyote!!Sasa wajue shughuli ndio imeanza.
@Salary Slip mie sitashangaa kama ghafla mgombea toka chama kubwa akatangaza kuwa ameamua hata gombea kwa matatizo ya afya ili chama kiteue mwingine.
Mambo ni magumu sana hasa kwa hii slogan ya Mbowe "SASA BASI"
 
Halafu kuna watu wanasema hakuna Mungu! Risasi moja ya SMG inaua tembo lakini 16 hazikuua mtu lazima ni Mungu.

Na kama Mungu akipenda hata jiwe la changarawe linakuondosha kama David alivyomdondosha goliati. Acheni Mungu aitwe Mungu!
Aliekudanganya risasi 1 ya smg inauwa temba ni nani
 
Huyo ndo Yesu Kristu wa Kweli Sasa (Achana na Yule feki) kutoka jamhuri ya Push
Mafarisayo,Masadukayo hawakutaka Yesu Aishi... Wakamdhihaki ,wakampiga wakamuwamba mtini....Ila siku ya Tatu akafufuka,akapaa Juu Mbinguni
Ameenda kuketi kwenye mkono wa mungu baba mwenye enzi yote. Hapo ndio nashindwa kuelewa sasa huyu yesu yeye alikuwa nani ina maana kabla hajafa kulikuwa na mungu mwingine au?
 
Back
Top Bottom