mtu

  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kwa Familia ya Freeman Mbowe na CHADEMA: Kinachoitwa "unabii wa Mungu" wa mtu anayejiita "Nabii Mashimo" hautoki kwa Mungu, ni tego hatari kwenu!!

    Akitoa taarifa rasmi za shambulio na kujeruhiwa kwa M/kiti CHADEMA taifa, KUB na Mbunge wa jimbo la Hai - Kilimanjaro Mh. Freeman Aikael Mbowe, katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika alitumia fursa hiyo pia kutoa wito kwa jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mtu mmoja anayejiita "Nabii"...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mwanasheria mkuu (AG) kushtakiwa kwa makosa yaliyotendwa na Rais kama taasisi au mtu binafsi akiwa madarakani nimeikubali

    Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG) Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho. Maendeleo hayana vyama!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Mimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na biashara hii kwa muda mrefu sababu nimekulia mazingira ya kijijini. Lengo langu nipate mtu atakayekuwa...
  4. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

    Kuna watu wataleta nyuzi za kishamba sana eti haoni mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya miaka 5 au 10 ya Dr Magufuli. Sisemei Dr Magufuli hajafanya kazi , la hasha, Kajitahidi na kachapa kazi ila Tanzania ina watu mil 58 , naamini kuna watu Zaidi ya mil 1 wanaoweza kufanya vizuri kwenye kiti...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ombi: Serikali ya Tanzania ipeleke agenda African Union (AU) ya kuwakatia eneo la makazi waafrika waliochukuliwa utumwani ili warejee nyumbani

    Wananzengo, waswahili walisema maji hufuata mkondo. Mwenzako akinyolewa wewe tia maji. Akumulikaye mchana, usiku akuchoma. Nakadhalika na kadhalika. Tumeshuhudia kasi ya mateso na chuki kwa watu weusi ikipanda kiwango kila bara. Mtu mweusi anaonakana kama ni mtu ambaye utu wake ni wa kiwango...
  6. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Issa Shivji: watu wasiojulikana hawatajulikana kwa sababu wanajulikana asiyejulikana sio mtu ni jitu

    Sio Kila Anayekuja Kukupa Pole Ukiwa Mgonjwa/Msibani Anamaanisha Wengine Wanakuwa Wamekuja Kujionea Matokeo ya Kazi Walioifanya Gizani.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Napatikana( Simanjiro) mji mdogo wa Orkesumet natafuta mtu mwenye mtaji tufanye biashara ya mazao kipindi hiki cha mavuno, mazao ya Mahindi na Maharage. Mawasiliano zaidi ni 0688057418 na 0757057873
  8. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Unafiki kwenye siasa zetu na hatma ya maisha yetu; tukiendelea hivi ni suala la muda tu, kila mtu atalia kwa wakati wake

    Dunia kwa asili yake ina machanguo mawili, wema au ubaya, haki au dhuluma, ukweli au uongo, unafiki au kutokuwa mnafiki, na kila mtu au jamii ina hiari ya kuchagua upande. Aidha, kila mbegu ioteshwayo na mtu mmoja mmoja, kundi au jamii huzalisha matunda yafananayo na mbegu husika. Kinachotokea...
  9. Croson

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanafunzi huyu anaweza kubadilisha jina lake kama limekosewa?

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne 2019 na matokeo yangu yametoka mwaka huu 2020 na yanaruhusu mimi kuendelea mbele na jina langu kwenye cheti cha kuzaliwa limekosewa na ninahitaji kubadilisha. Je, inawezekana kubadilisha?
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajali protocol, yeyote aweza hutubia taifa. Duni Haji alikuwa sahihi CHADEMA kila mtu ana sharubu

    Chama makini huwa na protocol mfano kuongea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa. Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa. Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea...
  11. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

    Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter. Kuna maswali?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Vodacom na mitandao ya simu wekeni uwezo wa mtu kurudisha pesa aliyoipokea kimakosa

    Mitandao ya simu imerahisisha maisha kwa kuruhusu mtu kujirudishia pesa aliyotuma kimakosa kwenda kwa mtu mwingine. Hili tumelipokea kwa mikono miwili. Sasa naomba muweke uwezo wa mtu kurudisha muamala wa pesa ambayo ameipokea kimakosa au ambayo haitambui. Naomba wazo hili mlifanyie kazi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mdogo mtu naye anataka pia...

    Wakuu inakuaje,pole na mihangaiko ya hapa na pale,,japo covid 19 kafifia kwa mbaal,,bado tuchkue tahadhari. Nirudi kwenye mada,,agizo la muheshimiwa raisi la kurudi chuoni nililitekeleza ipasavyo baada ya kuanza Safar kutoka mkoan kuja hapa dar es salaam kusoma. Nilifka salama siku ya jumamosi...
  15. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

    Nimepokea ujumbe huu, "CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa

    Miaka yangu yote 40+ niliwahi kuwa mfuasi wa mwanasiasa nilipo kuwa kwenye 10s, nilipokuja kupata akili niliacha kumfuata mwanasiasa nikawa nimetengeneza tabia ya kuangalia hoja za mwanasiasa husika. Wanasiasa wa Tanzania ,Afrika na pengine dunia nzima siyo waaminifu, ni vigeu geu waongo na...
  17. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania GE2020 Acheni utani, upinzani hakuna mtu wa kuweza kusimama na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu Oktoba

    Habarini wadau... Leo naomba nizungumze ukweli juu ya hiki kinachoendelea, eti watu wa upinzani kuandika barua na kuomba nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT october 2020, Wanachofanya vyama vya upinzani ni utani nadhani na imefikia wakati wameacha kuwa serious, maana haihitaji...
  18. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi(racism) dhidi ya mtu mweusi upo na hautakaa uishe duniani

    Habari wakuu, Napenda kuliongelea suala la ubaguzi wa rangi unaopigiwa kelele kwa sasa duniani. Kwanza kabisa tuelewe kwamba haya mambo hayajaanza leo. Yana historia ndefu sana kuanzia enzi za Nuhu na watoto wake watatu. Hamu, yule aliemchungulia baba yake, alilaaniwa kwamba atakuwa mtumwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mkapa: Hakuna mtu maarufu zaidi ya chama

    Dr Salmin Amour, who was then Zanzibar, had intended to change the Constitution to allow him to run for a third presidency tenure. His proposal of changing the Constitution reached the National Executive of Commit-tee of his party, CCM, and there was every sign of a fierce debate over the...
  20. Singidan

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Roma Mkatoliki juu ya kwanini haandamani wala kukemea unyanyasaji wa Mtu Mweusi

    Nukuu: "mtangazaji kanipgia simu kuniuliza, Roma kwanini hatukuoni Ukiandamana au Ukikekemea Mtandaoni yanayoendelea Marekani Kama wafanyavyo wasanii wenzio was bongo?(Black lives matter). Nikamjibu👉 Ninapokemea ya Tanzania siwaonagi Hao wasanii wakikemea Kama Mimi. So ni zamu yao now...
Back
Top Bottom